Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Waulize zile PHD,dokta, professor wamezitoa wapi bila kuwafata tunaowatishia. Leo tunauwezo wa kuwatishia wakati matundu ya choo msaada toka kwao. Madawa,uzalishaji,wanunuzi wa madini,wawekezaji...
1 Reactions
2 Replies
172 Views
Mda unavyozidi kwenda kutakuwa sio siri tena. Alivyokuwa anapokea kijiti tulijua neema ila kwa miaka 4 yake tushafikisha deni la trion 107,ufisadi wa kutisha,mauwaji yasiyo na ukoma na mambo ya...
6 Reactions
7 Replies
465 Views
TATIZO KUBWA – WITO WA HAKI NA UWAZI KIFEDHA TANZANIA Kampuni ya Peachy Village Company Limited, yenye makao yake makuu Dodoma, Tanzania, imejikuta katika hali mbaya kifedha baada ya kufunguliwa...
2 Reactions
1 Replies
287 Views
bila private network inakuwa hivi huwezi kuperuzi
5 Reactions
33 Replies
785 Views
Hii dunia bhana ina maarifa mengi yaliyojificha. Kuna kipindi niliwahi pata vifungo vya kichawi, nikawa naenda kinyume na dunia inavyotaka. Basi, baada ya kupambana muda mrefu bila kupona...
94 Reactions
512 Replies
68K Views
Kabla kuelezea tafauti zao, vitu ambavyo wanafanana ni kila mmoja anapenda kukaa kwenye rika lake,mfano matajiri hupenda kujitenga na matajiri wenzao likewise maskini Lakini tafauti kubwa ni...
1 Reactions
34 Replies
742 Views
Serikali mpaka sasa zimebaki siku 4 tuu kufikia 9 dec Watanzania wenzangu tusiandamane maana sasa hivi vita ni kati ya TEC na serikali ya Tanzania, BAKWATA NA TEC hii vita vya udini ni mbaya...
0 Reactions
9 Replies
287 Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Ni maono hayo niliyaona leo usiku Ni huzuni sana Niliona nyumba moja nzuri sana inayofanana na Tanzania inayomilikiwa na mwanamke...
7 Reactions
19 Replies
632 Views
THERE ARE FOUR TYPES OF INTELLIGENCE. According to Psychologists, there are four types of Intelligence: 1) Intelligence Quotient (IQ) 2) Emotional Quotient (EQ) 3) Social Quotient (SQ) 4)...
12 Reactions
13 Replies
2K Views
Anonymous
THE ISSUE Peachy Village Company Limited, based in Dodoma, Tanzania, has recently faced a dire financial crisis due to unauthorized bank accounts opened in its name. This has led to substantial...
2 Reactions
0 Replies
276 Views
Kile kinachoendelea Mwanza si hitilafu ya kawaida, bali ni aibu ya wazi, uzembe wa makusudi na kutowajibika kwa kiwango cha juu kabisa kutoka MWAUWASA. Mwezi mzima uliopita Nyegezi haikuwa na tone...
1 Reactions
1 Replies
231 Views
Tanzania threatened to block Facebook, Instagram and WhatsApp in the whole country if Meta refused to block accounts of 3 activists. Meta banned two of them and restricted the third
2 Reactions
9 Replies
654 Views
Wana JF, Salamu. Kuna tetesi zinazosambaa sana hasa kwenye mitandao ya kijamii, zikidai kwamba kuanzia Tarehe 5 mwezi huu (Desemba), miamala yote ya kifedha (simu, benki, n.k.)...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Kama nchi tukiendelea nao hawa majangiri CCM msije shangaa shilole kuwa waziri wa kilimo. Ina maana weledi wa waliosomea uwongozi kuwapa waweze kuongoza umekufa kabisa. Sasa wasanii na chawa...
2 Reactions
10 Replies
272 Views
GreatThinkers Zamani mvi ilkuwa ni uzee na alama ya kula chumvi nyingi. Laki kuna vizee vilikuwa vinapiga age bila mvi. Hali ya sasa ianatisha vijana wadogo below 40 years mvi kila mahali shida...
5 Reactions
61 Replies
4K Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezindua mashine mpya za kisasa katika mikoa ya kikodi ya Ilala na Temeke kwa ajili ya kukusanya maoni ya wateja. Kulingana na Meneja wa TRA Mkoa wa Ilala, Bi Eva...
1 Reactions
3 Replies
573 Views
Kipindi nasoma pale SAUT Mwanza 2012-2015, Padre Kitima ndo alikuwa mkuu wa chuo chetu pale. Namfahamu binafsi na nilikuwa nikiongea nae na kushirikishana mambo kadha wa kadha Fr Kitima naona...
56 Reactions
103 Replies
3K Views
Sote tuseme Amen Mashahidi wa udhalimu wanasimama, Wananiuliza mambo nisiyoyajua. Zaburi 35:11 12 Wananilipa mabaya badala ya mema, Hata nafsi yangu ikaingia ukiwa. Zaburi 35:12 13 Bali mimi...
2 Reactions
0 Replies
143 Views
Kuna mada hapa niliweka Moderator unaweza kurudisha kichwa cha habari kina sema inawezekana ni kulipa kisasi. Kuna media hipo Facebook inakazania matukio yaliyotokea Zanzibar mfano la kupinduliwa...
2 Reactions
8 Replies
384 Views
Aisee hii ni maajabu sijaona raisi anayedharaulika kama huyu. Haheshimiwi na yeyote
8 Reactions
14 Replies
569 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…