Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

MASIKINI WEZANGU - NGWEA. Wachache ndo wanaishi wengine maescorts/ Twiga wanapanda pipa hata bila ya passports / Mikoa mingi bado haina hata airports / Zaidi ya migodini madini kuyaexport / Bila...
1 Reactions
0 Replies
431 Views
MTUNZI: SHAABAN ROBERT. WACHAPISHAJI : Tanzania Publishing House. Dar es Salaam. SURA YA 1 Mfalme Rai Rai, mfalme wa Ughaibu , alikuwa mfalme namna ya peke yake duniani. Alikuwa na tabia...
7 Reactions
45 Replies
13K Views
A man of the people Enters his office to sit on the throne of Party and State, His stick of power Across the table. He looks into the files To see the demands Of the millions of people Who for...
0 Reactions
4 Replies
715 Views
Hivi karibuni, Msimu wa Kutangaza Tamthilia na Filamu za Beijing Afrika ulianza jijini Dar es Salaam, Tanzania. Tukio hilo lililoandaliwa na Ofisi ya Redio na Televisheni ya Mji wa Beijing...
0 Reactions
0 Replies
401 Views
Kwenye wimbo wa Diamond wa Baba Lao yope wanatajwa na kusifiwa watu ambao Leo hawapo Tena kwenye circles of power . Magufuli baba Lao. Makonda baba Lao . Hawa Leo wote hawapo mmoja kafa mwingine...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Diamond alikuwa na Show ya ku-peform kwenye Show ya Raha-festival huko Kenya 🇰🇪, Ambapo Diamond, alisusa na kukataa ku-peform kutokana na kutokuwa na Maelewano kati ya yeye na waandaaji wa...
9 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu,naomba msaada kwa yeyote mwenye link ya site kwaajili ya ku-download hiyo movie.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
PROFESSOR JAY -MACHOZI,JASHO NA DAMU VERSE..1 Nashukuru Macho yangu mawili hayana upofu/ na mdomo upo wazi kukemea mambo maovu/ siku inapofika naona Heri ya jana/ maisha ya wabongo yanakuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huyu kijana Boaz Danken anaimba nyimbo za injili za kusifu na kuabudu ni kama kwa sasa Mungu amempa kijiti kuongoza waimbaji wengine wa nyimbo za injili hapa nchini. Mimi mkristo nasikiliza...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
AFANDE SELE FT MR. NICE ( MIMI NA WEWE BASI) CHORUS ( MR NICE) Ahadi yangu mimi na wewe ilikuwa ni kuishi wawili/ ( afande sele) - "Aah" Kwakuwa umebadilika mimi na wewe Basi /... ( Afande...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna msanii yeyote wa slow pop anayemzidi Whitney Houston? Je ni nani?
1 Reactions
7 Replies
490 Views
Ule msimu wa funga mwaka uliokuwa ukisubiriwa umewadia. Orodha ya Wasanii Bora Mwaka 2024: 1. Marioo 2. Diamond Platnumz 3. Harmonize 4. Alikiba 5. Zuchu Orodha ya nyimbo...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Eti wakongwe tukiweka playlist za hawa wamama wawili nani anajua katika kipindi chake aliimba kiwango cha mbingu kufunguka. Mimi naanza uchambuzi kati ya Kokola ya tshala muana na Greatest love...
3 Reactions
15 Replies
764 Views
HIP HOP YA BONGO. Wasanii wa hiphop wanaunda sehemu kubwa na ya muhimu katika muziki wa Tanzania. Japo kuna watu wanaoamini kuwa ushindani kati ya rappers wa Tanzania umepungua ukilinganisha na...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
MWANA FT. PROFESSOR JAY. SONG. JUKUMU LETU. VERSE. 1. (MWANA FA & PROFESOR JAY) Professor jay: Kilio la mgambo limelia kote nchini kwa wote Yaani mjini na vijijini/ Tanzania 🇹🇿 imegubikwa na...
0 Reactions
1 Replies
882 Views
Mimi huzipenda sana,kwasababu zifuatazo: 1.zina mafunzo mengi ya maisha 2.wasanii wao ni watu wenye ujuzi mkubwa,wana act vizuri mno kwa kila scene 3.wanajua kuvaa vizuri kulingana na scene...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ikiwa ungetakiwa kuchagua ngoma za kundi moja la kusikiliza nyimbo zao kati ya haya matatu: Prof. Jay, Afande Sele & Juma Nature Alikiba, Matonya & MB Dog Joslin, Noorah & Mr. Blue Ungechagua...
2 Reactions
6 Replies
697 Views
PROFESSOR JAY FT BANANA ZORO - NISAMEHE.. VERSE 1. ( PROFESOR JAY) "Usiniache mupweke utafanya watu wanicheke/ ni wewe pekee uliyefanya mi ni deke/ kuvunja mpenzi letu utafanya mi niteseke/...
0 Reactions
2 Replies
436 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…