Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

Naomba nieleweshwe vizuri maana sielewi, hivi Fawler aliyekuwa mchezaji wa Liverpool aliitwa Mungu wa Magoli ilikuaje na alicheza mwaka gani? Kwanini walimpa jina hilo na alikua anacheza nafasi...
0 Reactions
2 Replies
743 Views
Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
3 Replies
6K Views
Kuna.ile.gossple.jamaa.anaimba Mungu ni Mungu tu ,,atabaki kuwa Mungu tu ,,kama unayo naomba unisaidiee
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Bridge : A. Town , hi indo a. town , a town, hi indo a. town. Chorus : Mungu Nipe A. Town, Mungu nipe acity, Mungu nipe Arachuga, bongofleva wakituona wana zuga...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naangalia chati za muziki Boomplay sijaona jina la msanii anayesadikika anapendwa zaidi Tanzania, ila sijaona hata katika Top 10.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni maneno ya nyimbo moja ya kale. Nyongeza ya hayo maneno ni."mimba hiyo imeshakuwa kubwa,la kufanya hulion,utamwambia nin mumeo, jambo linalontisha hv sasa, ni huo mzgo ulio nao sauda." Naomba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wapenzi wa nyimbo za Taarab, Leo hii nimetumiwa habari za kusikitisha kupitia Whatsapp,nimejulishwa kuwa Muimbaji maarufu wa Taarab huko Mombasa Mohamed Khamis Juma Bhalo amefariki dunia...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Ni jambo la kusikitisha kwa huyu binti kukatishwa uhai na mumewe kumkata na shoka kichwani siku ya tarehe 25, kwa kile kilichodaiwa muwe alichukia kuandaliwa chai siku ya sherehe ya kuadhimisha...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Kwa nchi za kiafriaka jambo kama hili linaweza kutokea kwa kuwa bado kuna ndoa za kulazimishwa, wazazi wengine wanatamaa wakimuona mtu mwenye pesa nyingi amekuja kutaka kumuoa binti yao...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Paul Walker Muigizaji wa Marekani, Paul Walker aliyekuwa akiigiza kwenye filamu ya Fast & Furious amefariki dunia kwa ajali ya gari California. Msemaji wake ametoa taarifa ya kifo chake kupitia...
2 Reactions
55 Replies
8K Views
Taarifa zilizotufikia chini chini kutoka Netflix kwa wanaoishi huku mamtoni, director wa Money Heist wanampango wa kumpa jina actor mpya jina la mji mmoja wapo wa Tanzania ambaye atamuokoa Prof...
4 Reactions
39 Replies
4K Views
Top Nollywood Actor, Muna Obiekwe Dies Of Kidney Failure Popular Nollywood actor, Muna Obiekwe has passed away after a battle with Kidney failure. The Trent exclusively reports that the actor...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Alikuwa anaigiza film mpya ya mother Africa. http://steven.kanumba.mediafetcher.com/news/top_stories/actor_congo.php
0 Reactions
54 Replies
11K Views
Wakuu Kuna bonge la version la huu wimbo wa Muogo wa Jang'ombe ulioimbwa na marehemu, nguli na mkongwe wa muziki huu wa mahadhi ya pwani Bikidude badae ukaimbwa na wengine kutia ndani LadyJaydee...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
SHERIA ZA GROUP *Marufuku kupost kitu chochote ambacho ni tofauti na jina la group linavyosema (latest movies) group ni maarumu kwa ajili ya movies tu *marufuku kupost picha za uchi au video ya...
0 Reactions
5 Replies
779 Views
  • Redirect
Katika muendelezo wa siasa za Tanzania, msanii maarufu kama Ney wa Mitego ametoa wimbo unaomkashifu Rais Magufuli na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda, maarufu kama "Daudi Albert...
1 Reactions
Replies
Views
Habarin wakuu.. baada Ya kusikiliza wimbo mpYa wa stamina-asiwaze nikasema kweli muda ndio kila kitu Refer miaka Ya nyuma "stamina" ashawai chana mistat hii katka moja Ya nyimbo zake "Ndoa ngum na...
0 Reactions
2 Replies
814 Views
Aliiimba Hamza Kalala sikumbuki kama alikuwa na Bantu Group au peke yake. Anasema eeeh eehe eehh kasimbagho, kabhuka. Mka mkamwana mkalole kasimbagho. Mwenye huu wimbo please aubandike hapa...
2 Reactions
1 Replies
323 Views
Back
Top Bottom