Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu msaada kwa wazoefu wa dar tafadhali kuna jamaa najiita mwanapunda org. Ni kampuni maaulumu ya kuuza na kununua pikipiki. Kuna chuma 1 inauzwa m. 1 nimeona kunitumia wanaweza nibadilishia...
7 Reactions
176 Replies
8K Views
Napenda sana Wanawake wenye Uthubutu kuanzia katika Ngazi za Familia, Jamii na Siasa Na huwa hawatishwi na lolote / yoyote
0 Reactions
20 Replies
383 Views
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesaini hati ya Makubaliano (MoU) na Kampuni ya Africa Global Logistics (AGL) Tanzania Ltd yenye Makao Makuu yake Nchini Ufaransa ambayo ni kampuni...
2 Reactions
15 Replies
694 Views
Hata Nyerere aliwahi kusema hajui nini maana ya jina Tanganyika. But as for me, baada ya kutafakari kwa kina nimejidhirisha kwamba ifuatayo ndio maana halisi ya jina " Tanganyika" . Tanganyika...
11 Reactions
47 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation Mzee Joseph Butiku ametolea ufafanuzi wa taarifa zilizosambaa mitadaoni zikimnukuu kwamba anaunga mkono maandamano ya Disemba 9,2025 na vurugu...
1 Reactions
10 Replies
429 Views
Kuelekea D9, siyo tu watu wameamua kuhifadhi vyakula majumbani mwao, ila pia wengi wamehifadhi pia madumu ya petrol kwa ajili ya bodaboda, bajaji na magari yao. Natumai mmejiandaa yale...
0 Reactions
9 Replies
472 Views
116 wakamatwa Mwanza kwa kuratibu maandamano Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limewakamata watu 116 wanaodaiwa kuhusika kuratibu maandamano yanayotarajiwa kufanyika Desemba 9, yakitajwa kuwa na...
0 Reactions
0 Replies
151 Views
Umekaa zako tu hivi unawaza nikimtoa kafara mzazi vip, maisha yawe mepesi unasema hapana. Kumbe mzazi nae anawaza sina nguvu za kutafuta ndoto sijafikia.. ngoja niamakiza tu watoto unamaliziwa...
1 Reactions
1 Replies
204 Views
Hello Wakuu Hii mitaa yetu huku Dar es Salaam tunakabiliwa na changamoto ya maji karibia wiki nzima na sio kawaida kabisa Naomba kuuliza ni viunga vyetu tu hivi vya kimaskini au nchi nzima hili...
1 Reactions
32 Replies
865 Views
Mfano hii unayoiona hapa ina zaidi ya miaka mitatu ina NAMBA HIZI. Gari hii iko Mwanza. Kuna gari binafsi za polisi kwenye Boot (buti) unakuta kuna NUMBER PLATES nne mpaka tano tofauti. Za nini...
3 Reactions
21 Replies
876 Views
Nilikua napiga stori na app ya grok, ikanitonya kuwa nijiisajili UN kwa mfumo wa online na si kwenda ofisini. Nikimaliza niende ofisi ya karibu. Mfano kama upo visiwani, unaomba kujiunga kwenye...
1 Reactions
6 Replies
203 Views
Tanzania imeendelea kushikilia nafasi yake ya kimataifa kama 'nchi Inayoongoza duniani kwa utalii wa safari' katika hafla ya fainali za World Travell Awads 2025. Tanzania imetunukiwa taji hili...
3 Reactions
7 Replies
411 Views
Kumekucha. Yaani ninatumia app hapa ya kuangalia mechi "Football live" na "live tv" yaani ili mechi iishe ninahitaji si chini ya MB 800 na kama kuangalia hadi matangazo ni GB nzima . msaada walau...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) amefutia mashtaka na kumwachia huru mfanyabiashara wa vipodozi Jenifer Jovin (26) maarufu Niffer na Mika Lucas Chavala, waliokuwa na kesi ya uhaini. Uamuzi huo...
10 Reactions
64 Replies
2K Views
Ina maana this is not great news? Mapinduzi Benin: CNN, BBC, ALJAZERA sijawasikia wakitanyaza habari hizi
1 Reactions
38 Replies
777 Views
Tarehe 5 december nilisema kuwa baada ya watu kumaliza kuswali misikiti yote na kwa nini walipunguza sauti kwenye mawaiza. Sikuwa na nia ya uchonganishi ila kuna mambo ambayo pandikizi tumeyaona...
1 Reactions
10 Replies
532 Views
Eze 12:2 SUV [2] Mwanadamu, wewe unakaa kati ya nyumba iliyoasi, watu ambao wana macho ya kuona, ila hawaoni, wana masikio ya kusikia, ila hawasikii; kwa maana ni nyumba iliyoasi. Unaweza ukawa...
1 Reactions
2 Replies
213 Views
Habari wakuu.. Awali ya yote nimshukuru Mungu Kwa wakati huu aliotujalia na vilevile nitoe pole kwetu sote Watanganyika kwa madhila yaliyotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, kila mmoja...
5 Reactions
2 Replies
242 Views
Uhakiki wa Picha kwa kutumia Google Image Search ni njia muhimu ya kubaini asili au maelezo zaidi kuhusu picha fulani. JamiiCheck imekuandalia utaratibu wa hatua kwa hatua wa jinsi ya kutumia...
6 Reactions
9 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…