Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Pengine kile kizazi cha dhahabu cha muziki wetu wa bongo kinaweza kisijuridie kamwe, enzi hizo maproducer walikuwa wachache ila wakali mno, ukija kwa wasanii kila mtu ana flavour yake, ukimkuta...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Kwa wapenzi wa ile tamthilia ya Empire, trailer yake ishatoka toka last week ichek hapa https://youtu.be/h9bSk7ZedEU
0 Reactions
2 Replies
863 Views
Imepita miaka 16 since Andre Young almaarufu Dr. Dre alirelease album yake ya Chronic.Sasa baada ya miaka kadhaa ya kusubiri bila matumain album yake ya mwisho aliyoipa jina la Detox, Instead...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Fid Q na Joh Makini Ni miongoni mwa wasanii bora kupata kutokea bongo kwenye Hip hop, kila mmoja anangoma kali nyingi. Ila binafsi ukiniambia nichague wimbo mmoja tu wa Fid Q ambao niliwahi...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Tumesikia na kuona kupitia vyombo vya habari kile alichofanya msanii Shilole a.k.a Shishi baby kwenye onyesha alilofanya nchini Ubelgiji. Baada ya taarifa na picha za tukio Hilo kusambaa BASATA...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Pongezi ziende kwa kingKiba kwa kuendelea kutoboa kimataifa "kavu kavu" bila collabo. Wimbo huo umeingia kwenye Top ten Raido kubwa zaidi nchini Nigeria "The Beat 99.9 Source: Bongo5,
1 Reactions
75 Replies
13K Views
Naomben jamani mwenyewe story anitumie napenda sana kusoma story
0 Reactions
0 Replies
796 Views
Kituo cha kimataifa MTV base kesho kitazindua video mpya ya moja Kati ya wasanii mashachari jux ft Joh Makini jina la nimbo ni looking for you. Ni vizuri mziki wetu kufika international level
2 Reactions
9 Replies
2K Views
SYLI CLASSIC: Stereo Ft. Fid Q - Nasema Nachojua (Download New Audio)
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Kwa wale wapenzi wa vibonzo hebu tujaribu kuwatathmini hawa jamaa katika hii tathnia. Pia ongeza na wengine unaowafahamu 1. Abdul Kingo. Huyu jamaa ana katuni zake kama vile songombingo za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
I used to drink them in S.A but I came here in Dar es Salaam I dont find them
0 Reactions
3 Replies
2K Views
SYLI CLASSIC: Q Chief - Power of Love (Download New Audio)
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa yoyote mwenye kipaji cha uigizaji wanahitajika mabinti kadhaa kwa project iliyoandaliwa na Tanzania Media Company. Ni wakati wako kuonesha kipaji chako. Sharti uwe hujawahi kuigiza hata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jaman mwenye nyimbo mpya ya huyu jamaa ndani take anaimba ukiniacha nitadanja aiweke hapa nimeisikia sehemu moja hv yaan n bonge la cndano
0 Reactions
4 Replies
6K Views
SYLI CLASSIC: Cliff Mitindo Ft.Mo Music - Natamani (Download New Audio)
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Nimeangalia mambo yanayoendelea katika siasa nikakakumbuka kale kasongi ka mv mapenzi.... Nahodha kajitupa baharini..... maswali: - 1. Je, meli ilizama? kama haikuzama mchango wa nahodha...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Kuna jambo nimelifikiria sana nikaona nililete hapa JF kupata msaada zaidi, ni hivi, kwanini wasanii wa bongo movie hawana uwezo wa kucheza movie kali za action kama kina RAMBO,JET LI,JACK...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Hivi ni mimi tu ninayevutiwa na tuvesi twa Nyandu Tozi? Jamaa naonaga kama hayuko siriaz na mziki, anafanya just for fun, but tuvesi twake huwa tunanibamba kweli.Nyimbo alizofanya na Blue, ile...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Talks Black Rose inspired by Tupac's poem. Talks radio support and racial favoritism. Talks a whole lotta stuffs.
0 Reactions
0 Replies
754 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…