Na ni kwa ajili ya nni?
Kuna faida zozote za kufungua acc ya kawaida na hii minor acc?
Ukiuza share hela zako wanakuwekea wap?? Maana hamna sehemu wamenidai benk acc
Naomba tafsiri ya hiyo picha.
Kwene DSE
Lini unaweza toa hela??
Je kama hisa zinashuka unaweza ziuza ili usipate hasara??
Ukiuza hisa ulizo hold inachukua muda gan kupata hela yako??
Je kuna...
Mteja wa First Bank, Ojo Eghosa Kingsley, huko nigeria, amehukumiwa na mahakama kifungo cha mwaka mmoja jela kwa ukataa kurejesha pesa zilizoingizwa kimakosa kwenye akaunti yake.
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Bank kuu kama msimamizi wa sera kuna wakati akitaka mfumuko wa bei uwe chini kwenye fedha tu achilia mbali dhahabu wanatumia ligwidipaper zake za...
Fursa lukuki ambazo zipo ndani ya awamu hii ya Samia gen Z wala hawazihangahikii badala yake vijana wachache mostly ni UVCCM ndio huzipata yet gen Z wanaendelea kusema wanapeana.
Hawa vijana...
Yeah, ni chuki tu za watawala wetu na Roho mbaya ,ila Jamii forum ingekuwa ipo mbali zaidi ya hapa . Ila ndio hivyo tuna watu kwenye viti vya mamlaka wana fantasize na ku wish jamiiforum...
Zilikuwa ni pete, bangili, hereni na cheni.
Watu walikuwa wajia mara nyingi kumuulizia mama wakiwa wameshika bahasha zenye nyaraka.
Kuna siku mama alichukua vito vyake vya dhahabu, sikuwahi...
Mwanadamu hajui wala hatambui siri ya kifo, bali ni aliyeumba ulimwengu huu ndiye anayeijua. Lakini baadhi ya machaguo katika maisha hufanya watu kufanya tathmini ya kifo chako mwenyewe au kujua...
Waziri wa Elimu Kaka yangu Profesa Adolf Mkenda, naandika haya kukujuza haya. Vyuo vya kati vilikuwa kimbilio letu la watoto wanaosoma shule za kata, shule ambazo wanafunzi wanaweza kumaliza mwaka...
Nimefuatilia leo mkutano wa kuweka saini amani kati ya Rwanda na Congo naona Trump kawaalika kenya,Burundi,Uganda kama mashahidi Tz imerukwa
Ikumbukwe kuwa Tz ndio ilikuwa mstari wa mbele...
Kuna changamoto na adha kubwa tunapitia Watumishi wenye mahitaji maalum kwenye suala la uhamisho, tunapangiwa sehemu za kufanya kazi ambazo sio rafiki, hivyo inaathiri utendaji na inapotokea...
Saudi arabia anahangaika kulipa mabilioni ili Barcelona na real Madrid wakacheze kwenye ardhi yao, nasikia alitaka kuwalipa england pesa mechi za mzunguko WA pili WA EPL zikachezwe saudia SIJUI...
Dan 10:11 SUV
[11] Akaniambia, Ee Danieli, mtu upendwaye sana, yafahamu maneno nikuambiayo, ukasimame kiwima-wima; maana kwako nimetumwa sasa. Na aliponiambia neno hili, nalisimama nikitetemeka...
Uchambuzi wa Zaburi 83
Zaburi 83 ni moja ya zaburi za Daudi, ambazo zinatofautiana na nyingine kwa sababu inaonyesha maombi makali ya Mungu kuwalinda Waisraeli kutokana na maadui wao.
Zaburi hii...
Jan mwanzon
Nilitoka.mkoa nilikuwa nakimbizana na kakazi Flani
Toka Sept
Nilipofika. Home nikahondomola.na shemeji yenu kama siku 5 mfululizo
Ya sita na saba nk.nkaona kila.nikiingia.inalala...
Wakati huu Sirro anapaswa kua mnyenyekevu na kuongoza vikosi vyake kujitathimini na kujirekwbisha kwa mauaji na uonevu waliofanya dhidi ya 'raia wema'.
Ni kweli na ni ukweli mtupu maisha ya...