Je, Jaji warioba aliakwa na Rais au yeye ndo aliomba kwenda kumwona?
Je, WAJUA tafsiri ya MIKONO nyuma ya Warioba mbele ya raisi?
Nadhani hii ndo picha ya kwanza ya kiongozi mkubwa wa nchi...
"Baba Padri (Chesco Msaga) nakushukuru sana kwa kunisaidia uniombee nimalize na mimi kipindi changu, kwa wale wanaotaka niondoke leo labda nikifa leo, lakini kama bado niko hai bado nina mwaka na...
Waziri wa mambo ya ndani kwa kushirikiana Viongozi wetu wa serikali za mitaa Tunaomba mturudishie jeshi la sungusungu ili kuimarisha ulinzi na amani kwenye maeneo yetu.
Sisi wananchi tupo tayari...
Hamjambo!
Ukiwa na umri wa miaka 20-35 usipendelee kukaa sehemu moja, mkoa Mmoja au nchi Moja. Huo ndio umri wa kuzurura. Zunguka Tanzania nzima maeneo Muhimu. Ijue nchi yako.
Ukimaliza anza...
Habari Tanzania !
Leo hii maisha bora kwa kila Mtanzania imekuwa ndoto na wakati mwingine inaonekana kama ni jambo lisilowezekana na hii ni chanzo cha aina ya watu na uwezo wao wa kufikiria...
Mfuko wa uwekezaji wa pamoja UTT punguzeni ubabaifu katika kuhudumia watu,mnafanya clerical errors na badala ya kuzishughulikia mnampa mzigo mteja.Mkiwa watoa huduma tena mnaoshika vitu muhimu...
Mwaka unaishia na mwingine unaanza. Nawakumbusha tu kuwa tuna ahadi ya milele Allah ametuahidi. Kwahiyo Tujitahidi kufanya mema twende Peponi.
Quran 45 : 51 -55
"Hakika wachamngu watakuwa katika...
Wananchi wa Kiharaka Mikocheni, Mapinga ambapo tatizo hilo ni kubwa sana, wanaitaka
TANESCO kufanya marekebisho ikiwemo kuondoa watendaji wote waliopo sasa ili kuepukana na uzembe wa...
Wakuu! Nisaidieni mimi ni Dada mtu
Nina mdogo wangu alienifuata jinsia (kiume) umri (16) anakabiliwa na madadiliko ya ukuaji kimwili, miongoni mwa mabadiliko hayo ni pamoja na kubadilika kwa...
Wakuu,
Hili ni neno la mwaka 2026 kutoka kwa Askofu Mkuu wa makanisa ya Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima ni wakati wa tafakuri sasa
Neno ni kutoka Matendo 27:25
"Basi wanaume...
Good afternoon class
Naomba kuuliza hivi walimu wanashida gani? Maana kwenye hatua zote tatu asilimia 50 lazma watapeliwe
Hatua ya kuomba kazi hapa wanapiga sana, vilio hapa ni vingi mno
Hatua...
Wengi wametamani kutimiza ndoto ya kuishi sehemu tajwa ili kujiimarisha, kuendeleza malengo yao kadha wa kadha.
Ungependelea kuishi wapi kati ya maeneo hayo, USA, Europe, uarabuni au ubaki...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU
Rais ni mali ya watu wote ni mali ya raia
Tunaomba kujua ni wapi alipo maana kimiya na tetesi ni nyingi sana
Kwaamaana October tunataka kutic
Ni wapi...
Misukule wanauliza pengine mlio timamu muwasaidie kufikisha maswali yao kwa watawala wake
1).Lengo nia au dhamira ya mtawala/watawala ni ipi?
2).Wanasema mnataka wao wawaeleweje?
Think wisely...
John 20:19 Wanafunzi walikuwa wamejificha nyuma ya mlango uliofungwa kwa kuogopa Wayahudi... na Yesu anaonekana kwa siri kati yao. Je, alikuwa anaogopa Wayahudi hata baada ya kufufuka?
John 20:26...
Nitaeleza kwa kwa ufupi kabisa na kwa lugha nyepesi ambayo hata kilaza kama popoma anaweza kuelewa.
Kilicho tokea Tanzania hiyo tarehe 29 Oktoba 2025 ni UPEPO MBAYA period.
Kwa vilaza πππ...