Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Just believe me
5 Reactions
53 Replies
2K Views
Wana jamvi. MaJuzi mmesikia USA waki conderm majanga yaliotokea ktk nchi yetu nzuri. Na E.U kuzuia msaada wao wa 180 million Dollars kwa kisingizo hicho hicho. Juzi Balozi wa USA nchini amesaini...
1 Reactions
12 Replies
358 Views
Watumishi wa hii kada ni kama wana laana vile hasa hapa Tanzania, watumishi wake karibia 95% wanategemea mshahara tu kwa 100% ajira hazijawasaidia kabsa kuanzisha miradi ya pemben yenye tija...
5 Reactions
22 Replies
743 Views
Ninaunga mkono kwa 100% serikali kubinafsisha kwa wazungu, waarabu au hata wachina shughuli zote za usafirishaji na uchukuzi. Reli, bandari, mabasi na kwingine kote kunakohusiana WABINAFSISHE...
4 Reactions
4 Replies
252 Views
Eti mnaanza kuwa na mashaka sasa kwamba ambao wamejitenga nao ndio wanahusika. Sasa kama wamejitenga mnajiogopa na kuanza kuwafata majumbani. Mnapoelekea naona mnara wa babeli ukifika mwisho.
2 Reactions
2 Replies
170 Views
Kufuatia agizo la watu kupumzika katika siku ya Uhuru jana, Disemba 9, 2025 Christina Mogela maarufu kama Mama wawili ambaye anafanya biashara ya kuuza mihogo kwa muda mrefu amesema kazi yake...
2 Reactions
1 Replies
135 Views
Kwa hiyo serikali itaendelea hadi lini na mpango wa kusimama barabarani, kamatakamata ni na kukagua wananchi. Hii ni dalili tosha wananchi tunadharauliwa sana. Hivi wakuu ile definition ya...
1 Reactions
3 Replies
143 Views
China imekataa kupokea chips za Nvidia, kampuni maarufu ya Marekani inayotengeneza vifaa vya kompyuta na graphics. Sababu kuu ya hatua hii ni hofu ya usalama inayoletwa na Marekani, ambayo...
0 Reactions
2 Replies
283 Views
Kwa utawala wa Trump suala la vibali vya viza limezidi kuwapa ugumu wale ambao wanaishi kwa kuunga unga USA ambao sio raia. Nawaonea huruma sana walipo huko hata ikitokea msiba kafa nani...
0 Reactions
1 Replies
129 Views
Wachina wengi wanakimbilia sana kusoma nchi zenye teknolojia kubwa sio kwa ajili kusoma bali kuchukua maarifa kupeleka kwao ambacho hizo teknolojia zimetumia mda mrefu kiutafiti. Nchi kama USA...
0 Reactions
13 Replies
423 Views
Lengo la kuzuia na kupinga maandamano haikuwa kuonesha ubabe au kumkandamiza mtu Serikali iendelee kutatua changamoto na matakwa ya vijana hao kwa kadri inavyowezekana Sisi wengine hakuna...
4 Reactions
10 Replies
227 Views
CCM Jina Chama Cha Mapinduzi. Kama ujaelewa Maana ya Mapinduzi basi kutoka madarakani ni ngumu.
1 Reactions
4 Replies
154 Views
Kikosi cha Walinda Amani cha Tanzania kinachohudumu chini ya mwamvuli wa FIB-MONUSCO kimehitimisha rasmi jukumu lake la ulinzi wa amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kupitia...
1 Reactions
13 Replies
491 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Marry Timotheo, Mkazi wa Garijembe Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya Mtoto wake aitwaye Scola Athanas Mwaba [10] aliyekuwa Mwanafunzi wa Darasa la Nne...
0 Reactions
0 Replies
289 Views
Miongoni mwa mambo yanayoshangaza ni namna wala tende walivyogeuza jambo la mauaji ya wananchi siku ya maandamano kuwa ni vita dhidi ya wagalatia. Ukisikiliza hotuba za Wagalatia utagundua kuwa...
12 Reactions
27 Replies
802 Views
Mamlaka ya hali ya hewa kanda ya Magharibi- Tabora imesema hali ya ukavu iliyojitokeza kwa wiki mbili katika mkoa wa Tabora ni mabadiliko ya kawaida ya hali ya hewa ambayo hutokea katikati ya...
0 Reactions
0 Replies
307 Views
Chama cha ACT-Wazalendo kimesema kuadhimisha Siku ya Uhuru tarehe 9 Desemba 2025 hakukufanana na dhana ya uhuru kwa Watanzania kwani Watanzania hawakuwa huru Kupitia taarifa rasmi ya Makamu...
0 Reactions
6 Replies
260 Views
Unajua ukweli ni uhalisia wa kitu,jambo fulani leo hii nashangaa sana Kwa nini tumekua na mitizamo tofauti juu ya jambo ambalo ni FACT wapo wanaotetea na ku decorate na cover-up ili kupindisha...
0 Reactions
4 Replies
184 Views
Are Gen Z willing to die for their country? Russia's war in Ukraine has forced Berlin to look at ways of boosting its military in case of attack. Sky's Siobhan Robbins speaks to students...
1 Reactions
1 Replies
156 Views
Katika hotuba ya Rais wa Jamuhuri ya Muugano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Novemba 14, 2025 akihutubia bunge la 13 amesema Serikali yake itaendelea kulinda uhuru wa vyombo vya habari...
1 Reactions
22 Replies
625 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…