Jamani sikuwahi nunua album ya mwanamuziki.Leo nimenunua ni mapinduzi makubwa.
Inaitwa MISULI YA IMANI ni ya jamaa anaitwa AMBWENE MWASONGWE,daa hakika ni nyimbo zenye kugusa sana.
MASHINDANO YA KIMATAIFA YA SABA YA MCHEZO WA BAO
=====================================
KIBA (Klubo Internacia de Bao Amantoj) linaandaa Mashindano ya Kimataifa
ya Saba ya Mchezo wa Bao...
Habari za jumapili wana jf. Mimi ni mmoja kati ya wafuatiliaji wa series. Hasa nzuri na za kuvutia. Samahanini ila kuna huyu mshenzi anaitwa JERRY BRUCKHEIMER ameyengeneza serie inaitwa Hostages...
Leo nilikuwa naangalia filamu ya Bongo Movie, kupitia king'amuzi cha Azam Tv, nikakutana na maneno ya kiingereza cha ajabu kilichotumiwa katika tafsiri (subtitles), lengo likiwa kutoa tafsri kwa...
Binti commando lady jay dee ana show tarehe 2 May pale pale nyumbani lounge parking. Vipi ndugu zangu wa mjengoni clouds FM hamuandai show au mnaogopa K.O nyingine??
Tunasonga kwa mwendo wa
farasi au kinyonga/
kwa kunyongwa au risasi
maasi yanatuzonga/
tunasonga kwa mwendo wa
farasi au kinyonga/
tunasonga kwa vitendo
karatasi au kuchonga.
Jana 22/04/2014 katika kipindi chake kuna movie aliionyesha na kuisifa sana,which is very good! Ila pia akaahidi kuwa kuna movies pia zipo ambazo zimetengenezwa kwa kulipua lipua, nazo atazileta...
Ijumaa Wikenda : Inadaiwa wakati mkiwa na urafiki, mlikuwa mnashiriki mapenzi ya jinsia moja
( Usagaji ). Je ni kweli ?
KAJALA : Ni kweli nilikuwa nalala naye kitanda...
Amitabh Bachchan Reveals The Secret of Bollywood's Success
By Susannah Palk and Lianne Turner, CNN
It's an extraordinary concoction of dashing heroes, evil villains, insurmountable...
Habari wakuu, tumekuwa na tabia ya kuwalaumu waandaaji wa KTMA kuwa wana upendeleo hasa kwenye Category za Hip Hop, hebu kabla hatujaanza kuwalaumu kili kuwa wanawapa tuzo washiriki wasiostahili...
Wakuu nasaka kazi ya udj kama tempo, niko na experience ya numark na pioneer sound systems, sahv ni mfanyakazi sehemu fulani ni swala la passion ndo linanifanya nisake hii kazi, addition info...
Wakongwe njooni mrudi mkaikomboe fani,mmeondoka mkaliacha gemu mikononi mwa hawa madogo sahivi muziki wa bongo umepoteza taswira yake na mliowaachia wamefika sehemu hawaelewi hata wao wanakwenda...
nimeisikia hii nyimbo kwa mara ya kwanza juzi kati na niliipenda hapo hapo, I played it like 7 times just to get his message. here are the lyrics;
K.K.K by Roma ft Nicolazo
Verse1:Roma
Wameweka...
katika pitapita nimekutana na song jipya la professor Jay, naliona limetulia mashairi yana ujumbe tosha, beat kasimama mtu mzima Kinywele, chorus safi kabisa kasimama Diamond, mtu mzima J kachana...
DOWNLOAD NOWEarth To Echo Full Movie Online In Nowvideo DOWNLOAD NOW Earth To Echo Full Movie Online In Novamov DOWNLOAD NOW Earth To Echo Full Movie Online In...