Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Achana na Sekenke ya sasa hivi iliyochongwa, kuna ile ya zamani ambayo haikuwa na lami. Mara ya kwanza napita pale 2006 kwanza tukashushwa kwenye gari wakabaki wazee, watoto na wagonjwa, bus...
3 Reactions
7 Replies
385 Views
  • Redirect
Walae wakatoliki 100 wa mchongo kutoka buza kwa lulenge , hatimae wameonekana wakiimba mapambio ya Yesu ndio mwamba huku nyuso zao zikionyesha wasiwasi mkuu. Lakini pia kulisikika sauti...
0 Reactions
– Replies
– Views
Wahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa Babu Trump hana hata mwezi ameonya juu ya matukio ya ukandamizaji, unyanyasaji na mauaji ya wakristo. Marekani ni watu wana intelenjinsia Kali...
5 Reactions
12 Replies
308 Views
Huu mtandao wa propaganda ambao unatumika sana CCM ulipoona delta force imemkamata raisi wa Venezuela nao wakaja kwa njia hii . Kama walikuwa wameona hiyo ndo habari mbona ya Venezuela wajaweka...
0 Reactions
1 Replies
249 Views
1: Kuruhusu mgeni alale na mtoto wako mdogo chumba au kitanda kimoja 2: Kuwabania vikali mabinti katika mikusanyiko ya kila siku ya maisha, hii imetengeneza vijana wengi machapati mikoa ya pwani...
5 Reactions
20 Replies
410 Views
Mtoto Nicholaus Nkinga (9) ambaye changamoto yake ya matibabu ya mguu iliyomgusa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameanza rasmi kupata matibabu ya kibingwa...
1 Reactions
11 Replies
302 Views
DJ Bonny Luv(kushoto) akiwa na Ahmir Khalib Thompson aka QuestLove Drumer kutoka kundi la The Roots.QuestLove ni DJ,Producer,mwandishi wa muziki nk.Miongoni mwa artist maarufu ambao amewahi...
15 Reactions
55 Replies
4K Views
WAKURUGENZI NA WAKUU WA IDARA (SANA SANA DMO's na DEO's) WAMEKUWA KIKWAZO KWENYE ZOEZI ZIMA LA UHAMISHO WA WATUMISHI KWA KISINGIZIO CHA KUTOKUWA ORIENTED NA MFUMO MPYA WA HUDUMA YA UHAMISHO WA...
11 Reactions
54 Replies
9K Views
  • Redirect
1 Reactions
– Replies
– Views
Wote tunapitia vipindi tofauti mpaka tunakaa sawa,Kuna vipindi life linakua tight sana yaani ukija mchongo wowote huachi. Michongo niliyoifanya kipindi nipo mavumbini ni -Kuuza bando mtandaoni...
7 Reactions
23 Replies
581 Views
Nian̈ze kwa kuonyesha masikitiko yangu ya dhati kuhusu kusuasua kwa mradi wa uwanja wa ndege wa Mwanza, kulikoni? Hivi itawezekana kweli huu uwanja kuanza kutumika mwaka huu. Sisi wananchi wa...
1 Reactions
4 Replies
658 Views
Tukumbuke hapa majuzi Taifa halikuwa na maji kutokana na uhaba wa mvua Mvua zimeanza wiki hii zimesomba reli yetu ya ma trillions ya pesa za walipa Kodi masikini. Hii hii reli itahimiri hali ya...
15 Reactions
77 Replies
2K Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema kitendo cha Walimu na Wanafunzi kutumia choo kimoja shuleni ni uzembe wa wazi, akisisitiza kuwa hakuna Halmashauri nchini...
1 Reactions
1 Replies
253 Views
I am proud kwamba bado nikiwa kijana nime debunk utapeli wa dini na itikadi katika maisha yangu. Thus kwa maana hio, nitakufa sio kama mtumwa wa kitu ambacho ili bidi babu yangu acharazwe viboko...
1 Reactions
3 Replies
175 Views
Kuna jamaa yangu alikuwa Kila mkikaa kuongea stori zake yeye ni kwanini Mungu anamuweka hai na hufika mbali akisikia mtu kafa humlaumu Mungu Kwanini si yeye. Mwisho wa siku jamaa yangu alijiua...
2 Reactions
12 Replies
159 Views
Mioyo inakata, maumivu makali mno kwa wapinzani na Wafuasi wa Mange kama kuona nchi hii imetulia. Wanateseka sana. Nawashauri ni heri waamue tu kumpenda Rais Samia ili waishi kwa amani wasife kwa...
2 Reactions
15 Replies
181 Views
Ni suala la muda watu wataona uniform za jeshi na polisi ni si lolote si chochote
1 Reactions
1 Replies
92 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…