Haya Mabrazameni wa Madale na Goba wenye Majumba yenu ya Kifahari kumbe nanyi si lolote wala chochote kwani mnaishi na Mavi (Vinyesi) Majumbani mwenu.
Kumbe nilifanya la maana mno kuihama Kawe...
Mh. Waziri wa Afya sisi kama wauguzi tunakushangaa sana unapozungumzia masilahi ya upande mmoja wa taaluma ndani ya kada za afya, Ndani ya taaluma za afya tupo wataalamu wa tulisoma course tofauti...
Mfano mzuri hapo uganda pamoja na kwamba museveni amekaa madarakani muda mrefu lakini uchaguzi huu ana asilimia approximation 78% japo kuwa na yeye ni janjajanja atleast kidogo sasa huyu wetu daah...
Ili siku atakapo kuwa pembeni ya kiti ajute kwa alichokifanya kwa maslahi ya wengine.
Kuna siku na yeye atapiga simu kwa watu ambao sasahivi ni watu wake saana na hazitapokelewa.
Hataweza Tena...
Ee Mungu wa Haki na Amani ya kweli. Tunakupigia magoti. Ninakupigia magoti. Ninasujudu mbele yako ewe Muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo. Ewe mwenye mamlaka pekee ya kutoa na kutwaa uhai...
Tunaona magari ya serikali yanayoonekana wazi kabisa kuwa mapya Prado za 2024/2025 lakini yanatembea na namba za usajili za zamani za miaka ya 2000, mfano T 220 ATZ.
Hii ni akili ya kawaida au ni...
Adui ni adui tu hata kama anakupongeza. Nimejifunza mambo machache sana kwa hotuba nyingi Mzee warioba tokea kwenye mchakato wa kupata katiba mpya mpaka leo, ninamuelewa sana asemavyo na weledi...
1. Hakuna kumbato demu kwa kipindi fulani au maisha yako yote ila unaruhudiwa kupiga nyeto tu mfano mzuri chief godlike
2. Usiwape fedha ndugu zako wa damu hata iweje na siku ukifanya hivyo...
Nimeona mdau mmoja kachangia kuhusu udom
Binafsi nimefika pale hasa hayo majengo ya COED ambayo ndio wanaishi wanafunzi wa TIBA na EDUCATION watoto sio wanateseka na uchache wa sehemu za kulala...
Ni bora pasiwepo na vyama vya siasa lakini ukawapo ushirikiano wa dhati baina ya waislamu na wakristo kwani kila siku,tunashirikiana kwenye mambo mengi mno.Angalia baadhi ya mambo tunayoshirikiana...
Sometimes unaweza kusema tofauti yao ni uniform tuu
Mwaka 2005 vibaka/wezi waliruka ukuta wakavunja mlango wakaiba jikoni na sebuleni kisha wakaenda kufanya karamu kwenye gari
Kulipokucha...
- Baada ya video ya jiko lile na wanafunzi kusambaa, viongozi wakamkamata, wakamlazimisha arekodi video ya "maelezo ya uongo" ili wamuachie, na video yenyewe ni hii chini
Unyanyasaji na upuuzi wa...
Mungu ameruhusu tule nyama yoyote ya wanyama aliowaumba. Yesu ni Mungu, alipokuja hapa duniani aliidhinisha tule hata kitimoto🐖(nyama ya nguruwe).
Alitoa ruhusa hiyo katika Marko 7:14-23(BHN)...
Hii imetokea siku ya Ijumaa tarehe 16 January 2026, Kuna jamaa aliingia kwenye hili TAWI, akiwa ameenda kupata huduma ya kuweka fedha katika akaunti zingine, lakini yule mteja Kila alichokuwa...
Kijana dereva wa bodaboda anayefahamika kwa jina la Brown Anthony ameibua gumzo kubwa miongoni mwa wananchi baada ya kufanikiwa kusafiri kutoka jijini Mbeya hadi Dar es Salaam kwa kutumia pikipiki...
Changamoto inayoisumbua Tanzania ni kulega kwa misimamo ya kusimamia Sheria zake na si vinginevyo
Tanzania ijikite zaidi kwenye kusimamia Sheria zake itafanikiwa kuliko hata Mataifa makubwa...
Hamis akiwa Segerea ameandila Kitabu Kuhusu tukio lake la mauaji ya Mke wake na anatamani Kila Mwanaume akisome hiko Kitabu.
1.Hamis baada ya Mke wake kukata Roho pale kwenye Ngazi majira ya Saa...
Habari za mda huu!
Naenda kwenye mada fupi tu. Nimetaja mafuta hayo sababu common sana kwa wengi wetu. Ila kuna mafuta mengi yapo mtaani ambayo yanaganda.
Na uhakika wa haya mafuta kuwa...
Kuna wazazi sasa hivi mnausasa wa kuwaacha watoto wajifanyie wanavyo taka wao yaani wanajifanyia maamuzi ndio maana sasaivi wasichana wengi wamezalia nyumbani na mmelizikia hivi ni kawaida mtoto...