Kwa wale wenye upeo wa kujua vizuri watakubaliana nami.
Siri ya Mtungi ni miongoni mwa Tamthilia bora za Lugha ya Kiswahili kuwahi kutengenezwa Tanzania.
Ni aibu kwanini hatuna Tamthilia za...
Tiwa Savage opens up on why she does not sign artistes
Nigerian singer Tiwa Savage has opened up about why she chooses not to sign upcoming artistes, citing the stress and responsibility of...
Wanasema msiba mzuri ukiwa kwa jirani yako sababu ujavaa viatu vyake.
Mbaraka Mwinshehe :Mtaa Wa Saba.
Katika wimbo wake huu alizungumzia kuhusu mikosi na nehema alizofanya kuhama.
Tunapo sema...
Bila shaka mko vizuri wakuu.
Huyu B-boy ukimskiliza vizuri utagundua ako na kitu kwenye namna anavyotengeneza midundo yake.
Sijajua ni labda kwakua wako na muunganiko mzuri na huyu kijana...
Mboga saba.
Verse 1 – Mr Blue
Mboga saba umeniteka, makahaba nawacheka
Kwenye mkataba nakuweka, kwenye mahaba nakuweka
Napiga ibada usije lala kwenye mkeka
Aah kama vumba likikataa
Aah ndumba...
Na kenge,
Ni kawaida wasanii kutunga nyimbo,tungo na shairi kuhusu siku ya kuzaliwa 'Happy birthday'
.:
Kwakuwa siku hii ni moja tu maishani na watu husherekea kwa furaha siku hii adhimu ya...
Huu ni ukrasa maalum kwaajili ya kuomba nyimbo zenye mahadhi ya kiafrika hasa za Kikongo. Nitajitahidi kadri ya niwezavyo nizipost kadri zinavyoombwa.
Pia, bongo fleva za zamani ni mahara pake...
WADAU naombeni mnisaidie ni wapi nitaipata album ya muziki wa reggae yenye jina "REMEMBER BOB MARLEY-PROVERBIAL REGGAE" picha ya cover lake ilikuwa na wanaume watatu wakiwa wamekaa. ndani ilikua...
Kama ulibahatika kuwa Kijana au kuwa na umri wa utambuzi miaka hiyo Utakumbuka Zaidi Nyimbo Mojawapo iliyokuwa Gumzo miaka hiyo ni Mapenzi kitu gani ya MB DOG..
sasa leo Nataka kukuletea Story...
Mimi: Abby Chams (Me too)
https://youtu.be/qCOsfkUKMfI?si=2qhgmsoc67lOGxGK
Wadau, tushare nyimbo mbalimbali hapa chini unazodhani zimehit sana mwaka huu. Tuone nani ana taste kali ya mziki! 🎵
Sehemu 1
Naitwa Mamujee, ni mzaliwa wa Musoma. Sijabahatika kusoma sana, niliishia kidato cha pili sababu ya kukosa mtu wa kunisomesha pindi tu nilipofiwa na baba yangu. Mama yangu alifariki...
Nadhani sijaeleweka!! ila ukimtoa kanumba (ME),gabo(ME),monalisa(KE) na riyama(KE) huyu ndio actor wangu wa bongo movie kwa sasa mpaka 2030....."DUNIA Anaitwa hellena aka cindy kakolanya(ke)
Nawakaribisha wapenzi wa Singeli,Wanazuoni wa sanaa ,watoto wa kitaa ,Ma itteligentsia wote na wataalamu wa codes.
Hebu tuambieni hizi namba zinazotajwa kwenye muziki wa singeli zina maana...
Kitumbua cha buku sehemu ya kwanza
STORY NA: Mbogo Edgar
Kijana Prosper alikuwa amejilaza kwenye mkeka, askipunga upepo wa na kufaidi kimvuri cha mti wa mwembe dodo mkubwa sana, uliopo pembeni...
Wakuu Habari za Uzima, Naombeni Mnisaidie Audio za Nyimbo hizi, Hizi Nyimbo Nilikuwa Napenda Kuzisikiliza Kabla Sijapata Hearing Loss "Usikivu Hafifu" Najua Kwasasa Nitafaidi Midundo tuu ila...