Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hata siku moja hauwezi kuona dubai imeingilia mgogoro wowote hapo mashariki ya kati. Hata siku moja hauwezi kuona maandamano ya kuunga mkono palestina na hamas nchini mwao Hata siku moja...
4 Reactions
69 Replies
645 Views
Waliona namna watu walivyokuwa confused toka utotoni na mambo ya kufikirika na pia wakaangalia ni namna gani mtu mwenye msongo na confusion anapenda maneno ya faraja Waka combine hivo vyote...
1 Reactions
2 Replies
191 Views
Lakini jibu la maswali haya yote tumefundishwa ni mzungu. Ukatili wa biashara ya watumwa ya Waarabu ulijumuisha ukatili wa kulazimishwa kuvuka jangwa na bahari, unayanyasaji wa kingono kwa...
6 Reactions
51 Replies
798 Views
  • Poll Poll
9 Reactions
38 Replies
487 Views
Anonymous
Habari JamiiForums. Naomba kuwasilisha kero yangu kwa mamlaka ya usafirishaji wa mizigo kupitia treni MGR Dar es Salaam kuja Dodoma. Usafiri huu umekuwa ni changamoto kubwa ni mwezi sasa...
2 Reactions
2 Replies
167 Views
Anonymous (2311)
Ukipita barabarani maeneo ya Shekilango unakutana na harufu kali sana ya uozo inayotoka machinjio ya kuku yaliyopo ndani ya Soko la Shekilango. Hivi Manispaa husika Ubungo / Kinondoni wameshindwa...
2 Reactions
3 Replies
292 Views
Huyu mtaalamu kajibu swali la wengi kwa hii video aliyopost. Wale mnaopenda chapati lazima mjue chapati yenye ubora huchukua hadi masaa 7 kwenye mapishi yake. Tazama video...
2 Reactions
10 Replies
284 Views
Mimi sijalipia king'amuzi mwaka wa tatu sasa huduma nyingi natumia mtandao
13 Reactions
162 Replies
4K Views
Nimeona Dw wanasema Zambia karibu 50% ya Dna test zinazofanyika wanakuta akina baba sio waliozalisha. Hapa Tanzania ni zaidi ya 70% kaa na akina mama au akina dada watakupa ukweli wa mambo. Hapa...
13 Reactions
116 Replies
1K Views
1. Maisha ya Utumwa na Baharini •Robert Smalls alizaliwa mwaka 1839 huko Beaufort, South Carolina, nchini Marekani akiwa mtumwa. Akiwa kijana, alipelekwa kufanya kazi kwenye bandari za...
11 Reactions
36 Replies
1K Views
Habari Tanzania ! Hivi hatuwezi tukawa na uhamasishaji wa kujifanyia Utalii wa ndani aidha Wilaya moja kwenda nyingine au Mkoa mmoja kwenda mwingine. Tuboreshe utaratibu kwa kuweka mambo...
2 Reactions
5 Replies
237 Views
Botha aliwahi kuwa raisi wa afrika kusini wakati wa utawala wa kibaguzi. Haya ni baadhi ya maneno aliyoyasema katika hotuba yake inayojulikana kama "the rubicon speech" ALISEMA: "Watu weusi...
11 Reactions
54 Replies
2K Views
Tatizo ni nini wakuu? Je ni kwba ulokole ulianzia kule au waIsrael wote ni walokole?
7 Reactions
32 Replies
563 Views
Ukisoma historia hata ya Biblia, maelfu ya miaka huko nyuma Musa alitumia Hebrew alphabet kuandika vitabu vilivyomo kwenye Biblia, pia ukifuatilia jamii zingine kama Wahindi, Wachina n.k. Walikua...
4 Reactions
17 Replies
301 Views
Alifanya hivi ili iweze kumsaidia katika ambition yake ya kuitawala ulaya nzima. ila wewe 35+ bado unaaamini haujapata mganga mzuri na mafuta uliochukuwa kwa ben haukuyaambatanisha na sadaka...
1 Reactions
5 Replies
285 Views
Nalikuwa kijana sasa ni mtu mzima sijawahi ona mzungu kaangushwa na mapepo ama tajiri akiombewa mapepo yamtoke! Walokole kwa aina zenu FPCT,TAG,UFUFUO,MUNGU WA BENDERA,MASANJA MKANDAMIZAJI...
9 Reactions
133 Replies
2K Views
Hapo ni nyie ndo mnapajua yani ni heka heka kila siku 😂 hiyo yote kuwavuta kwenye chambo, Kuna mwingine ana mafuta ya nazi yani ni balaa😂 jua kwenu ni Kali sana
2 Reactions
15 Replies
479 Views
Habari jana nilitoa 24 hours kwa wahusika WA halopesa baada ya kuwatafuta na kuniletea nyodo, wakazani masihara. Asubuhi saa Moja wakarudisha kwa kubip halafu wakafunga Tena huduma nikatingisha...
6 Reactions
21 Replies
474 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…