Sustainable strikes and demonstration katika nchi za third world countries ni ngumu sana kwa sababu raia wengi hawawezi ku-survive kwa siku zaidi ya tatu bila kutoka nje kuenda kutafuta daily...
hali ilivyo trh 29 na 30 October kwako uliwezaje kusavaivu(survive) je ulitembea umbali gani hadi kupata usafiri?
Mimi nilipangiwa kusimamia kituo cha kupigia kura pale mnazi 1, lumumba tulifika...
Ukiwa ni masikini unakutana na adha mbalimbali kutokä kwa ndugu zako.
Nyingi zinafedhehesha na kuumiza hisia.
Yaani hata Ndugu wa ukoo hawakushirikishi vikao wala kukuomba msaada. Sana sana...
Hapo vip!
Unajua hii dunia haishi viroja
Katika pita pita zangu mitandaoni, nimeona andiko moja iliyoandikwa na mwanajeshi eti akisema wanazuruzurishwa mjini na mapolisi ndio wakubwa zao.
Eti...
VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA MKOA WA KATAVI VYASHIRIKI MAZOEZI YA PAMOJA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama Oktoba 3, 20205 wamefanya mazoezi ya...
Wachaga hoyee, nyie ni watani wangu mmemzaa mama yangu, kama vipi njooni na Chama kipya achaneni na CHADEMA, kwani sh ngapi
Mh Mbowe wewe umezaliwa na kipaji cha Siasa, yaani ipo kwenye damu...
Serikali ya Tanzania lazima ikubali kuwa chanzo cha matatizo yote hadi vurugu za D29 ni ukosefu wa ajira na maisha magumu kunakopelekeanchuki kwa vijana dhidi ya serikali,matajiri na viongozi...
Ilikuwa tar 28/11/2024 nilikuwa nimeamka vizuri kabisaa
Baada ya kunywa chai nikaelea kazini kwangu nikiwa njiani nikapokea simu kutoka kwa wateja wangu wa muda mrefu wa soya beans kutoka Dar...
Assalam aleykum jami'ya,
Tumsifu Yesu kristo.
Dunia nzima kila kiumbe kinahitaji Uhuru, Amani na utulivu.
Lakini kubwa zaidi tuangazie Uhuru.
Uhuru ni nini?
Kwa definition fupi ni kwamba...
Mimi binafsi naamini misemo hii baadhi haina nguvu hivi sasa, kwa mfano
-Aliejuu mngoje chini, Vijana wasasa hawana mda wa kupoteza wanakufuata hukohuko juu
-Mshika mawili moja humpokonyoka...
Viongozi wa upinzani na wanaharakati ndiyo WASALTI wakubwa serikali itamalizana na kila mtu kwa uwazi siyo kupitia wawakilishi wa upinzani na wanaharakati ambao wanapokea bahasha na kupotea...
Kusema naogopa Sana kumlea mtoto wangu Dar es salaam sikumaanisha classes but both of them wapo hatarini na anything can happen.
Juzi Kuna sehemu nilikua nimeenda but wonderful enough nilikutana...
Tanzania tuna vyombo vya ulinzi na usalama takribani 6 na tuna idara saidizi za ulinzi na usalama kadhaa.
Kila chombo kiko huru kujisimamia ingawa vyombo hivi hutegemeana.
Wakati mwingine chombo...
Kulikoni tena sasa hivi Dada yenu anafokafoka? Anadai kachoka kuwaelimisha kutwa, anataka msaidizi na anaumwa umwa huku Kifua kikimbana pia?
Na leo sijui jana Kawanangeni kweli kweli mnaomuamini...
Katika kizazi hiki cha Generation Z na Alpha, Mtoto anaweza kutangulia kuona jua kuliko mzazi, kupitia AI, Coding, Robotics, Media Literacy, Digital ethics, Financial literacy. Wahenga wamepigwa...
Waziri wa Uchukuzi Mhe. Prof. Makame Mbarawa ametembelea banda la Shirika la Reli Tanzania (TRC) katika maadhimisho ya Wiki ya Usafiri Endelevu Ardhini yanayoendelea kufanyika kwenye viwanja vya...
Katika historia ya mataifa mengi, uchaguzi—ambao unapaswa kuwa alama ya demokrasia—umegeuka kuwa kumbukumbu ya maumivu, machozi na vifo. Katika baadhi ya nchi za Afrika, imekuwa kawaida kuona...