Nilisikia kwenye Chombo cha Habari kuwa; Kwa sheria ya ndoa ya Tanzania, baba ndio anatoa hela za kila kitu kwenye Familia na hela ya Mke haihusu familia......
1. Baba ana wajibu wa kulea na...
Ndugu zangu Watanzania,
Hapo kesho Rais Wa Uganda Atatua Nchini katika Ziara ya Kikazi ya Siku Moja. Ambapo Atakutana na kufanya mazungumzo na Rais wetu juu ya masuala mbalimbali yenye maslahi...
Itakuwa jina la babu yako.
Wamechukua nyota yako.
Laana za ukoo.
Ni kwa sababu ya dini yako hio.
Umelala na wanawake sana umepewa nuksi.
Mungu alilaani watu weusi ndio maana sisi ni makapuku...
Naomba kuuliza maeneo hayo nini kinaendelea usiku huu maana inasikika milindimo ya risasi nyingi mno kuanzia mida ya Saa nne na dakika 45 mpaka saa nne na dakika 53..
Mlioko mazingira ya karibu...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza Leo hii mida ya saa 10 jiioni kuelekea saa 11,
Pantoni likiwa linaelekea katika ya safari yake kutoka mjini kuelekea kigamboni...
Lilishindwa muelekeo...
Dokezo kuhusu Dini ya Uislam
Kumekuwa na watu wengi kuupinga uislam kwa nguvu zote ila nasema hili na najua wengi litawafikia "mara Mia ufanye mambo yako kuliko kuingilia mambo ya dini ya...
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, hususan Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, imekuwa ikihesabu somo la Elimu ya Dini ya Kiislamu (EDK) katika wastani wa ufaulu kwa wanafunzi wote, wakiwemo...
Igweeeee!
Adui unayemmudu usimuachie Mungu
Watanzania tumejeruhiwa na kudharauliwa sana na hawa wasaliti
Huyu yeriko nyerere jasusi feki anashindana katika zikomo award,, the best author in...
Leo Februari wamenirushia kumbusho
Ktk hizo kuna picha mbili jamaa alikamatwa tandika ana ndoo zimejaa paka waliochunwa
Huyu jamaa baada ya kukamatwa alichapwa kidogo akahojiwa akakiri anauza...
Yani maji safi tuu na umeme bado ni unga unga mwana unaeza ukadhani nchi imetoka kwa wakoloni mwaka jana kumbe ni miaka karibia 60 iliopita.
Itahitaji miaka mingine 60 ili maji safi na salama na...
Je dalali ni nani?
Je atawekwa wazi?
Atakula bei gani?
Je kiwango atakacholipwa kitawekwa hadharani?
Nani katoa connection?
Atakula bei gani?
Je itauzwa kwa bei ya soko?
Je hakutakuwa na michezo...
Hili ni swali zito la kihistoria, na ni sawa kabisa kuliuliza au kulifikiria mwenyewe.
⚠️Katika uchambuzi wangu wa Leo Hakuna ubaguzi Wala hakuna chuki Bali ni kujifunza ukweli.
⚠️Nitachambua...
Mimi ni mtu wa kukasirika hasira Kali kwa haraka sana tena mpaka mwili unaweza kutetemeka kwa hasira ya jambo dogo
Jambo ambalo linapelekea kususa au kugombana na baadhi ya watu
Naombeni njia na...
Katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, kumekuwepo na tabia ya makusudi ya kuchelewesha malipo ya likizo kwa watumishi wa umma, hususan katika Idara ya Elimu ya Msingi.
Tatizo hili...
Ni kwa vipi Daudi alivyoupendeza moyo wa Mungu
Daudi ni nani
Hebu tusome katika Matendo 13:21 “Hatimaye wakaomba kupewa mfalme; Mungu akawapa Sauli mwana wa Kishi, mtu wa kabila ya Benyamini, kwa...
Shalom shalom baba popote ulipo
Nimshukuru Mungu kwa upendo wake uko hai mpaka sasa
Binafsi nimekuwa nafuatilia tv yako nimeona ukitoa msaada wa madawati nk shule kadhaa Arusha
Kama majirani...