Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hata sehemu ya kuhifadhi mavi ya watoto wetu tunapewa msaada wa ujenzi wa choo na watu wa Canada. Watu wa Canada, wanavuja jasho, fedha zao zinakusanywa kuletwa kwetu ili tujengewe vyoo vya...
3 Reactions
15 Replies
325 Views
Nilitoa uzi kuhusu wikipedia kwa watu kama ni raisi utajua wasifu wake. Ila wikipedia inamtambua kipindi kafa magufuri kushika nafasi tu na chini wakaandika machafuko yote ila wadau wengine...
4 Reactions
9 Replies
503 Views
“Tumepitia mambo ngumu sana kama taifa, na wengi wamepoteza walio karibu nao. Pole kwa familia zote zilizoathirika maumivu yenu ni ya kweli na yanaguswa na wengi. Katika wakati huu majonzi yakiwa...
2 Reactions
4 Replies
208 Views
“Kwenye dunia ya pesa, hakuna kilicho bure. Hakuna.” Watu wengi huona matajiri wakitoa misaada—wanajenga shule, hospitali, visima, maktaba, wanatoa chakula, wanaendesha foundation… Wanasema: “Wow...
3 Reactions
17 Replies
448 Views
My people, Natambua kabisa bandiko hili halikubaliki kwa wengi wenu na mna haki ya kufanya hivyo kama ambavyo nami nina haki ya kuandika haya Guys Serikali inaondoka madarakani pale tu ambapo...
6 Reactions
19 Replies
589 Views
Balozi 16 zaitaka Tanzania kuachia wafungwa wa kisiasa, kusitisha utekaji na kurudisha miili ya waliouawa Balozi za nchi 16 pamoja na Ujumbe wa Umoja wa Ulaya wametoa tamko kuonyesha huzuni na...
0 Reactions
0 Replies
239 Views
Kila ninayeshikamana nae kwa shida na raha ikifika zamu yangu naambulia kupotezewa au jeuri, au mie ndo nina shida guys? Siwekagi matarajio kabisa, najitoa kwa kidogo nilicho nacho, kwa muda...
10 Reactions
75 Replies
1K Views
Wanaandaa sasa zile Kofia zao za rangi moja huku yule Mwamba safari hii akija na Jezi ya mpya ya Mashindanoni ya Kimataifa kwa Timu yake pendwa duniani.
3 Reactions
51 Replies
1K Views
Mfungwa wa Meta 'Miss Fidodido' hajatupa Ramani bado hivyo tunaomba kama kuna mwenye Ramani atuambie kwani Jumanne ni ama zao ama zetu.
3 Reactions
60 Replies
921 Views
Mnaweza kubisha ila Airport ni geresha kusema ndio imejenga jangwa. Mafuta nakataa kabisa maana yaligundulika siku nyingi kabla ya dubai. Matapeli,human trafficking,pesa chafy,udukuzi na kila...
8 Reactions
12 Replies
565 Views
Wakuu Nimeona taarifa juwa hali ya usafiri Dar kwenda mikoani imekuwa changamoto, wasafiri ni wengi kuliko mabasi. Je kuna tetesi zozote za magari kutokusafiri ikikaribia Disemba 9? Ama wananchi...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Ndugu Wadau, Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa Wazee wa Dar (Desemba 2, 2025) ilikuwa fursa ya kipekee ya kuponya Taifa lililojeruhiwa, lakini uchambuzi wa kauli zake unaonyesha wazi kuwa...
2 Reactions
6 Replies
335 Views
Si kawaida afande muriro anavyoitisha vyombo vya habari na kutia mikwara ila sasa naona maongezi yake ya mekuwa ya upole. Msemaji wa serikali msigwa kawa kimya.
4 Reactions
13 Replies
570 Views
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakar Kunenge, ametoa wito kwa wakulima wanaotumia maji ya Mto Ruvu kwa shughuli za kilimo kusitisha matumizi hayo kwa muda hadi pale mvua zitakapoanza kunyesha kwa...
0 Reactions
0 Replies
157 Views
Kinachoendelea Tanzania ni mgogoro wa kikanda(East Africa) sababu kubwa ikiwa ni rasilimali zilizopo katika nchi hizo hasa pale DRC. Kwa yanayoendelea Tanzania kutekwa mauwaji etc ni mbinu au...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Tanesco leo kuzindua mfumo mpya wa umeme pindi ununuapo umeme utaingia Moja Kwa Moja kwenye Mita. Sahiv wananchi hawatapa sana tabu kama ilivokuwa hapo nyuma
6 Reactions
22 Replies
982 Views
Serikali ya Tanzania kukumbatia dini hasa viongozi wa kikristo na kiislam kutaiponza kwani hawa ndiyo chachu ya anguko la HAKI kwa kufanya kinyume na wanayoyahubiri wamekuwa...
2 Reactions
17 Replies
465 Views
Na sidhani kama hizi picha ni za jana au leo. Uenda zina wiki kadhaa baada ya mkongwe kuwa kuwa spika. Leo ni Jumaa karim ila sijui kina msiguer wanakosea wapi hapa 😆 😂 😂...
3 Reactions
13 Replies
856 Views
Alianza nasisi vizuri tu. Hata ile Oct 29 aliifanya kuwa siku nzuri kwa makundi yote. Waliotoka na waliotiki. Haikunyesha mvua siku hiyo. Kisha damu nyingi sana ya wasio na hatia ikamwagwa ndani...
1 Reactions
4 Replies
244 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…