Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wazee, mnakumbuka Horror moja ya kitambo 2002 inaitwa "28 Days Later" inamuhusu mwana mmoja ameamka hospital alikua kwenye coma karibia mwezi mzima anakuta Hospital hakuna ata mtu mmoja. Sio...
1 Reactions
1 Replies
391 Views
Kina sinza pazuri na genge lake. Hawa hapa chini.....
0 Reactions
0 Replies
323 Views
Wakuu, Tafadhari sana usilike wala ku reply chochote katika uzi huu kwani ukireply au kulike utanikosesha milioni 10 niliyobeti kuwa uzi wangu ukikaa miaka mitatu hakuna aliyereply wala ku like...
7 Reactions
30 Replies
1K Views
Hii ni thread maalum ya kukuunganisha na mastory mbalimbali ya zamani, nyingi zikiwa ni zile tulisimuliwa na Deborah Mwenda akisaidiwa na Eddah Sanga kwenye kipindi cha Mama na mwana, Radio...
21 Reactions
73 Replies
48K Views
Muda si mrefu wasanii wa Bongofleva watasitisha utaratibu wa kuwaruhusu wasanii wa singeli kufanya singeli versions za nyimbo zao kwa sababu kila wakifanya, singeli version zinakuwa hit kuliko...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Wajuzi Roga Roga, Tonydigital na wengineo naomba kueleweshwa tofauti ya hawa wapiga gitaa wawili ni yapi ( solo vs lead guitar)
0 Reactions
2 Replies
330 Views
Hello Wana JF. Naombeni mniongezee list ya series Nzuri kulingana na series nilizobahatika kuangalia. Series nilizowahi kuangalia ni Kama ifuatavyo 1.Tyrant 2.Ozark 3. 24 4. Queen of the south...
4 Reactions
9 Replies
4K Views
Sitaisahau hii siku ni miaka mingi 1988 , pale Drive inn Cinema zilipo ofisi za Zantel,Msasani. Tumetoka mtoko wa jioni na mzee wetu kuangalia filamu ambayo siikumbuki ila ninachoku.buka kabla...
29 Reactions
150 Replies
5K Views
La kayote, Le Baron, za, Heritiel wata, Assoccie, MH, traveling love za Fally ipupa, Kama kuna mtu ana ngoma Kali kama hizi, tushindane,
0 Reactions
1 Replies
276 Views
Baada ya ile ajali tuliopata siku kadhaa zilizopita hii ndiyo nyimbo inayonibariki zaidi, hakika Mungu ni mwema nitamshukuru siku zote👇👇
1 Reactions
8 Replies
905 Views
Ni Wimbo wa Roman Catholic unaanza na mtu anaongea maneno harafu wanaanza kuimba wimbo unaitwa Kwa ajili ya mateso makali ya Yesu utuhurumie sisi na Dunia nzima Ntaweza kuupakua wapi!? msaada...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Anaitwa James Cameron kazaliwa Agosti 16,1954(70) nchini Canada sehem iitwayo Ontario. Kwenye sanaa ambayo alianza kuifanya mwaka 1978 yeye ni mhariri, mwandishi na muongozaji wa filam na tamthlia...
2 Reactions
0 Replies
356 Views
Nilikuwa youtube hapa nasikiliza ngoma mbalimbali zilizopendwa. Ukaingia wimbo wa Hunifahamu ulioimbwa na Dully Sykes, mwishoni Dully anataja mwaka 2005 ambao ametoa wimbo huo . Nikashtuka leo...
9 Reactions
13 Replies
828 Views
Nayajua Maisha yangu mpaka TONGWE kama muvii..oooh kaa tayar...oooh... action...oohh.... Naanza mwisho kwenda mwanzo.... NGOMA Ina goooo...goooo.. nayajua Maisha yangu mpaka tongwe Kama muviiii...
8 Reactions
132 Replies
4K Views
JINA LA SIMULIZI.......................LISA WHATSAPP.....................0628924768 SPONSORED BY.. SIMULIZI ZA DULLY SURA YA .......................................1&2 SURA YA 1 “Paah!” Kofi...
8 Reactions
1K Replies
406K Views
Jina langu ninaitwa Soka (sio jina halisi) na kwetu ni huko Moshi uchagani. Nilisoma kwa shida na kufanikiwa kupata elimu ya Sekondari na kisha kujiunga na mafunzo ya ualimu katika chuo cha...
58 Reactions
807 Replies
172K Views
Ndugu zangu wahaya. WIMBO huu unapendwa sana na WATANZANIA ulikuwa maarufu enzi hizo na mpaka sasa ni maarufu. 1. Naomba history yake. 2.Naomba mashairi yake. 3.Naomba tafsiri yake. 4. Naomba...
1 Reactions
18 Replies
7K Views
Hawa ni baadhi ya watu ambao wanaweza kucheza character ya Avatar Aang kwenye filamu za Avatar ATLA, Je kwako yupi anafaa zaidi? 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. 10. This is parody...
1 Reactions
2 Replies
291 Views
Wakongo wakiwa kwenye ubora wao walitutendea haki wapenda LIVE SHOWS. Hadi hadi wapiga gitaa na vyombo vingine wana mizuka ni laana. 1. Werrason and his group in Zenith, Paris 2002...
3 Reactions
17 Replies
614 Views
Ukiachana na msiba wa Zahara basi huu ni msiba mwingine ambao unazidi kutuumiza na kutupunguzia vipaji ndani ya Afrika. Yolanda Nyembezi amefariki akiwa na umri mdogo kweli tena akiwa kwenye peak...
2 Reactions
10 Replies
759 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…