Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Binafsi nilikuwa mpenzi mkubwa wa bidhaa za kampuni ya Google lakini naona tumeanza kukerana kwa mfululizo wa matangazo yasiyozuilika Matangazo sio kosa kwa watumiaji lakini kosa ni kulazimisha...
0 Reactions
7 Replies
266 Views
Ubalozi wa Somalia nchini Tanzania unatarajiwa kuzindua rasmi makazi mapya ya Balozi yaliyojengwa hivi karibuni. Hatua hii ni sehemu muhimu ya mkakati unaoendelea wa Wizara ya Mambo ya Nje wa...
0 Reactions
7 Replies
288 Views
Hosea 3:3 NENO [3] Kisha nilimwambia, “Utaishi nami kwa siku nyingi, hupaswi kuwa kahaba au kuwa na uhusiano wa karibu na mtu yeyote, nami nitaishi na wewe.” Hili lilikuwa agano la Hosea na mke...
13 Reactions
164 Replies
1K Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekutana na Mbunge wa Jimbo la Chamazi, Mheshimiwa Abdallah Chaurembo, madiwani na Wenyeviti wa Mitaa 22 kutoka kata za Charambe...
0 Reactions
1 Replies
137 Views
Washia ni sect katika Uislamu iliyo smart, ni 20% tu kwa idadi ya Waislamu ambayo ni 1.8 bilioni duniani. Asilimia kubwa ya wasuni sio wasomi, wana elimu ahera tu ambayo ndio wanaikazia hasa...
19 Reactions
30 Replies
782 Views
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden, Mobhare Matinyi, ameongoza ujumbe wa ubalozi na taasisi za Serikali ya Tanzania katika kikao cha kimkakati na wafanyabiashara na wawekezaji...
0 Reactions
0 Replies
209 Views
Habari za jumapili wakuu, Kijana wenu naomba kuuliza mwenye kujua chochote kuhusu chuo Cha Afya Kolandoto kwenye upande wa utoaji maarifa. Maana kijana wangu anataka kwenda, Kusomea diploma ya...
1 Reactions
7 Replies
726 Views
Kando ya kingo za Mto Nzoia magharibi mwa Kenya, mabadiliko ya kimya kimya yanaendelea kuonekana na kukita mizizi. Mashamba ambayo hapo awali yalikuwa matupu, yakikauka kwa ukame na kuathiriwa na...
2 Reactions
1 Replies
215 Views
Katika siku angavu katikati ya mwezi Desemba mwaka 2025, Seif Amour Rajab mwenye umri wa miaka 16 aliingia kwenye chumba cha upasuaji katika Hospitali ya Lumumba iliyopo katika Kisiwa cha Unguja...
1 Reactions
0 Replies
195 Views
Katika jiko lenye shughuli nyingi katikati mwa jiji la Dar es Salaam, milio ya visu vigonga ubao wa kukatia ilijaa hewani. Katikati ya mvuke na sauti za makarai, Ruth Washima Seni, mwanafunzi...
0 Reactions
0 Replies
208 Views
Habari Nafupisha hii mada Kuna huyu mtu nilipanga kumtembelea kwanzia December nitoke mkoa A mpka mkoa B Things went as we planned...ila cha kushangaza tukiplan kuhusu hio safari nikilala tu...
14 Reactions
139 Replies
2K Views
Muda mfupi baada ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe kukiri kumshikilia, Godlove Materu, wakili wake, Aloyce Komba amelihoji Jeshi la Polisi maswali matano, akisema taarifa hiyo: Soma pia: Madereva...
3 Reactions
3 Replies
302 Views
  • Redirect
Anonymous
Wananchi wa Kijiji cha Mayenje, kilichopo Kata ya Milepa katika Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga (DC), hatuna huduma ya maji safi kwa kipindi kisichopungua miezi mitatu. Chanzo cha tatizo hili...
0 Reactions
– Replies
– Views
Anonymous
Ndugu zangu, hali ya upatikanaji wa maji katika Kijiji cha Mayonje, Kata ya Milepa katika Halmashauri ya Sumbawanga Vijijini, imekuwa ya kusikitisha sana, tangu mwezi wa 11, 2025 mwanzoni baada ya...
2 Reactions
7 Replies
319 Views
1. Nimekuja kwenye jiji lenu inanishangaza sana ndani ya njia ya mwendokasi kuna pikipiki, kuna magari ya watu binafsi balaa nashangaaa polisi wanashindana na raia kuzuia watu sasa ina maana gana...
1 Reactions
12 Replies
336 Views
Sijui ni nani aliwadanganya baadhi ya wazazi, hasa wale waliotoka kwenye familia duni, kwamba mara tu wakipata vijisenti basi watoto wao hawapaswi tena kufanya majukumu ya kujitegemea wala ya...
7 Reactions
27 Replies
432 Views
Nimewahi ku post makala kuwaponda TanRoads baada ya kuona wanajenga round about au keep left pale Mafiat badala ya kujenga Simple interchange ambayo itaondoa msongamano usio wa lazima. Naona...
0 Reactions
4 Replies
189 Views
Back
Top Bottom