NJOO TUMSOME MIA KHALIFA
Anaitwa Sarah Joe Chamoun mwenye asili ya kiarabu .Pua mchongoko , macho ya kuita na kimwili kidogo kidogo kinachoweza kubebeka, angekuwa bongo waswahili wangemwita...
Habari wakuu,
Ni wasanii gani unapendekeza watoe remix ya wimbo kama vipi wa Mez B, Ray C na Noorah.
Wasanii watatu.
Nani aimbe sehemu ya Mez B
Nani aimbe sehemu ya Ray C
Nani aimbe sehemu ya...
Huu mwaka tangu uanze kiukweli sijawahi na sikudhani kama nitadondosha chozi!,Ila baada ya kuitazama hii movie iitwayo NO WHERE nimejikuta machozi yakinitiririka kama mtu aliyepatwa msiba...
Guys! Nostalgia is a real disease.
Niliangalia katuni utotoni mpaka leo Bado zile theme songs, characters, story lines zinaexist nyuma ya ubongo wangu.
Tukutane hapa wazee wa CN, nickelodeon...
Katika ardhi ya Jos, jimbo la Plateau, Nigeria, tarehe 18 Novemba 1981, mapacha Peter na Paul Okoye walizaliwa. Kama nyota wawili wakongwe waliovutwa kwa nguvu ya ajabu, walionyesha vipaji vyao...
Mimi kwakweli ile album ya wenge musica bcbg yenye nyimbo kama masuwa, bana lunda, ndombolo n.k ilinikuta katika mapito magumu.
Leo hii nikisikia nyimbo yoyote ya kwenye ile album nakumbuka...
Miaka 10 iliyopita ndiyo tulipata ladha halisi ya muziki wa Bongo Flava, zipo nyimbo nyingi sana kali zilizotoka ila hizi 20 naamini zilifanya vizuri kwa wakati wake kwa kuzingatia uandishi &...
Katika baa moja nchini Marekani aliingia mwanamme mmoja MZUNGU na kukuta bar ina watu wengi sana na imejaa WAZUNGU TUPU kasoro mmama mmoja ambaye alikuwa BLACK..yule jamaa baada ya kuingia akasema...
Sehemu ya Tatu: Mtihani wa Mapenzi
Baada ya harusi yao ya kifahari na sherehe za furaha, Musa na Amani walijitosa katika maisha mapya kama wanandoa. Waliendelea kuimarisha uhusiano wao, wakifanya...
Mdororo au anguko la HopHop Tz!?
Kuna msemo wa waingereza wanasema,"kimya cha marafiki zangu kinanighasi zaidi ya kelele za maadui zangu".
Familia ya wanaHip Hop Tz kwa sasa wamepoa sana,wapo...
Sehemu ya Kwanza: Mkutano wa Hatima
Kulikuwa na mji mkubwa uliokuwa ukijulikana kwa jina la Mji wa Furaha. Katika mji huu, tamaduni na mila mbalimbali zilijumuika na kufanya maisha kuwa na mvuto...
Angalia SOUL (NAFSI) cartoon iliyowekwa maneno ya kiswahili na DJ MACK.
Hii kwangu imekuwa kama tiba na kunifanya nijione mwenye thamani katika hii dunia.
Kabla nilijuona ni mtu nisiye na...
SURA YA KWANZA
Sakarati mauti ya Kapteni Wandawanda Jijini London, Uingereza
Marafiki, ndugu na jamaa wa karibu wa Kapteni mstaafu Wandawanda wakiwa wamegubikwa na nyuso za huzuni, walionekana...
SASHA MLINZI WA NAFSI.
Sehemu ya............1-2
Mtunzi: Saul David
WhatsApp: 0756862047
UTANGULIZI...
Majira ya mchana wa jua kali mwanaume mmoja anaonekana akitembea kwa taabu sana katikati ya...