Nadhani mnaona timu yetu na yenu inavyofanya tuache maneno mtaani na mtandaoni kwa sasa umefika wakati wa Man u isitulete hadithi za esopo,ekaya za abuasi,karume alikataa kwenda shule...
Yaani ukiachana na pesa basi kitu kinachofuata kukipenda ni muziki wa dansi. Leo nimekuletea wimbo mpya kabisa wa fundi Fally Ipupa aliotoa mwaka huu 2018. Katika wimbo huu linapigwa sebene lile...
Kundi na couple maarafu East Africa Navy Kenzo baada ya kimya kirefu wakilea mtoto wao wamerudi na kutoa ngoma Kali wakimshirikisha mkali Diamond platnumz
Enjoy
Una huu mstari
Ni buzz 2 double 7 six nine zero .... wananiita Solo thang aka "Non Reachable"
Mistari mingine hii :
piga namba hii popote uliza Solo
Ila kama kimeo usipige, kwani mgogoro
Hata...
Hello friends, I am a Tanzanian poet. My poetry book is now published in AMAZON so as everyone of you can get it easily by online purchase.
Don't worry because the price of the book is low, fair...
Ni kijana kutoka Geita mwenye makazi yake yake Mwanza ni msanii underground anaefanya vyema ndio anachipukia hivyoo ,video yake mpya hii kajitahidi sana kuanzia nyimbo hadi video nimeweka kipande...
Nick Conrad - Pendez les blancs
French rap video calling for 'whites babies' to be killed and their parents HANGED
A French rapper has caused outrage by calling for white babies to be killed in...
Hallow,
Kuna watu ambao hawana wazazi/mzazi sasa wao wameishachoka maisha na kukata tamaa kwamba humu dunian hakuna furha kisa wao ni Yatima, hapana yupo Mungu ambae ni baba wa Yatima. Burudika...
Wakati wapenzi wa boxing tukisubiria kwa hamu pambano la Deontay Wilder na Tyson Furry kabla ya kuwakutanisha Wilder na Anthony Oluwafemi Olaseni Joshua (A.J).
Tarehe 15 September katika ukumbi...