Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watoto ama vijana walio chini ya miaka 30, wana advantage moja kubwa sana katika afya! KUPONA MAPEMA mtoto akiumia kama ni wa mazoezi basi haihitaji hospitali hua anapona mwenyewe hata kama ni...
1 Reactions
2 Replies
152 Views
Mtandao maarufu wa Muziki Duniani, MTV unajiandaa kufunga Chaneli zake za mwisho za kimataifa za video za muziki Desemba 31 mwaka huu hatua inayohitimisha rasmi enzi ya zaidi ya miaka 40 ya...
5 Reactions
50 Replies
1K Views
Twende kazi, mwaka huu umenunua kitu gani cha thamani zaidi?
4 Reactions
26 Replies
531 Views
Mwaka huu 2026 kutatokea matukio mbalimbali ya kushangaza kuhusu Anga Yenye kuvutia Machoni na kushangaza. Utaweza kukutana na mambo mbalimbali kama vile Mwezi kubadili kuwa mwekundu, kutokea...
0 Reactions
1 Replies
323 Views
Katika harakati zangu za kutembelea ndugu jamaa na marafiki leo Mwaka mpya nimekutana na hii chamber ya maji ya Dawasa inavujisha maji kama mto maji mengi yanapotea hapa. Nilipouliza wenyeji...
0 Reactions
0 Replies
105 Views
Mnakumbuka wae madereva wa Lori Tanzania walirudishwa nyumbani kutoka Qatar walipoenda interview kwa kushindwa kuendesha malori ya kisasa. Na wasiwasi na hizi ajira 500 za pikipiki za huko Falme...
3 Reactions
17 Replies
406 Views
Kanisani kwa Gwajima Leo ulinzi umeimalishwa tukimsubiri kwa mara ya kwanza anajitokeza live lakini atakuwa chini ya ulinzi mkali saaaana!!!
1 Reactions
2 Replies
215 Views
Watanzania wengi wakipata ajira hawataki kujisumbua, kwanza kumekuwa na malalamiko mengi ya dharau, muda mwingi hawapo maofisini, kazi ya siku 1 inafanywa mwezi, kupenda kitu kidogo (Rushwa), n.k...
2 Reactions
3 Replies
128 Views
Nasikia kuna mmama huko Zanzibar anaitwa Samia eti anataka kulihutubia taifa usiku huu Yeye ni nani haswa mpaka alihutubie taifa? Kwa nini asiwe busy kumhudumia mumewe badala ya kujipa umuhimu...
5 Reactions
5 Replies
191 Views
Msoto uko pale pale, kinachobadirika ni namba pekee. ] Tuendelee kupambana, hakuna namna, HAPPY NEW YEAR FRIENDS.
1 Reactions
8 Replies
259 Views
Hapo zamani za kale, aliishi mkulima mmoja aliyekuwa na Bata wa ajabu sana kuliko wote ungeweza kuwazia. Kila siku alipofika kwenye kiota chake, Bata huyo alikuwa tayari ametaga yai moja zuri...
1 Reactions
4 Replies
268 Views
Labda sijafika saudia ila nimeona tabia zao yani mwanaume mwenzangu unapika utazani mtoto wa kike tena unashinda jikoni. Sisi wanaume tunajua kupika ni kuchoma nyama na kupika supu. Sasa...
2 Reactions
21 Replies
504 Views
Wadau maeneo hayo huko New Zealand na Antarctica muda huu ni januari 2026
4 Reactions
11 Replies
222 Views
FAIDA KUMI (10) ZA KUSOMA VITABU. 1. Ni chakula cha ubongo. Bila kusoma ubongo unadumaa. Hivyo inakupasa kusoma ili kukuza ubongo/akili yako. 2. Vitabu vinakufikisha mahali popote duniani...
36 Reactions
38 Replies
6K Views
Ndugu zangu Waislam Quran 16 : 67 "Na kutokana na matunda ya mitende na mizabibu mnatengeneza ulevi na riziki nzuri. Hakika katika hayo ipo Ishara kwa wanao tumia akili." Tumeruhusia...
11 Reactions
88 Replies
991 Views
Leo ni Alhamisi ya tarehe 01.01.2026 Ni siku ya kwanza ya mwaka mpya 2026. Tuma salamu kwa members wawili wa JamiiForums uwatakie heri na fanaka za mwaka mpya 2026..
3 Reactions
3 Replies
253 Views
Ni takribani siku nne, kumekuwa na mjadala mzito umeibuka baada ya taarifa kuwa vijana wawili wanaodai kuandika barua ya malalamiko kwa Balozi wa Vatican (Papal Nuncio), Archbishop Angelo Accatino...
16 Reactions
30 Replies
643 Views
Watu 10 wamefariki dunia huku wengine 18 wakijeruhiwa katika ajali barabarani iliyohusisha basi la abiria aina ya Mitsubishi Fuso, mali ya Kampuni ya Bill Mawio, kugongana uso kwa uso na lori la...
1 Reactions
4 Replies
306 Views
Katika juhudi za kuimarisha usalama, Umoja wa Umbwe Sinde Community umeandika historia mpya ya maendeleo ya kijamii kwa kuchukua hatua madhubuti za kuboresha usalama na huduma za afya kwa wakazi...
2 Reactions
2 Replies
193 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…