Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 4,951
- 6,544
Leo ninakuletea History fupi ya Msanii Mchoraji bora duniani, ambaye anasemwa hajawahi kutokea toka kizazi chake mpaka sasa............!
Anaitwa Pablo Picasso, japo majina yake kamili yanakaribia 20, kuokoa muda Na nafasi nimtambulishe Tu Kama Pablo Picasso, alizaliwa Mwaka 1881 October 25 huko Malaga-Spain, akiwa Ni mtoto WA kwanza kwenye familia ya Mzee Picasso, baba ake alikua Ni painting artist, alikua Ni Professor kwenye School of art huko Spain, Kama Wasanii wengi Picasso alizaliwa Na kipaji cha Uchoraji, ambapo baada ya masoko ya kawaida katika shule za awali hatimaye alijiunga na shule iliyokua chini ya Baba yake, alisoma kwa mwaka mmoja, baadaye akaenda Academy of art ambapo pia alisoma kwa mwaka mmoja, Mwaka 1901 aliamia Paris - Ufaransa ambapo harakati zake za Uchoraji zilianza kuota mizizi, akiwa Ufaransa aribuni style mpya ya Uchoraji inayoitwa SURREALISM art style, kutokea Ufaransa akaanza kuwa Maarufu Ulaya na America, ikampa fulsa ya kutembelea nchi mbalimbali.
Picasso baadaye akaanza kuchora kwa kutumia Uume wake, ambapo alikua akichora picha kwenye ukumbi ambapo watu walilipa kiingilio kwenda kumshuhudia Picasso akichora picha kwa style ya aina yake, watu walijaa ukumbini, Canvas na Rangi zimeandaliwa pale stejini, then Picasso angeingia akiwa uchi wa Mnyama na kuanza kuchora Picha zake kwa kutumia Uume wake, alipoulizwa kwa nini anapenda kutumia Uume wake kuchora badala ya brush? Alisema "Najisikia comfortable zaidi nikitumia uume wangu, nashangaa nakua mbunifu zaidi, hata ukiangalia picha nilizochora kwa kutumia Uume wangu, Ni nzuri kuliko nilizotumia Brush"
Picasso mpaka anafariki alikua amechora original paintings 13,500, Printings 100,000, Picasso ni mmoja kati Msanii ambaye picha zake zinauzwa Ghari sana, ambapo moja kati ya Picha zake zilizouzwa bei mbaya iliitwa BOY AND PIPE, iliuzwa $117.6 Millions (Zaidi ya 200 Billions Tanzanian Shillings) mwaka 2004, ambapo picha hiyo ilichorwa 1905, hiyo Picha Kama mwenye nayo akiamua kuiuza Leo, ataiuza kwa Mabillions ya pesa, hiyo Ni kazi yake moja Tu! Vipi thamani ya kazi zake zingine?....Picasso alikufa 1973 April 08, akiacha mke na watoto 4, wa Kike 2, wa kiume 2.....!
Huyo ndo Pablo Picasso japo kwa uchache, next time ntawaeleza namna ya biashara ya Paintings inavyofanyika huko Duniani, inavyowapa watu utajiri, na namna Msanii anavyotengezwa kuwa maarufu Ili watu wapige pesa.