Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni jana tumeshuhudia wanaojiita wakatoliki feki wakiandamana kuelekea kwa Balozi Mwakilishi wa Baba Mtakatifu Tanzania. Mungu alivyokua wa Ajabu hata kabla ya Sinema zao kaamua kuwaaibisha, kwa...
8 Reactions
6 Replies
266 Views
Nimepenyezewa hapa habari za ukweli kabisaa na mtu aliekua kwenye press ya wakatoliki leo, naskia nyuma ya camera kuna mtu si akaleta bwana sinia la mbuzi katoliki na ndizi kama kuwashkuru...
9 Reactions
11 Replies
435 Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam limelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya waumini wa wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church). Waumini hao walikuwa...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
  • Redirect
Lakini leo nitayasema kwa uchache kwa nia ya kujenga na wala sikusudii kuhamasisha uzinzi wala biashara hiyo 1. Usiende na nguo ambazo unazitumia katika shughuli zako za uzalishaji, iwe ni kazi...
5 Reactions
– Replies
– Views
Kiongozi mwenye busara analinda Wanachama wake lakini kiongozi asiyekuwa na hekima Wanachama wake watapoteza uhai Mbowe angekuwa ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA, hakuna mwanachama wake angepoteza...
3 Reactions
174 Replies
2K Views
Hapa wanaJF tujuzane tu maana tumeshatambua wale wakatoliki wa kuchaji na power bank sio wakatoliki. Ila ujaona polisi kuwagusa wala kuwepo. Ujaona tamko lolote la polisi kusema walipewa kibari...
3 Reactions
4 Replies
204 Views
Kukosekana kwa huduma ya maji katika maeneo ya Nyegezi na viunga vyake kumegeuka kuwa tatizo sugu na la kudumu, linalojirudia kila mara bila ufumbuzi wa msingi. Tangu sikukuu ya Krismasi hakuna...
0 Reactions
1 Replies
185 Views
Kuanzia katikati ya miaka ya themanini hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000 huko mkoani Kigoma aliishi " fundi " mmoja aliye julikana kwa jina la Juma Njemba. Juma Njemba alikuwa MTU hatari sana...
115 Reactions
1K Replies
221K Views
Operesheni ya Kukamatwa kwa Rais wa Venezuela: Simulizi Linalozua Mjadala Operesheni iliyodaiwa kusababisha kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro, na majeshi ya Marekani imeelezwa kama...
0 Reactions
0 Replies
488 Views
Sina maneno mengi. Anzeni kuhesabu siku 6 kuanzia leo Ndani ya siku 6 huenda ikawa leo au kesho ila haitavuka siku 6. Mungu ataleta neema yake ambayo ni furaha kwa wananchi ila upande wa pili...
11 Reactions
56 Replies
2K Views
Moja ya vitu ambavyo sikuwahi kukubaliana navyo ni ile dhana ya kusema eti maisha ya Europe ni ya upweke. Upweke unautengeneza mwenyewe tu, ila ukweli ni kuwa maisha ya Ulaya ni mazuri Sana hasa...
26 Reactions
240 Replies
28K Views
May 2026 be a season of growth. May we overcome fear,protect our inner peace,and nurture our body, mind, and spiritual well being. May our efforts bring the results we seek. May misfortune stay...
1 Reactions
2 Replies
150 Views
Hakika huyu ndie Rais wa Uganda baada ya uchaguzi utakaofanyika January 15 2025. Siyo mwengine ni Robert Kyagulanyi Ssentamu almaaruf Bobi Wine anayependwa na kukubalika karibu na waganda wote...
3 Reactions
15 Replies
275 Views
My people, Habar iliyopo duniani sasa hivi ni kukamatwa kwa Maduro wa huko Venezuela, hapa nakuletea habar za kikachero kutoka Caracas. Pentagon,Marekani Mpango mzima ulianza mwaka mmoja...
5 Reactions
33 Replies
738 Views
Kumbe huko peponi kutakuwa na maskini kama huku duniani. Hili sikulijua mie wallah. Kwahiyo Allah atakuwa na ubaguzi? Aidha ameongeza kusema kuwa hata zile bikira zitakuwa zinarudi kila...
6 Reactions
31 Replies
434 Views
Habari wanaBodi Watanzania bado tukiwa katika sintofahamu juu ya wanafunzi 7000+ waliofukuzwa chuo cha UDOM siyo vibaya tukaangalia namna gani HAKI inavyoweza kutendeka bila upendeleo wowote kwa...
35 Reactions
396 Replies
89K Views
Katika hali za sintofahamu juu ya utendaji wa tofauti sana kati ya rais wa sasa na yule aliekuwa mtangulizi wake, kwa muda mchache sana tumeona mengi yakibadilishwa kwa kasi ya kimbunga. Huku...
6 Reactions
66 Replies
10K Views
Huu ni ukweli muhimu na mchungu kwa wote walioonekana kwenye media kisiasa ...katika uzoefu wangu hakuna mkatoliki mwenye haiba ya kikatoliki awaye...
0 Reactions
1 Replies
123 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…