Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dhahabu ya taifa si “pesa iliyoko mezani,” bali kinga ya taifa, inadumisha thamani ya sarafu, inakabiliana na mfumuko wa bei, na inavutia uwekezaji. Kuiondoa kutoka hazina au kuuza zote mara moja...
4 Reactions
20 Replies
507 Views
Kuna Bwana mmoja maarufu anaitwa JOMEKE; Huyu bwana ni katika wale watu wasiokuwa na vifua, hana stahimala akiona jambo. Vijana wanasema friji lake haligandishi. Jomeke hawezi kabisa kuficha siri...
5 Reactions
11 Replies
353 Views
Anapenda sana kuwa uchi anapojihisi yupo peke yake, Ni mtu mzima yupo kwenye 40 Ukienda kwake lazima upige simu mara nne hadi tano kumwambia ujio wako lengo likiwa asijisahau mumkute yupo uchi...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Waarabu wanawapenda sana waafrika. Waarabu ni ndugu zetu
2 Reactions
11 Replies
283 Views
Habari zenu? Nimekaa na kufikiria kitu ambacho kina ukweli ndani yake, kitu kinachorudisha maendeleo ya vijana chini ni kamari. Leo ukipoteza 1000 baada ya siku 10 ni 10,000. Baada ya siku 100...
8 Reactions
35 Replies
525 Views
Sijajua ni kwanini wa China wakikutana nchi za nje haswa kikazi hawapendani na hawana ukaribu tofauti sana na watu wa jamii zengine kuna mtu aliwahi kuniambia kwamba hawataki kuwa karibu sababu...
7 Reactions
18 Replies
344 Views
Nauza vitu vya ndani sofa, meza, kingamuzi cha azam, meza ya tv, na nk. Nicheki kwa namba 0710504065
4 Reactions
14 Replies
450 Views
Hamjambo! Msibabaishwe na teknolojia sijui mitandao ya kijamii. Mkafikiri mtaishi huko mitandaoni. Msijisahau. Mambo yanaenda kubadilika sio muda. Nunueni hata huko madongo kuinama. Mashambani...
16 Reactions
85 Replies
1K Views
Kwa uzoefu wangu Hawa mabinti kuanzia umri wa balehe Hadi miaka25 au zaidi kidogo Huwa huwaambi kitu wakakusikia. Haijarishi wewe ni mzazi wake au kaka yake vyovyote vile hata kama wewe ni...
11 Reactions
128 Replies
5K Views
Mwaka 2025 kulitokea vurumai nchini Israel pale kundi la wanazuoni wa Kiebrania wajulikanao kama Haredi lilipotakiwa kujiunga na jeshi la nchi hiyo kisheria. Hoja kubwa iliyojengwa na Serikali...
13 Reactions
108 Replies
1K Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda amesema Serikali ipo kwaajili ya kuwawezesha Vijana wenye ndoto yakuwa mamilionea kupitia maudhui ya kazi zao huku akimtaja mchekeshaji...
3 Reactions
11 Replies
436 Views
Nataka nikatafute suluhu hivi kwanin nakua na tamaa za kijinga sana bora nikajiloge niwe zuuzzuuu nisiwe nataman mbuny
4 Reactions
6 Replies
198 Views
Niliitwa kama mwandishi kwenye kikao cha wafanyabiashara wa Soko la CCM Katoro Geita. Nilifika kusikiliza kero zao kuhusu vitendo vya mwekezaji wa soko hilo ambavyo vimekuwa vikiwanyanyasa...
2 Reactions
9 Replies
359 Views
Kusema ukweli mm sipendi kuhudhuria vikao ila watakalopanga kwangu ni Hilo naruka nalo tu.
4 Reactions
15 Replies
340 Views
Wewe Samia na wenzako hebu kuweni na utu. Huu ushetani wenu umefikia kiwango cha A+ Hebu kuweni na roho ya ubinadamu hata kidogo tu. Sisi Watanzania tuliwakosea nini mpaka mnatumia ubabe...
13 Reactions
14 Replies
399 Views
GT Kwanza kuanzia Alhamisi last week bei imeporomoka hatari japo ilipanda kwa miezi 4 mfululizo. Na hatujui itaporomoka hadi wapi maana inazidi kushuls tangu watangaze kuuza dhahabu inawezekana...
1 Reactions
5 Replies
224 Views
Umoja wa Madereva Bodaboda Jijini Mbeya umeiomba Serikali kuingilia kati mgogoro unaofukuta kati yao na Mwenyekiti wa umoja huo, Aliko Fwamba, anayetuhumiwa kushindwa kuitisha Mkutano Mkuu...
1 Reactions
6 Replies
183 Views
Role Model wangu ni Mohammad. Namkubali sana kwa mambo yake na maisha yake. Mi napenda mademu. Nawachakata sana. Siyo kipolepole. Iwe mijimama/mishangazi na vichen chede. Hii ipo damuni kama...
1 Reactions
4 Replies
164 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…