Wakuu
Huu sasa ni uamuzi wa kipuuzi kaufanya Harmonize, kusitisha wimbo eti kisa mnakereka na kipigo hiyo haipunguzi maumivu kwa mashabiki. acha goma lilie, piga hela za views Yanga wajipange...
Am sorry guyz natafuta muendelezo wa riwaya ya saa za giza totoro coz aliye weka huu uzi hakumaliza so anaeweza kutoa msaada atusaidie wote ambao hatukumaliza huu uzi
PENZI LA ANKO-1
"We Doreen," mama aliniita kwa sauti ya ukali.
Sikutegemea kumkuta yuko macho muda huo japokuwa alikuwa chumbani kwake. Ilikuwa saa nne usiku.
Kwa kawaida mama ikishafika saa...
MESEJI MOJA...........(01)
Imeandikwa Na SALUM KALASE.
MAWASILIANO: 0625000557
SEHEMU YA KWANZA.
Kwa majina naitwa James Daudi ni kijana wa miaka ishirini na tano. Katika umri wangu huu...
Wadau naomba kwa mwenye kujua anifahamishe jina la band na wimbo wenye maneno haya:
..... Azimio la Arusha lilipotangazwa Tanzania, Nyerere alitembea kutoka Butiama mpaka Mwanza.
Juhudi za...
Simulizi: Mpenzi wangu Amina.(01)
Mwandishi: Salum Kalase
Sehemu ya kwanza.
Maisha ni kuchagua na mimi nilichagua kumpenda Amina katika maisha yangu yote bila kujali ni nini kitakachotokea...
Kwa wapenzi wa live band na karaoke hasa kwenye lounges tofauti watakubaliana nami kuna vijana wanaimba kwa kiwango cha juu sana tena nyimbo wametunga wao.
Pili kuna hawa wanaimba nyimbo za kuiga...
Mwaka 2021 nikiwa hapa home tz nilikua na pesa flani ambayo nilipanga niagize bidhaa Ali express nianze kuuza maana Nina uzoefu na kuagiza mizigo huko kutoka China through Ali express bahati mbaya...
SIMULIZI: KIJANA SHUJAA….. “Ilikua ndoto yangu kuja kufanya jambo kwaajili ya Taifa”
SEHEMUYA KWANZA (01)
Man Middo
Kabla hajatimiza ndoto yake kijana shujaa alikua kapuku tu muuza dagaa katika...
"Sikiliza nikuambie wewe dataz mume wa mtu ni hatariiii...🎶"
https://youtu.be/EPQiEXLzYY4?si=B60DDmFLAMapuPFh
Siku hizi mna visabengo kwenye muziki sasa mnakaa kuhamasishwa alafu yakiwakuta ya...
Simulizi: JAMANI MCHUNGAJI !!
Mwandishi: GEORGE IRON MOSENYA
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
SEHEMU YA 1
Masikio yake hayakuamini anachokisikia lakini ubongo wake uliamini kuwa mkewe alikuwa...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya aliyewahi kutamba na ngoma yake ya Nilonge Nisilonge miaka kadhaa iliyopita, Hamis Juma Mbizo (H Mbizo) amefariki dunia.
Msiba wa H- Mbizo umetokea katika...
Na James Mbotela.
MUHTASARI WA MAISHA YA MWANDISHI
Mwandishi wa kitabu hiki, ni mzaliwa wa Frere Town, Kisauni, Mombasa. Baba yake ni Myao, akiitwa Mbotela ambaye alikuwa mmoja wa vijana wale...
Ni siku nyingi kidogo, mwaka 1980, lakini ni tukio ambalo liliniuma sana. Ilikuwa vigumu sana kulisahau na lilinifanya nijiulize, inakuwaje Mungu anakuwa mkatili kiasi kile. Lakini bila shaka...
We did have a greatest love of all, but her Jolene come and destruct everything, she said that I believe in you. i said I still lost you ,Im afraid to be coward of the country, she said no matter...
Nimeisikiliza hii ngoma ya Dizasta Vina. Inaitwa Mwanajua....nimeskiliza zaidi ya mara 20 Lakini hadi leo sijaelewa hii fasihi jamaa alilenga kitu gani, Kuna anaefahamu?
Huyu...