Burudani Mbeya imekuja na TUZO za burudani Mbeya kwenye nyanja ya MUZIKI, FILAMU, COMEDY, MODEL, VIXEN, MPIRA na HABARI kupitia platform zake za blog, YouTube channel na Instagram. Kwa maelekezo...
MAISHA YA WASANII NJE YA SANAA
Unaweza kusema sanaa bila ubunifu ni sawa sifuri, maisha ya usanii yanahitaji bunifu zenye athari chanya kwa jamii kwa lengo la kuendelea kukuza majina na kazi zao...
Verse 1
Ni safari ndefu,
Ya mwanadamu,
Kimaisha na mapenzi,
Ni mke au Mume,
Mara moja kubahatika.
Maishani mwako,
Kumpata mtu fulani,
Ambaye huwa ni Maalum kwako,
Kipenzi cha moyo wako.
Kwa...
Weekend
[Intro]
Weekend
Na East Zoo y'all
Chemba Squad y'all
Bongo Records, yo
C'mon
[Chorus]
Kama weekend
Ndio tayari ishafika
Watu viwanjani wanamiminika
Tufurahi kwa pamoja wakati huu
Na kwa...
Kulikuwa na binti mmoja aliyeitwa Amani. Alizaliwa katika familia ya kawaida kijijini Manyala, familia ambayo licha ya juhudi zao, hawakuwahi kuwa na uhakika wa mlo wa siku. Baba yake alikuwa...
UKWELI HIPHOP IMEKUFA?
Najiuliza NA kujipa majibu mepesi japo swali ni gumu sana!
MONI CENTROZONE Anasema "HIPHOP is DEAD" lakini sijaona vijana wa new school kama wanamjibu au tuseme wako...
AFANDE SELE FT BWANA SAM - MTU NA PESA
Verse ..1 ( afande sele)
Mtu na pesa hakuna mwanadamu asie jua maana ya pesa/ hata mwanangu Tunda hi leo ana ijua pesa/ tangu ana miezi tisa (9)/ maana...
WAHENGA WAHENGA Habari zenu bana wahenga wa miaka ileeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
naona sasa hivi WATURUKI ..........2024 wana tamba ile mbayaaaaa............... je wahenga
HIVI NI TAMTHILIA ZA...
Kwa wale wapenzi wa series za Snipping kati ya Jackal ambaye anapatikana kwenye series inaitwa The Day of the Jackal 2024 na Bob Lee Swagger aliyecheza series inaitwa Shooter 2016s. Je wewe unaona...
KWANINI "KASONGO" ILITUNGWA.
Jina lake halisi aliitwa Kasongo wa Kanema, aliyekuwa Mwanamuziki Mkongwe wa Congo ambaye alihamia Nairobi na kufariki huko miaka minne iliyopita (Aprili 15, 2020) na...
Ambush In The Night"....Ishapita miaka 45 toka wimbo huu upigwe na kurekodiwa,,,lakini maneno haya bado yanaishi,,,tena kwa hili wimbi la upepo wa kisiasa kwa sasa,,,utamalizia mwenyewe...
Kwa wale wapenzi wa muvi za watu weusi (black people's ) zinazoelezea crime, drama, comedy,romance,thriller,biography, history,action, music, na life nimewaletea orodha ya muvi bora za mda wote...
KARIBUNI KUSOMA SIMULIZI HII
SEHEMU YA KWANZA
Ilikuwa ni siku ya joto na jua kali, huku kama kawaida watu walikuwa wengi,
wakiwa kwenye pilika pilika, wengine wakiwahi usafiri na wengine...
Inawezakana huyu jamaa hakujua kipaji chake mapema aisee. Ana vituko mpaka mbasi.
Mara moja moja anatakiwa atokee kwenye stage ya Cheka tu kama badhi ya watu maarufu wanavyofanya Kenya kwenye...
Wasanii wa lebo ya muziki, Wasafi Classic Baby (WCB) wameendelea kuthibitisha ubora wao kwenye soko la muziki baada ya kushinda jumla ya tuzo saba kwenye 'East Africa Magic Vibes Awards' usiku wa...
Kwangu best sad album ina nyimbo 19 imeimbwa na msanii The Weeknd kutoka Canada.
Hii album ni moja ya album bora kabisa kuwahi kuisikiliza ilitoka October 2019 now ni 2021 still ina burudisha...
Riwaya: Maiti 15 tu Nitafurahi Tena
Imeandikwa na Gilbert Evarist Mushi
WhatsApp: +255765824715
Hii ni Sehemu ya 01
SURA YA KWANZA
Zimepita takribani dakika 15 tangu awasili ndani ya ofisi yake...