Mabondia wa Tanzania wengi ni machawa wa CCM , tangu waletewe hiyo knockout ya mama wanazidi kujimaliza kumsifia mama abduli na chama chao cha ccm.
Mwakinyo kwenye mkumbo huu kaukataa na mara...
Naona mnaingia kina kirefu cha maji ya mtoni
Kanisa katoliki sio taasisi za kutikisa kwa propaganda
Kanisa katoliki Lina weledi
Hebu jibuni hoja zao, sio kuibua makundi ya wahuni kuwapinga na...
Nakumbuka ilikuwa mwaka 1995 nikiwa naishi mbeya Sokomatola,. Nilikuwa nafanya biashara za maduka ya rejareja, sasa unajua mambo ya uswahilini kuzoeana na vitoto ambavyo vinakusaidia kuvituma...
Mahamana Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imeamuru Kampuni ya UDA Rapid Transport Ltd kumlipa fidia ya Sh. milioni 88.8 Frank Zebaza, baada ya kugongwa na basi la mwendokasi, ambapo pia...
Kampuni ya Raddy Energy Solution Limited ya Tanzania imeingia makubaliano ya kununua mitambo minne ya kuzalisha umeme kwa njia ya gesi asilia wa jumla ya megawati 177 kutoka kampuni ya Siemens...
Kwa takribani kipindi cha miezi miwili sasa, nchini Tanzania kumeshuhudiwa kampeni za kimtandao zinazoendeshwa na baadhi ya watu maarufu na wanaharakati, zikihamasisha umma kusitisha kuzipa sapoti...
Ni wimbo unaoitwa 'Chilambo Cha vene' uliopigwa na mwamba Halila Tongolanga "Field Marshal". Aisee wimbo umenishika vibaya huo miaka na miaka lakini si mjuzi wa kutosha wa kimakonde hivyo naomba...
Lissu wewe ni mwamba.
Yaani wanataka kukuachilia Kwa kupeana mkono pale jumba jeupe ila unagoma.
Lissu unatunyima usingizi sisi machawa.
Umegoma kwenda Ikulu kama Freeman umegoma.
Kazi yetu...
Kuna kitu kinaitwa karma ila karma mpaka sasa kijaonesha kwa wahusika wake na yeye.
Kuna kitu kinaitwa waganga na kulipa visasi mbona mtu anazidi kudunda na kanisani anafika na misikitini.
Damu...
Picha ya kwanza ( Sisi)
Vitambi vya maana- Hii ni ishara ya mtu asiyejali mwili wake na kuendekeza kula na kulala.
NI ishara ya mtu mvivu ambaye haumizi kichwa chake kutafuta ufumbuzi wa matatizo...
Wakati Kariakoo ikitajwa kuwa kitovu muhimu cha biashara katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, jambo linalofanya kuwa lango muhimu la uchumi wa Taifa, kwa muda sasa mitaa mingi ya soko hilo...
Salaam!
Huu mwaka 2025 mwanzoni Januari hali niliona itakua vizuri kutokana na jinsi nilivyokuwa napambana na matokeo napata.
Baada ya Januari, oh ni mambo yalikua sivyo kabisa hadi mwaka...
Ulimwengu wa Roho (spiritual realm/world)
Watu wengi wakisikia neno ulimwengu wa roho wanachanganyikiwa kiasi kwamba wanaamua kukataa na kupinga hayo mambo niyakusadikika hayapo,,
Sasa njoo...
Baada ya D9 kuanza kwa kusuasua kutokana na vigingi vizito toka kwa watawala , kumeibuka kebehii za wazi wazi toka kwa machawa wa mfumo kuelekea kwa Gen z.!
Ila wasichokijua machawa fukara ambao...
Yaani upuuzi mtupu. Unakuta kijana anapewa swali na mwalimu wake.
Anatumia simu kwa akili mnemba ili kupata majibu.
Taifa linazalisha mabumunda. Ndio maana uwezo wa kuperfom umepungua sana...
Waliokulia vijijini mashambani wanalijua hili... Waliokulia mijini kwenye uchafuzi wa kila aina na vurugu zote hawaijui ladha yake
Ukisoma habari za peponi na vile kulivyo unaweza kukubalina nami...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amepongeza Wizara ya Nishati kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kwa ujenzi wa shule bora ya Awali na...
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa siku saba kwa Mameneja wa TANROADS na TARURA wa Mkoa wa Lindi wakae na kutafuta suluhisho la ujenzi wa daraja katika eneo la Congo kwenye barabara inayoenda...
๐ฆ๐ฒ๐บ๐ถ๐ป๐ฎ ๐๐ฎ ๐ช๐ฎ๐ต๐ฎ๐ฟ๐ถ๐ฟ๐ถ ๐๐ฎ ๐ฉ๐๐ผ๐บ๐ฏ๐ผ ๐๐๐ฎ ๐๐ฎ๐ฏ๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐๐ฎ๐ฟ ๐ฒ๐ ๐ฆ๐ฎ๐น๐ฎ๐ฎ๐บ
Mgeni rasmi: Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mada: Wajibu wa Vyombo vya Habari katika...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amewaonya watendaji na watumishi wa umma waache tabia ya kuzoea matatizo hasa katika sehemu zinazotoa huduma kwa wananchi.
Ametoa onyo hilo jana (Jumapili...