Orodha ya Nyimbo (Video) kumi (10) za Diamond Platnumz ambazo zenye idadi kubwa ya Watazamaji (Views) kwenye mtandao wa YouTube katika historia yake ya muziki.
1. Yope Remix : +236M
2. Waah ...
Zimetungwa nyimbo nyingi sana katika Kiswahili ambazo zimepewa majina ya kike. Karibu zote zinahusu mapenzi, manung'uniko ya mapenzi, furaha n.k Nyimbo hizo zimebakia katika mioyo ya watu wengi na...
KIITIKIO:
Haijalishi we ni nani, haijalishi we ni tajiri au maskiniiii
(Huwez kuona hivi)
Haijalishi we ni nani, ukiupata, usubiri kifoo ooo.
(Story ya mshkaji mmoja hivi)
Haijalishi we ni nani...
Ilikuwa ni mwaka 2017 nikiwa naishi mkoa wa Morogoro wezi waliiba laptop tatu , mbili mpya na moja ya kwangu ya mda mrefu
Nikiwa mkoa mwingine nilipigiwa simu kuwa dirisha la chumbani kwangu...
BONG FLAVA YA KUIMBA TOFAUTI NA RAP
20: Ali Kiba - Mwana
19: Diamond - Mbagala
18: Dully Sykes - Dhahabu
17: JI - Kidato Kimoja
16: 2 Berries - Na Wewe Tu
15: Dully Sykes - Dhahabu
14: Z...
SEHEMU YA 1
A.PUNDA MWANA PUNDA!
Juzi nilipigiwa simu na shoga yangu Harrieth akaniambia mume wa shoga yetu anamtakaa Kimapenzi…. Yaani awe mchepuko wake ….. amemsumbua miezi 3 sasa na anapanga...
Tunaendelea pale tulipoishia kwenye kipande kilichopita , mahojiano yangu " Ukwaju wa kitambo na msanii " G solo"
Msanii G solo : Kaka yao na wale kina Dada Crew ya " Unique sistes" ilinipa...
Khloé Kardashian amezungumzia sherehe za Sean “Diddy” Combs kwenye kipande cha episode ya “Keeping Up With the Kardashians” kilichoibuliwa baada ya msanii huyo kukamatwa kwa tuhuma za usafirishaji...
Tunaendelea..
Msanii G - solo : Nilikuwa katika Album Yao " Gangster with Matatizo " G.w.m" inaitwa " Mikosi"
Album ambayo ilikuwa ina nyimbo kama vile.
Side.. A.
1. Yamenikuta
Featuring –...
Kwa Tuhuma zinazoendelea za Pdiddy huko marekani na hasa ya kujihusisha na mapenzi ya Jinsia moja na kulazimisha watu kufanya hivyo na hasa kulawiti baadhi ya watu na kingine kuwafanya watu sexual...
Daktari alimshauri Hamza kutokuugusa mwili huo sababu hilo ni tukio la Mauaji.
Tayari wapelelezi walikua hapo wakiongozwa na Agent Daudi Mbaga aliyekua kiongozi wa wapelelezi hao, pia gari ya...
"Siku mapigo yangu ya moyo mwisho yatapogota,
Nuru itazima mfano wa Nyota inavyodondoka,
Sitaweza kuamka tena macho yangu yatapofumba,
Safari imewadia naenda kwa baba muumba,
Masela nawaachia...
Madaraka ya Kulevya
Lyrics
Madaraaaa Madaraka x2
Umenipa madaraka ya kulevya
Ooh baby
Nayumba nateleza
Umenipa madaraka ya kulevya
Oo darling
Naimba napoteza x2
Nikki wa Pili
Mjini nimedondoka...
Part 2: Yanayonikuta London, Uingereza - Part 2
Mimi nimeishi London - UK kwa muda mrefu sasa hivi. Kufanya stori ndefu kuwa fupi, ninaishi kwenye share accommodation na watu kutoka West Africa...
ALICIA KEYS
Leo ' tunaangalia nyimbo 3 alizofanya kama collabo msanii, Alicia keys
Ni ipi kali zaidi hapa?
A. 50 Cent - New Day ft. Alicia Keys, Dr. Dre.
B. Empire state of mind (feat. alisha...
Habari wanajukwaa, kuna softcopy kadhaa nnazo za hadithi tofauti nkaona si vibaya ku-share ikizingatia watunzi wake wameziweka public hivyo kutohesabika kama wizi wa kazi za watu au kuharibu...
Niliwahi sema kuwa The Sopranos ndiyo series kali ya muda wote, nilikuwa sijaangalia The Wire. Hakuna series kali kama hii. Ni kama unaangalia maisha halisi ya watu. Hii series hadi vyuoni...