Nimepata taarifa ya kutokea kwa vurugu na rabsha za hapa na pale huko ukweni, ningependa kupata abc hapa JF maana nimejaribu kuperuzi huku na kule sijapata dondoo zozote kuhusu hili wakuu...
Masheikh kiukweli mnaona mnaitetea Serikali na mnaamini hili likipita serikali itawalipa shukrani. Ukweli ni kwamba mmewaweka waislam mahali pagumu sana.
Imani yetu kwenu inapotea kila kukicha...
Mimi nilichokiona kusema mtu ni mraibu wa simu kuna vitu vimemiss
kwa kiasi kikubwa huwa naona waraibu wa simu huzitumia sana kwenye internet mfano kuperuzi google, mitandao ya kijamii, youtube...
Nje ya agizo alilotoa Waziri Mkuu la kuka ndani, umejiandaaje kuvusha siku bila internet
Hakuna jamii forums
Hakuna Youtube
Hakuna instagram
Hakuna Facebook
Hakuna whatsapp
Hakuna X
Hakuna...
Saudi Arabia imekuwa na sheria kali kuhusu pombe na bidhaa za pombe, ambapo zinakatazwa kabisa katika nchi hiyo, ingawa pombe zimekuwa zikitumika kwa siri kwa baadhi ya wageni.
Hatua hii ni...
Umemsikia Mwigulu?
kwanini tunasherehekea sikukuu ya uhuru wa Tanzania bara ilhali hakuna kusherehekea siku ya Mapinduzi ya Tanzania visiwani?
Kwanini title ya ‘siku ya uhuru wa Tanzania bara’...
Tarehe 9 December ni siku ya maandamano Gen Z wa Tanzania wanasema wanakuja na silaha za moto
Police mjipange kukabiliana na moto maana hujui yupi atakua na silaha za moto mtasikia tu zimetua...
Kijana kama una wazazi au dada zako please wape pumziko na utulivu.
Maandamano ya kesho Disemba 9 ni haramu, serikali haiwezi kila siku kuongelea jambo moja.
Ukitoka kuandamana wazazi wako hasa...
Tokea Oktoba 29 chuki imekuwa kubwa sana na utawala wa chuma ambao ni CCM.
Kwa sasa wanaogopa kuvaa nguo zao kupita mtaani, yale mabaiskeri na pikipiki wengine wanaogopa kutoka nazo.
Bendera za...
Moderator naomba tunza huu uzi tupo na kazi ngumu mpaka sasa idarani za kusambaza madawa ya Who are You.
sasa kinacho nichekesha japo na cheka ila lazima kiwe kicheko.
Uwezi kutumia watu...
Serikali imesema hakuna mwananchi yeyote atakayeenda kwenye Kituo chochote cha kutolea huduma za afya au Hospitali, akakosa kupatiwa matibabu eti kwa sababu hana fedha.
Akizungumza kwenye kikao...
Nawaza mbeleni kwanza tu.
Nikiwatazama Wakuu wa mikoa, RPC, IGP, DGI, Mahakimu, watoto wa wakubwa, wabunge, machawa, wasani wao, Account zinazoshangilia n.k.
Kuna kitu kinaitwa kihoro...
Mzuka wana jamvi!
Kuna sababu gani sasa ya kutubagua waafrika weusi. Sisi weusi ndo inabidi tuwabague.
Najiuliza huko India hamna bwana afya?
Video chini.
Kazi mnayo kurudisha imani kwa jamii hata kama umejenga sasa nyumba yako unaiona chungu.
Kama Muliro kakimbia nyumba yake kwa sasa😄.
Oktoba 29 kuna askari mmoja alikuwa anapanga nyumba moja watu...