Mwaka fulani nikiwa wilaya moja mkoani Iringa nikifanya kazi katika hospitali ya wilaya ya Kilolo katika idara ya TEHAMA.
Nikakutana na chotara wa kihehe na kizungu kwenye korido, wapo wengi sana...
"Miradi mikubwa ya nchi inayokuja kufunguliwa, kwanini msiweke hata asilimia moja ya sherehe, kwa mfano kama juzi tumekwenda kufungua Meli, pale wananchi wamekuja kwa tabasamu kubwa kuona Meli...
Hawa ndio watumishi wa umma wenye mambo ya ajabu na ya kustaajabisha
Walimu
Watendaji wa vijiji
Maafisa polisi
Katika Makundi haya ndio watu utakuta wanaishi kwa Madeni from January to December...
Kuna mtandao mkubwa unaohusisha madaktari, wauguzi na watendaji kwenye baadhi ya mahospitali yetu ambapo mabinti au wamama wadogo wanaporwa watoto kwa janja ya changamoto za wakati wa...
Tumepotelewa na Mama anayeitwa Verediana Mataba au Mama Jane siku ya tarehe 27 Januari 2026 katika maeneo ya Kisesa Mwanza.
Mama huyu ni mwenyeji wa Buhare Musoma na alikwenda Mwanza kwa ajili...
Kwa Takwimu zinazotolewa na TAMISEMI kuhusu elimu zinaonesha kwa mwaka 2024 jumlay ya wanafunzi 100,109 waliacha shule. Katika idadi ya watoto hao, idadi ya wanawake na wanaume ina tofauti ambapo...
Unakuta kijana ana elimu nzuri tu na nidhamu ila hayuko familiar kabisa na maisha mengine ya kidijitali.
Kijana hajui kutumia word, hajui hata Chatgbt ni nini, kijana anapeleka simu kwa fundi ku...
Moderator naomba sana uzi huu uwe huru ni muhimu kiafya. Mdau wangu Usijaribu kutumia Unga wa Mlonge ambao Umeanikwa JUANI. Ni muhimu sana kutumia Unga ambao Umeanikwa Ndani ya nyumba kwa muda...
Dah Ndaro mchekeshaji maarufu Tanzania hasa kwenye mitandao ya kijamii kavuta ndinga kali Audi Q 6 yenye thamani ya shiingi million karibia 60.
Na hii ni ndinga yake ya pili.
Watu bongo wanapiga...
Orodha ya nchi kulingana na pato la taifa;
1. Afrika Kusini $410.34b
2. Egypt $347.34b
3. Algeria $268.89b
4. Nigeria $188.27b
5. Morocco $165.84b
6. Kenya $131.67b
7. Ethiopia $117.46b
8. Angola...
Hebu tuache unafiki wa kuitana “wasomi.” Ukweli mchungu ni kwamba, kuanzia darasa la kwanza hadi chuo kikuu, mfumo wetu wa elimu mara nyingi haujengi maarifa ya vitendo wala fikra huru, bali...
Kuna sekta itapata neema ya kwenda nje kupata exposure, uzoefu na ujuzi katika tasnia/shughuli zao...
Pia watarudi na vifaa vyenye technolojia ya kisasa kabisa ili kurahisisha kazi zao.
Ni Kama...
Sina cha kufaidika kuwadanganya katika hili ila ndio hali ilionipata usiku huo. Wala sikulala na taharuki na wlaa sikulala katika mawazo ya kitanda changu kuwa chumvi ila nilipitia hali ngumu...
Hivi huyu kichwa chake kipo sawa kweli? Anaongea maneno ambayo hata nafasi yake inamsuta na kumutkana.
Yalitokea Oktoba 29 na 30 ndio maana ya haki za binadamu? Kuna familia hadi leo hawajui...
1 • Unahitaji Pesa Ili Uishi Comfortable.
2 • Watu hawajali matatizo yako. Wanajali vile unavyoweza kuwasaidia wao watatue wakwao.
3 • Kujiajiri na kuanzisha stable business ni kazi ngumu...
Ndugu wapendwa,
Jumamosi iliopita saa saba na nusu mchana kwa walio Tanki bovu kule chini jiran na Mh Mboma wanakumbuka kilitochotokea
nikiwa na mama Didy nje tunapata juice ya origin kutoka kwa...