Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimepita Arusha kuelekea kanda ya ziwa, kuanzia pale KIA (Kilimanjaro International Airport) mpaka nimefika Arusha town hakuna trafiki barabarani. Zaidi ya kukutana na barrier za Wanajeshi pale...
7 Reactions
14 Replies
531 Views
Harmonize tarehe 29 alipandisha ngoma mpya YouTube, badae ameona aifute kutokana Viewers kuwa chini ya 5k since then mpaka jana. Wananchi especially Gen Z wameona sio tu show zao hata...
8 Reactions
7 Replies
541 Views
Kwenye mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN), Rais Xi Jinping wa China alitoa Pendekezo la Maendeleo ya Dunia (GDI) likiwa na wito wa kuleta maafikiano kuhusu kufuata maendeleo...
0 Reactions
1 Replies
169 Views
Habari wadau. Kiukweli Tanzania tumeshapiga hatua kubwa sana kimaendeleo shida ipo kwenye strategy tu. Hapa ndo tunapofeli. Mipango mikakati hamna kabisa wapi tuanzie wapi tuishie tunafeli...
0 Reactions
1 Replies
191 Views
In short huyu dada kaongea mawazo yangu 100%. Samia hakupaswa kuongea maneno yasiyo na busara vile. Tatizo wanawake ni watu wa visasi sana. Katonesha tu vidonda vya watu badala ya kuponya. Hata...
0 Reactions
0 Replies
190 Views
Habari Tanzania ! Nimejiwazia hapa, hawa JKT kwa ubora wa huduma zao, umakini na uwezo wa nguvu kazi nawaomba mamlaka hapa Tanzania wawape maeneo yenye rasilimali za kuchakata Saruji watuletee...
0 Reactions
0 Replies
143 Views
Hii sinema mbona imeshindikana jamani. Yani hapa wazee wa Magomeni, Mbagala, Buguruni, Kimara, Tegeta, Kigamboni, Ilala, Kinondoni na n.k mkoa wote kila tukiwapigia simu wanajiuliza wazee wana...
2 Reactions
10 Replies
469 Views
Wanabodi, Usinichoshe, nisikuchoshe tusichoshane. Kuna utaratibu wa kutumia picha za Raisi katika ofisi za umma, taasisi,maeneo ya biashara n.k Kwa mambo maovu na machafu yaliyotokea katika...
1 Reactions
7 Replies
394 Views
Akizungumza katika mahojiano na Clouds tv katika kipindi cha Live on Clouds 360 Mchambuzi wa Masuala ya Siasa nchini, Salehe Mohamedi amesema "Tukubaliane nchi haiwezi kuendelea bila mikopo. Hiyo...
0 Reactions
0 Replies
134 Views
Ukifika south afrika kwa wale mnaolewa mtapata picha nzuri kama maeneo ambayo ni hatari mfano Soweto kwenye mauwaji yalifanyika na utawala wa makaburu. Kwa ujumla nchi zilizopingana na serikali...
1 Reactions
1 Replies
162 Views
Tunaambiwa haya mambo yanatokea huko duniani, serikali ya JMT inayaona na haiyasemei kitu. Are we not comparing apples to oranges? Kama ni watu kupigwa risasi huko duniani - je, wanapigwa risasi...
1 Reactions
5 Replies
285 Views
ID nyingi kwa sasa zipo makusudi na tena walivyo jisahau zina majina ya kwao sana kutetea mtawala ,ukitaka kugundua we replay comment uwezi jibiwa ila kuna ID fake ambazo ujifanya ndio wapo...
9 Reactions
16 Replies
463 Views
Hii nchi bwana ukisikia kesi ya mbuzi anashirikishwa mwizi wa mbuzi ndio sasa. MwiguLu alipokuwa waziri wa fedha kila pesa ilitaka ipitie kwake ila leo kawa waziri mkuu anasema walilipwa bilioni...
0 Reactions
2 Replies
151 Views
Hii kauli ya kusema kijana ni taifa la kesho ni kama unamzuia leo ukisubiri ujana wake umeisha. Vijana wanaitajika kuanza leo sio kesho sababu ndoto zao zipo leo wala sio kesho. Hata sisi...
0 Reactions
0 Replies
107 Views
Njoo iongee na vijana wazee hawana impact yeyote wamejichokea zao Siku zote wanadai haki ni vijana , wanapigania haki ni vijana, nguvu ya taifa hili ni vijana. Unaita wazee kwani wao ndio...
3 Reactions
14 Replies
325 Views
Mimi ukiniuliza masuala ya waisraeli na wapalestina siwezi kuwa uchungu nayo sababu hayapo kwenye Afrika yangu. Ila hii imani ya ndugu zetu wanaona Palestina kama malaika hata waarabu wenyewe...
0 Reactions
1 Replies
98 Views
Penye ukweli pasemwe. Mpaka leo hakuna martial artist yeyote (G.O.A.T) ulimwenguni kote ambaye anatokea jeshini , kwenye sanaa za mapigano zote (martial art) kuanzia boxing, kung fu ,taekwando...
15 Reactions
52 Replies
1K Views
Ukiachana na mambo ya katiba, uhuru wa kuongea, hiii ndio Tanzania ambayo vijana wengi wanatamani kuiona kipindi hiki cha uhai wao 1. Tanzania yenye viwanda tele ikiwemo viwanda vikubwa vya...
1 Reactions
12 Replies
526 Views
=>HOW ARE YOU GOING TO CONQUER THE MAN WITH THE SPIRIT OF VICTORY? => Mshindi Huwezi Kumshusha. => Mshindi Huwezi Kumuangamiza. => Mshindi Huwezi Kumtishia. => Mshindi Huwezi Kumshinda. #Said...
2 Reactions
7 Replies
613 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…