Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Nimejikuta natokwa na chozi baada ya kucheki huu mzigo aiseee Wakuu acha kabisa.. All in all now nimepata katoto ka 2000 mi na mashangazi ndo basi
17 Reactions
125 Replies
3K Views
Nipo nafwatilia all stars comedy ni mbaya mpaka sasa hakuna cha maana ni wanalia watu pesa zao comedy hawana new things or thoughts 💭 ambazo zina washawishi watu wanaanza kuleta mambo ya mitano...
7 Reactions
60 Replies
2K Views
https://youtu.be/e2PsmMlSP5s?si=9kcGRMlCdNEIXk6A Asantee sana kwa kutupa album kalii ya hurry up tomorrow hapa tunasubiria movie yetu sasa ya hurry up tomorrow happy birthday Ethiopia finest...
2 Reactions
5 Replies
446 Views
Story ndiyo itakayobaki Mkombozi Anaitwa Roma
2 Reactions
4 Replies
495 Views
Sikiliza kibao kizuri cha isha mashauzi.
8 Reactions
58 Replies
2K Views
Kwa wakongwe, mnamkumbuka huyu dada enzi akikipiga na Marquiz du Zaire? Yuko wapi kwa sasa?
0 Reactions
3 Replies
944 Views
Wakuu hili ni swali la ufahamu tu maana nimesikia vibao kadhaa wa kadhaa huko tena baadhi ni vya wanamuziki wa hapahapa bongo. Je wanalipwa hawa au ndo mambo ya uzalendo kwanza?
3 Reactions
22 Replies
504 Views
Mwenye hii ngoma naomba aweke hapa, naipenda sana hii ngoma,tafadhali sana.
1 Reactions
5 Replies
7K Views
Kwa mujibu wa RAP CAVIAR na Spotify hizi ndio ngoma 50 zenye Beats kali kuwahi kufanywa. Una maoni gani hapa? 1. Still Dre - Dr. Dre & Snoop Dogg 2. Shook Ones Pt. II - Mobb Deep 3. Grindin' -...
16 Reactions
145 Replies
10K Views
Acha tamaa mwangu yo Amenikanya Mama alienizaa Jichuuunge yeye amesema yeye yeyee Tukitafuta pesa eti tutaigaaa tabia mbaya Hakuna aliezaliwa ni mwizi Saviè Kandoro Papa Hakuna aliezaliwa ni...
2 Reactions
0 Replies
408 Views
Christopher Nolan’s Odyssey film will cast Kenya’s Lupita Nyong’o as Athena, leaving fans puzzled. Athena is the Greek goddess of wisdom, war, and oil. She is also the patron goddess of heroic...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama title inavyojieleza hapo juu, twende kwenye mada hapo juu. Nimesoma moja inaitwa CAPTURE OR KILL MISSION. Kama movie ..
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Serikali ya Wezi, Taifa la Waliodanganywa S01 Episodi 01 ********* Ni Alfajiri hapa Mwiki,Kasarani jijini Nairobi. Alfajiri hii ni kama zile alfajiri nyingine nyingi za mwaka. Alfajiri hii...
0 Reactions
5 Replies
796 Views
Mimi naanza na zangu hapa 1. All night long ya lionel Richie 2. La isla Bonita ya Madonna 3. Nightshift ya the commodores 4. Joe le taxi ya vanessa paradis 5. Save the best for last ya vanessa...
4 Reactions
26 Replies
6K Views
Usaili wa Kazi Konradi Kitumbo alitembea barabarani akitangaza tangazo lake, “La mgambo likilia kuna habari…” “Kuna jambo… Acha kuharibu maneno wewe!” Mpita njia alikosoa, Kitumbo akarudia...
1 Reactions
3 Replies
848 Views
Katika dunia hii kila mtu amekuwa akiuchukia umaskini, na familia zisizokuwa na uwezo nazo zimekuwa zikifedheheshwa na watu matajiri wakiamini katika jamii hawana mchango wowote! Leo tunakutana na...
1 Reactions
41 Replies
2K Views
Kwanini kuna vibwagizo vingi sana hujirrudia kwenye nyimbo za Bolingo za wakongomani Mfano ...Sikusala sikusala mamaa eeeh...mwana yaya kalumula sikusala eeehhh...tintiiitintiii
2 Reactions
11 Replies
460 Views
Namiss ile miaka zinatoka nyimbo kama Siachani Nawe (Baraka Da Prince), Basi Nenda (Mo Music), Sijazoea Masebene (Y Tony). Hizi ngoma hata zikipigwa leo ni kama mpya vile, waimbaji na producers...
4 Reactions
38 Replies
6K Views
Wimbo ufuatao una nguvu. Una nguvu inayoweza kubadili hali yako sasa hivi. Ni wimbo unaopaswa kuimbwa, kusikilizwa au kusomwa na kila mtu. Wimbo huu unakufaa wewe uliye na huzuni kwa sababu...
15 Reactions
65 Replies
3K Views
Wakuu habari. Naomba mnisaidie hii kitu, kuna movies flani zipo kwenye website flani flani ambazo huwezi kudownload, yani ni kuwatch online tu. Sasa ningependa kujua naweza kupata website ambayo...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…