Heri ya mwaka mpya kwenu wanajukwaa wote. 2026 ukawe mwaka wa baraka na fanaka!
Tuma salamu za mwaka mpya kwa mwanajukwaa yoyote ambaye ungependa kumtakia heri.
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuutaarifu umma kuwa mnamo tarehe 06 Januari 2026, Kampuni ya Nestlé nchini Uholanzi (Netherlands) ilichapisha katika tovuti yake taarifa ya kusitisha...
Growing up, nilitambua dunia inamtaka mtu alie honest, mnyenyekevu na mchapakazi
HAPANA SIKUWA SAHIHI,
dunia inataka mtu alie mchapapakazi, ruthless na aggressive.
Kwa wale wa asante mkapa...
Wahuni hawana mdaaa
As well as huuelekeee kuwa karibu nao na huendani na matarajio yao
Shwaaaaaaaaa.
Wewe sio chawa. Shwaaaaaaaaaa.
Eti huyu dogo katambi ana misuli ya kutosha wizara mambo ya...
Ni aibu, ni fedheha, ni upuuzi wa hali ya juu kabisa kuona taifa linaloitwa “lenye dira na maendeleo” linaendelea kubeba mizigo ya wazee vilaza wanaoshikilia vyeo kana kwamba ofisi za umma ni...
Soma ata ufundi mbona unalipa ,uvivu tu kelele kibao ajira hakuna kwaio serikali iajiri wangapi? Use brain
Emu pitia hizo kozi za ufundi tena ada himilivu kabisa
Kampuni ya Sea bus express inayofanya route ya Mwanza to Tabora, wanapakia abiria wa kwenda Mbeya badala ya kuwafaulishia Nzega ili wapite njia ya Dodoma Iringa kama walivyokubaliana wao...
Moja ya Changamoto itakayo jitokeza ni ya Nani atatawala nafasi ya Unaibu waziri wa Habari, utamaduni, Sanaa na Michezo.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma...
Naomba unisaidie kuuliza ni lini vijana waliofanya kazi ya kuchukua maoni kwa mfumo wa viva wakati wa uchaguzi mkuu watalipwa pesa zao, kwani bado hawajalipwa na kila wakiuliza hakuna majibu.
EE MUNGU BABA SIKIA SALA YANGU
NAOMBA A ALE WOTE WENYE NGUVU NA UWEZA WA KUJISAIDIA VILE VYOO NILIVYOVIONQ MIE LEO HIO PALE MBEZIUWAPE TKT YA MOJA KWA MOJA KUFIKA KWAKO BABA MAANA WANAYOPITIA...
Ni ukweli usiopingika kuwa hizi mita mpya ni unyonyaji sana kwani umeme haukawii kuisha.
CCM ni wanyonyaji sana kwa watanzania.Kwakweli inahitajika nguvu kubwa na mapambano kuwaondoa hawa...
Nina ushauri wangu kwa Serikali kuhusiana na barabara ya treni (Reli) ya kuzunguka hapa Mjini Dar es Salaam inatakiwa kufanyiwa marekebisho au maboresho kwani ni muda sasa sijaona ikifanyiwa...
Sisi ni Wakazi wa Mtaa wa Isevya, Muhimbili – Ilala, Dar es Salaam. Kuna kipande cha barabara kimefukuliwa kwa zaidi ya miezi miwili sasa. Baada ya kufukuliwa walimwaga kokoto mara moja tu, tangu...
Napenda kuchukua fursa hii kuwaandikia barua hii kama Mwananchi mzaliwa na mkazi wa Mkoa wa Arusha, nikiwa na dhamira ya dhati ya kuchangia mawazo na maoni yatakayosaidia maendeleo ya mji wetu...