Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimepata taarifa zisizo rasmi kwamba eti lile bwawa la umeme la Rusumo linalojengwa huko Ngara Tanzania, eti switch zake za kuwashia na kusambazi umeme zinafungwa Rwanda. Maana yake ni kwamba...
24 Reactions
316 Replies
28K Views
Serikali ya mkoa wa Dar es Salaam kupitia kwa Mkurugenzi wa Halmashauri wa Jiji hilo Ndugu Elihuruma Mabelya amesema, wameandaa tamasha la IST ambalo limelenga kukutanisha vijana wa vyuo...
0 Reactions
0 Replies
164 Views
Nimetoka kuwasikia kwa juu juu kwamba katika miaka hiyo walikuwa na heshima yao jiji la Mwanza. Kuna msanii mmoja walitaka kumpiga, lakini alinusurika baada ya kuzuiwa na msanii wa eneo hilo.
4 Reactions
4 Replies
255 Views
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imesema kuwa mtu au taasisi yoyote itakayobainika kukiuka faragha au kutumia taarifa binafsi bila ridhaa ya muhusika au kinyume na taratibu zilizowekwa...
0 Reactions
0 Replies
201 Views
Tangu jana hadi leo nimesoma humu hoja mbalimbali kuhusu wale "Wakatoliki" walioandamana kwenda Ubalozi wa Vatican. Nikajifunza, nikaacha niliyojifunza, halafu nikajifunza tena. Natangaza maslahi...
6 Reactions
4 Replies
419 Views
  • Redirect
Match of the day ;al Ahly vs Yanga Africa CAF champion League imerejea tena macho yote ya wapenda football yapo misri leo, Leo maji na mafuta yataanza kutengana. #all the best AL AHLY.
1 Reactions
– Replies
– Views
Mwezi Julai 2025, wanafunzi na walimu 20 wa Chuo Kikuu cha Ualimu cha Zhejiang waliwasili Port Elizabeth nchini Afrika Kusini, na kuwa wimbi jingine lisiloyumba la mawasiliano ya kielimu baina ya...
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Nimepata taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kwamba Mhe. Mbowe anatumia nafasi yake ya uanafamilia kuihujumu CHADEMA kwenye msiba wa muasisi wetu wa Chama Mzee Edwin Mtei.Sasa iko hivi, imepangwa...
6 Reactions
28 Replies
960 Views
Iogope sana kesho yako maana huijui ikoje, Leo umeshaiona na madhaifu yake umeshayaona ,kesho huijui huenda ukaamka upo hoi kitandani au ukapata ajali ambayo itakupa ulemavu wa kudumu.
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwanza kabsa; uzi huu hauna maana yoyote ya kuharibu biashara zozote za Makampuni ya Bonite pamoja na Azura. Kwenye biashara mitaa bhana siku hizi kuna simulizi zinazosisimua: tone la mvua...
1 Reactions
6 Replies
366 Views
Inasemekana Mbowe kama msemaji wa familia amemualika Rais Samia kuongeza protokali za mazishi ya Mzee Mtei Licha ya kuwepo mvutano wa Serikali na Chadema katika mambo mengi, lakini Mbowe bila...
4 Reactions
22 Replies
615 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (katikati), Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Prof. Neema Mori, pamoja na Mkurugenzi...
0 Reactions
2 Replies
210 Views
TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA ZA BAADHI YA WANAFUNZI WA VETA SHINYANGA KUPORWA NAFASI ZA BWENI UTANGULIZI Chuo cha VETA Shinyanga hadi napotoa taarifa hii, kina uwezo wa kupokea...
0 Reactions
2 Replies
392 Views
Baadhi ya Wafanyabiashara katika Soko la Sabasaba jijini humo wamelalamikia hali ya miundombinu mibovu ya mitaro ya majitaka, ambayo inasababisha maji chafu kupita karibu na maeneo yao ya...
1 Reactions
7 Replies
643 Views
Katika pitapita zangu nimegundua magari haya bana Duhh majanga ukikatiza garage hayakosekani utalikuta kama si linatengenezwa basi limelala hapo garage miezi likitafutiwa spare ama mafundi...
3 Reactions
175 Replies
46K Views
NIliwahi kuwa na shida ya ajira nikaenda kiwandani nikafurahia kuambiwa ajira zipo bila rushwa lakini nilipoanza kazi siku ya kwanza tulipelekwa godown, ule mziki wa kubeba viroba si wa kitoto...
10 Reactions
15 Replies
451 Views
Tuna taizo la kuwa na mzunguko mzuri wa pesa mwisho wa mwezi kisha kukata kwa karibu siku 20. Biashara nyingi zinalala sana katikati ya mwezi. Kwa sababu watu hawapangi foleni dirishani kuchukua...
8 Reactions
45 Replies
729 Views
Tathmini ya utekelezaji wa Mkataba wa Lishe kwa mwaka wa fedha 2024/25 imeonesha mafanikio makubwa, ambapo rangi ya kijani imetawala katika viashiria vingi vya utekelezaji, ikiwa ni ishara ya...
1 Reactions
0 Replies
145 Views
Wakati Mkuu wa Wilaya ya Bukombe, Pasikas Mulagiri akisema chanzo cha mgogoro uliotokea leo Januari 22, 2026 katika mgodi wa Msasa, Runzewe mkoani Geita umesababishwa na kujaa kwa maji yaliyoletwa...
2 Reactions
1 Replies
602 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…