Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna madaraja ya kiwekwa mfano unaposema ili jiji alafu unakutana kuku wanazurura na mbuzi posta samora kweli ni jiji ilo. Unapoweka hadhi ya sehemu inabidi kuweka masharti na vigezo ili kufata...
3 Reactions
11 Replies
280 Views
Kuna siku za nyuma niliona M-pesa ujumbe umetumwa ukisema cheza kile kindege Aviator link hii hapa. Siku nyengine natumia tena Sms sijui kuna michezo mipya. Mfumo jina M-PESA sms unawezekanaje...
2 Reactions
5 Replies
275 Views
Matajiri wanazaa watoto kuendeleza generational wealth. Makapuku yanazaliana kuendeleza generational poverty. Kila mtoto huja na sahani yake, watoto ni baraka, tajiri na mali zake maskini na...
42 Reactions
289 Replies
10K Views
Sikusikiliza utetezi wake kwakuwa kwa asilimia 100 atakana uhusika na blahblah zingine Hapa nataka tujadili asili/chanzo cha tatizo mwendelezo hadi ukomavu na athari zilizotokea sasa Tatizo...
12 Reactions
20 Replies
875 Views
Wakuu kunazidi kuchangamka Watu kadhaa waliojitambulisha kama waumini wa kanisa katoliki wametoa tamko lao kueleza kutopendezwa na maneno aliyoyatoa Askofu Mkuu wa Jimbo la Dare es salaam, Askofu...
1 Reactions
51 Replies
1K Views
Guys ni kingereza fasaha lakini matumizi yake, na anavo tumia Fulani sio sahihi, guys tumia kwa vijana na lika la kawaida, wazee wetu kuwaita guyz ni kipimo Cha dharau na kuto jitambua, naomba...
9 Reactions
13 Replies
416 Views
1. Viongozi wa TEC. Bila kujali nguvu yao katika jamii serikali iwakamate viongozi wa TEC wote. Hawa ni sehemu ya waratibu wa machafuko ya 29/10/2025. Ikiwaonea aya serikali ijiandae kuvuna ya...
5 Reactions
65 Replies
3K Views
TANESCO MAKAO MAKUU, S.L.P. 453. DODOMA, TANZANIA, SIMU 180 TAARIFA KWA UMMA CHANGAMOTO YA MANUNUZI YA UMEME Jumamosi 27 Disemba, 2025 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja...
1 Reactions
4 Replies
437 Views
Kama una Bawasili sugu au Uti wa mgongo haupo sawa basi achana na safari za mabasi ya kichina na ukikuta siti za nyuma kata for your own risk Nipo kwenye bus siti ya nyuma limepita kwenye tuta tu...
14 Reactions
72 Replies
1K Views
Wakati Dunia ikisherekea sikukuu za Christmas na kupeana zawadi kemu kemu. Na Santa Claus "Father Christmas" akisemekana kuzunguka hapa na pale kutoa zawadi. Wadau wamehoji mbona hawajawai kumuona...
2 Reactions
3 Replies
128 Views
Yale ya kimara yameanza kujirudia hapa mbagala watu wamekaa masaa 2 hamna gari wameruka barabarani wamezuia gari nusu wafanyakazi wapigwe Kumbuka wameongeza nauli shi 1000 na.huduma zimeshaanza...
4 Reactions
8 Replies
268 Views
Sasa hasira za nini ? kama wamepata kibarua cha kuvaa nguo za babu krismas kusherehesha watoto mlitaka wasiende msikitini kufanya ibada ?
0 Reactions
1 Replies
136 Views
Maneno ya Sheikh Uwesu Khalfani, Mwenyekiti wa BAKWATA Mkoa wa Kigoma, na pia mjumbe wa Kamati ya Mwezi ya Kanda ya Magharibi.
3 Reactions
8 Replies
273 Views
Hello, Nataka kuwa buddhist, nataka nifanye zile meditation kama monk niweze kuumasta huu mwili na hii akili. I beleive in Buddha, natafuta temple kwa Bukoba, Mwanza au Mara. Someone please...
7 Reactions
126 Replies
7K Views
Yaani kwenda kucheza pambano moja kisha kurudi zake Tanga Wazanzibar wamejaa choyo husuda nongwa hadi kuandika barua kupinga mtanganyika kucheza pambano lake Huko Zanzibar Wanasema hiyo ni fursa...
17 Reactions
202 Replies
17K Views
Habari wakuu! Kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana wanaokunywa pombe kali. Wengi hudhani ni fasheni, njia ya kujiburudisha au kuondoa stress. Lakini ukweli ni kwamba pombe kali ina madhara...
7 Reactions
40 Replies
2K Views
Mimi kama mtanzania mzalendo nasikitishwa sana na taasi za umma ambazo zinatumia fedha za umma katika kazi zinazotekelezwa kwa viwango vya chini hatimaye kutumia fedha nyingi za wananchi katika...
4 Reactions
31 Replies
560 Views
Wakuu niaje Mimi binafsi Nawatakia heri ya Christmas na mwaka mpya 2026 members wote wa JF, Ujumbe ni mmoja tu Sometimes we create our own heartaches through expectation. Tuma salamu na heri...
13 Reactions
102 Replies
3K Views
Pale mawasiliano tower sio wageni ila hii sehemu ndio unaambiwa kama vitafungwa vifaa vya mawasiliano juu kama huduma za internet za majumbani au vifaa vyengine. Hapa mpaka aliye...
1 Reactions
4 Replies
331 Views
Boxing Day inaadhimishwa tarehe 26 Desemba ikihusishwa na desturi ya kugawa zawadi au msaada kwa watu wa hali ya chini Boxing Day au ikifahamika zaidi kama Siku ya Zawadi ni muda wa kufurahia na...
6 Reactions
16 Replies
351 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…