Rais wa Uganda, Yoweri Museveni anatarajiwa kuwasili Tanzania Februari 7, 2026 kwa ziara ya kikazi ya siku moja.
Rais Museveni atafanya mazungumzo na mwenyeji wake, Rais Samia Suluhu Hassan...
Kuna tetesi kuwa baadhi ya Wabunge wetu huwa wana kawaida ya kuwanyonya madereva wao kwenye suala la mishahara kwa kuwa inapitia kwao Wabunge.
Nashauri kama inawezekana mshahara wa dereva upite...
Traditionally chakula huwa tunakula pamoja it means kwamba msosi unawekwa kati mnakula wote sasa watu wanakula vibaya sana yaani ukichukua nyama na yeye anachukua anatafuna vibaya then anarudia...
Wadau sauti yenu ni muhimu sanaa mikopo ya 10% kwa vijana wilyaya ya uyui-tabora kata ya loya tangu mwaka jana mpaka saivi hawajapata na halmashauri ya wilaya ya uyui imefanya sherehe kuonyesha...
Biblia ina mikasa mingi sana ya kusisimua. Yona kumezwa na samaki, safina ya Nuhu na mingine mingi. Ila huu mkasa wa Ibrahimu na mwanae Isaka unatafakarisha sana. SOMA MWANZO 22. Kwamba Ibrahimu...
Katika hali inayoonyesha ni kwenda na ushindani na kasi ya dunia hatimaye Halotel wamekuja na 5G
Naona TTCL wameachwa nyuma...Ikumbukwe halotel ndo kama ilivyo ttcl kule kwao Vietnam ni mtandao...
Kama kweli Mungu hayupo ni Nani aliye organized haya mambo duniani na mbinguni
Mfano kuna wakati wa jua na wakati wa mvua. Kuna wakati wa Giza na wakati wa mwezi. Kuna wakati wa baridi na wakati...
Vijana wasiokuwa na namna ya kuanza maisha wasijikite kwenye uhalifu kwasababu uhalifu unakatisha maisha, wajikite kwenye kazi zisizohitaji mitaji, kazi za kutoa huduma mfano usafi majumbani...
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda, amewataka wafanyabiashara wa kati maarufu kama mawinga kuhakikisha wanazingatia sheria za kodi na kujitokeza kulipa kodi kwa...
Kwanza kabisa samahanini Dada zangu sina lengo baya ila ni kuwekana sawa.
Naelewa kuna changamoto sana katika masuala ya usafiri muda mwingine hamna namna kabisa inabidi tubanane mithili ya...
Habari kamili, sikiliza video ifuatayo.
https://www.instagram.com/reel/DUYBMKzlitR/?igsh=bHp3MjN1ZXRwcjlo
My Take
Naunga mkono hoja.Pili Bora Barabara ichelewe kuliko iwahi lakini ijengwe...
Binafsi nilikuwa mpenzi mkubwa wa bidhaa za kampuni ya Google lakini naona tumeanza kukerana kwa mfululizo wa matangazo yasiyozuilika
Matangazo sio kosa kwa watumiaji lakini kosa ni kulazimisha...
DAR - Watu wa Kilimanjaro, Pemba, Njombe, Kigoma, Mara, Mwanza, n.k.
MWANZA - Watu wa Simiyu na Mara.
ARUSHA - watu wa Kilimanjaro wamedominate sana
Mbeya - Watu wa Njombe
Dodoma na Tanga sijajua
(Uchambuzi wa Mabadiliko ya Grading – CSEE na ACSEE Tanzania)
Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na mjadala mkubwa kuhusu ongezeko la ufaulu kwa wanafunzi wa Tanzania, hasa katika Form Four...
Siku chache kabla na baada ya kutangazwa rasmi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan atafika eneo la Kariakoo kwa ajili ya uzinduzi wa Soko Kuu jipya, nimeona maafisa wa DAWASA pamoja na wafanyakazi wa...