Rais kwa utu ameunda tume ya uchuguzi juu ya vurugu za oktoba 29.
Watu walipoteza maisha ila mpaka sasa ilianzia idadi ya 1000 ikaja 2000 - kwa sasa 10,000. Je, lengo la kupandisha data hizi ni...
Nikiwa napitia kitabu chenye jina la kiongozi, ambacho kinajulikana kihistoria kama The Prince, kilichoandikwa na Niccolò Machiavelli mnamo karne ya 16, nilikutana na hoja zilizofanya nianze...
Askofu wa Jimbo Katoliki Njombe, Mhashamu Eusebio Kyando, ameonya kuwa Waumini wa Kanisa Katoliki hawagawanyiki, akieleza kuwa katika siku za karibuni kumejitokeza jitihada za baadhi ya watu...
Namkubali Sana huyu mzee kwa Kuwait mkweli na mwenye msimamo usio yumba na sio mnafiki
Tunakumbushana tu kuwa ndio waziri mkuu aliyehudumu kipindi kirefu kuliko wote katika historia ya taifa letu...
Hakuna sababu ya kuunda tume kufanya maridhiano na watu ambao walijipanga Kwa lengo la
kuvuruga amani ya nchi
Kuvuruga uchaguzi
Kuharibu biashara za watu
Kuharibu miundombinu ya serikali...
X ni mtandao wa ngono, dunia inatambua ukweli huu ndiyo sababu inapozungumziwa yanatumika maneno ya kuficha aibu "Formally known as Twitter" "Iliyokuwa ikijulikana kama Twitter"
Inakuwa vigumu...
Sera iliyotangazwa na serikali ya Marekani ya kupanua vizuizi vya kuingia nchini humo hadi nchi 40 kwa kisingizio cha "usalama wa taifa" imeanza kutekelezwa rasmi kuanzia tarehe mosi, Januari ya...
Kwa hesabu zetu huu ni mwanzo wa mwaka Kwa mujibu wa kalenda tunayoitumia, zipo kalenda nyingi lakini hii ndio iliyomakinika na kuwa na nguvu hivyo yote yatakayofanyika na kutokea Kwa mwaka huu...
Oya eeh jana mambo km vile hayakuenda vizuri. Nlikua nasafisha rungu kwa izi dada poa asee si nkashtuka ndomu imetoka na kubaki ndani ya k bila mi kujua, bizee naendelea na kazi.
Sasa nina...
'Kuna Mwalimu wa shule ya sekondari nilimpeleka mwanangu kidato cha kwanza siku chache baadae mwanangu akarudi na fomu ya veta nilipomuuliza mwalimu akasema mwanangu inatakiwa aende veta sababu...
Usiku huu muda wa saa tano usiku imetokea ajali mbaya ya barabarani. Gari ya abiria inayofanya safari zake kutoka Mbagala kwenda Kigamboni ilipoteza uelekeo na kugonga kingo za barabara na...
Salaam, Shalom!
Mtu alivyo ni matokeo ya chakula anachokula.
Ni Kweli waafrika tunapenda ugali, lakini ugali Hauna faida sana kiafya na kiakili kama ngano,
Sasa tusilalamike tena kusema wazungu...
Wakuu poleni na matatizo yanayoikumba nchi yetu. Poleni kwenu mliopoteza ndugu, jamaa, na marafiki kutokana na yaliyojiri oct29
Bila kuwachosha. Kuna msemo maarufu usemao """Wajinga ndiyo...
Binafsi nafikiri kuna changamoto watu hawajaziangalia vizuri kabla ya kufikiri kuwa wachina ni tatizo nalo ni ukosefu wa Elimu, Elimu, Elimu ya Biashara
1. Wafanyabiashara wa Tanzania walio wengi...
Maisha yanahitaji maamuzi kila siku. Baadhi ni madogo, kama nini ule au nani umpige simu. Mengine ni makubwa—kazi, biashara, mahusiano, marafiki, au hata namna unavyojiona mwenyewe. Tatizo...
Pigia kura Member bora wa JF kwa vigezo.
Mimi nimeona tuanzie kuwapigia kura hawa. Pendekeza nan aongezweKwa List
Disclaimer: Haya ni maoni yangu binafsi.
Na pia sio ushindan na hakuna zawad...
Tarehe 1 Jan 2026 (yaani Leo) nimesafiri kuja DSM, ninapoishi, kwa gari la KLM.
Kabla ya hii safari nilichukua lodge uchwara karibu na ofisi za Kilimanjaro hotel (bei elf 20). Wakati naenda...