Kama unapenda movie za kutisha basi hii movie ya kuangalia sikukuu ni movie Kali yenye mafunzo ndani yake.
Sio kila kijiji lazima ulipelekee familia yako kwa kuwa umepangiwa kwenda kufanya kazi...
***SORY MADAM*******(1).
AGE………………………………….18+
WRITER……………………………EDDAZARIA G.MSULWA
Ni siku ya jumamosi kama kawaida wanafunzi waote wa shule tunayosoma tunakwenda viwanjani kucheza michezo...
Huku Kwetu nchini Tanzania tunawaita Marapa / Waghani ila kwa wenyewe Wakongo kutoka Kinshasa na Brazaville wanawaita Atalakus na kwa Wafaransa na Kifaransa wanaitwa Animateurs kutokana na umuhimu...
Lana Del Rey - Henry come on Mp3 Download
At long last, Lana Del Rey has officially released the new song “Henry, Come On.” Find the track, which the singer-songwriter has been teasing for over a...
The Day of the Jackal
2024 ‧ Thriller ‧ 1 season
Muhtasari
Mshambulizi maarufu, Jackal, anapokuwa akitafuta kurudi kwa Nuria, anakuwa miongoni mwa wahalifu wanaotafutwa, huku Bianca akipewa fursa...
1: Nas - New York State Of Mind
"I never sleep, cause sleep is the cousin of death. Beyond the walls of intelligence, life is defined. I think of crime when I'm in a New York state of mind"
2...
Kwetu sisi wafuatiliaji wa tamthilia hii maarufu sana, naamini toka Enzi hizo ikianza wengi tumekua tukiingia na kutoka lakini mwisho wa siku bado tunapata ule utamu wake.
Basi tutumieni hili...
Wakuu kwa wale wapenzi wa Isidingo tuliipenda sana lakini hakuna kisicho na mwisho. Hivyo kwa sisi wafuatiliaji wa ITV wameamua kutuletea tamthilia mpya ya Uzalo, japo sina hakika kama ni mpya...
Burudani:
Je, unapenda kusikiliza INSTRUMENTAL BEATS za nyimbo mbalimbali?
Nyimbo nyingi za sasahivi ukitaka kusikiliza INSTRUMENTAL BEATS utazikuta wameweka huko YouTube, Google, n.k.
Lakini...
PART TWO:
Hizi hapa 15 INSTRUMENTAL BEATS za nyimbo za zamani.
1. RADO - Usiulize.
2. DAZZ BABA - Wife.
3. AMIRADO - Nimechoka.
4. TUNDAMAN - Asinah.
5. MAKHIRIKHIRI - Dumelang.
6. BASHARI -...
Simulizi: Kaburi la Mwanamuziki
Mtunzi: Robert Heriel
WhatsApp 0693322300
Sehemu ya 1
“Kazi yangu bila shaka kila mmoja wenu atakuwa ameifanya vizuri, nilifurahishwa na Richard, yeye aliimaliza...
Tafsiri ya kitabu The Merchant of Venice.
1939.
SHYLOCK (SHAILOKI) NA ANTONIO
SHYLOCK, Myahudi, alikaa Venice (mji mmoja wa Uitalia). Alikuwa mkopeshaji fedha wa namna mbaya kabisa. Yaani yeye...
Ni Joe Kusaga tena…
Waswahili husema mwenye nacho huongezwa, sio sahihi. Mwenye nacho hujiongeza ndipo huongezwa.
Mfanyabiashara na mwekezaji mkubwa nchini aliyejikita zaidi kwenye tasnia ya...
Dc ilianza mwaka 1930 na marafiki wawili harry donenfield na jack Leibowitz ,dc ilikuwa ni magazine inayachapicha habari za kijamii na pornografia hii ikapelekea baadhi ya watu ktk kampuni...
Napenda kuwatakia maandalizi mema ya Sabato.
Sabato ikawe njema kwenu nyote.
Sabato yako ikawe njema kupitia uinjilishaji huu kupitia nyimbo
Uzi huu utahusisha nyimbo za SDA pekee, karibuni...
Mara ya mwisho ku peak ilikua 2011, taarab ilikua juu sana. Ila baada ya pale naona imepotea, nina miaka mingi sijasikia hit song ya taarab.
Whyyyy, hizi amapuano sijui singeli sijawai zielewa...