Jumuiya ya Mtakatifu Yohana Parokia ya Yombo Dovya Januari 27 iliungana na kushiriki zoezi la upandaji wa miti katika kata ya Makangalawe Wilayani Temeke ikiwa ni sehemu ya kumpongeza Rais wa...
1.Ghana
2.Mali
3.Burkinafaso
4.South Africa
5.Sudan
6.Guinea
7.Cote D'Ivoire
8.Tanzania
9.Zimbabwe
10.DRC
My Take
Tanzania ndio Nchi imenufaika na Utajiri wake wa dhahabu kuliko zingine hapo Juu...
Tuishi sana kwenye maombi aisee. Leo jioni nimefungua Facebook, karibu marafiki 10 tayari wamepoteza wapendwa wao. Kila post ni RIP kaka, RIP dada, RIP aunt, RIP mjomba.
Mmh, hali inaogopesha na...
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza
Naomba leo tujikumbushe kidogo adhabu tulizowahi kupewa mpaka ukatamani Bora akuchape tu yaishe
1) Binafsi nakumbuka kipindi tukiwa shuleni siku Moja...
Wabunge wa Ufaransa wamepitisha mswada ambao utawapiga marufuku vijana wa chini ya umri wa miaka 15 nchini humo kuwa katika mitandao ya kijamii.
Mswada huo uliopitishwa katika Bunge la kitaifa...
Nimeweka hela kwa wakala nmb, mtandao ukaonyesha uko chini, akanirudishia hela nikasepa, baada ya lisaa napata sms NMB hela imeingia, wakala hatufahamiani, baadae ananipigia anasema ameangalia...
Juzi niliona taarifa inaenea kwenye vyombo vya habari kuhusu Mkataba wa ujenzi wa viwanda Pwani.Katika muktadha wa mkataba huo wa uwekezaji unaotajwa kufikia thamani ya Dola za Marekani bilioni 7...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais β Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amesema kumekuwa na mwenendo mbaya wa baadhi ya Watumishi wa umma wasiokuwa na maadili wa...
Hebu tujipigeni vifua mara 10 huku tukisema kwa sauti kuu: "SISI NI MAFALA NA TUNA ELIMU YA KITUMWA!" π€‘π₯
Miaka 60+ baada ya uhuru, bado tunasoma elimu ya kifala iliyochakaa. Tunasoma masomo 15...
Hili swali nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu bila ya kupata majibu π
Nimehitimu Diploma ya Uhasibu kwa shida sana, maana nilikuwa natumia nguvu ya ziada kutafuta wanafunzi wenzangu wanisaidie...
Habari ndugu zangu!
Naomba kuwakilisha malalamiko kwa serikali kuangalia upya eneo linalozunguka uwanja wa mpira ambao ni mali ya serikali pia lipo chini ya halmashauri ya jiji la Mbeya.
Uwanja...
Je Mungu alishamaliza kuumba ?
Tunatambua Mungu aliumba ulimwengu kwa siku 6 na ya saba akapumzika, sasa je baada ya hapo hakupumzika tena mpaka leo imekuwa tu mwendo wa kuumba viumbe wapya...
Hizi guest za elf 15 mpaka 30 utakuta ndala ni rangi tafauti, hivi Kuna watu wanaiba ndala? Mtu kalipia guest elf 20 aibe ndala za buku 2 kweli au watu wa guest wanakuza tu mambo!
Eti mjusi...
Habari wandugu!
Tokea jana naona app ya halotel inanikatalia kufanya kazi. Nikiingia nakutana na ujumbe unaonambia ni update app yangu. Nikienda play store nakuta hakuna updates zozote yaani app...
Wakazi wa Majichumvi Mtaa wa Tembomgwaza-Kimanga, wilayani Ilala jijini Dar wamefunua vinywa vyao kulalamikia uchimbaji haramu wa mchanga pembeni ya Mto Luhanga unaofanywa na vijana, hivyo...