Habari wana jamvi
Ifikapo tarehe 25 ya mwezi huu wa Dec sehemu nyingi Duniani tutakua tunasheherekea sikukuu ya kuzaliwa kwa YESU kristo kwa wale wa madhehebu ya kikiristo.
Siku hii hujulikana...
Niko na JBL nasikiliza hizi nyimbo mbili ya kwanza ni dknob elimu mitaani aliitoa mwaka 2003 na hardman tamala ya mwaka 2004, hata baada ya miaka 100 hizi beat haziwez chuja, nyimbo hizi mbili...
SIRI YA MAISHA NA KIFO CHA MELANIE CHUMA
( SIMULIZI YA KIJASUSI
EP 01
ARUSHA
Kikao cha wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kilichofanyika katika makao makuu ya Jumuiya hiyo yaliyopo...
Album ya YOUNG KILLER MSODOKI (SUPER NYOTA ALBUM)
Kwa maoni yangu ndio album Bora ya mwaka.
Ngoma zote 15 za msukuma zimesimama Ngoma kama chukua time usikilize kama wewe ni mpenzi wa Hip hop...
Hizi Ndizo Albums Pamoja Na EP's Zilizo Sikilizwa Zaidi Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Spotify
1. Diamond Platnumz – A Boy From Tandale (2018) 30M
2. Rayvanny – The Sound From Africa...
"We are Gay and Proud of it" - SAUTI SOL.
We dont do it for the money, we do it for the butt! said one of the Sauti Sol band members.
Sauti Sol is a renowned music band in Kenya that rose to...
SEHEMU YA KWANZA
Hapokale paliondokea mtu namkewe waliokua na ng'ombe jike ambae walimpenda sana. Wakamtafutia #FAHARI mzuri ili baadae ng'ombe wao awe #MBUGUMA. Basi mke akamwambia mumewe...
Kinachoendele kati ya taasisi kubwa/ matajiri "business people" na rapa kanye west kinatafakarisha sana. Kwanza kabisa hivi leo mashabiki wameanzisha kampeni ya kumchangia pesa ili awe bilionea...
Nyimbo za Kombe la Dunia Waka Waka itabaki kuwa the best generation to generation, kwani ndiyo wimbo pekee wa Kombe la Dunia ambao haujawai chuja.
Mtunzi alipiga cha Arusha wakati anatunga!
Habarini wana jamvi,
Ninaomba mnisaidieni kwa yoyote anayefahamu sehemu ya kupata movie ya Vuta N'Kuvute au Tug of War anifahamishe au kama ana link anisaidie maana nimeitafuta sana lakini sijaipata.
Nitajie ngoma ambazo/ambayo ni ya Marehemu Albert Mangwair, au Awe ameshirikishwa. Na kwenye hiyo ngoma amefunikwa na huyu msanii mwingine. Ni ngoma gani hiyo?
Ulisikiliza halafu ukasema humu...
Wakale wenzangu tujikumbushe enzi za kusikiliza muziki wa kilingala, ambao pamoja na watu kutojua kinachoimbwa kutokana na watu kutojua lugha hiyo, bado ilikuwa ni burudani ya aina yake. Enzi...
STORI FUPI: MFALME MWENYE MBWA 10 WA KUUWA WATUMISHI WAKE WAKIFANYA KOSA.
Aliishi mfalme mmoja aliyekua na mbwa 10. Mfalme muda wote alifikiri kila afanyacho yupo sahihi, Kama mtu yoyote...
hivi hii nyimbo aliimbaga nani
verse ya kwanza:
Mara ya kwanza kukuona ilikuwa coco beach
washkaji kulizia wakasema we m bichi
wakanipa story zako kwamba uko form six
shule moja maarufu hapa...
Wakuu kwema? Poleni na majukumu ya hapa na pale. Naomba tuzungumze kidogo.
Moja kati ya ngoma ambayo tokea imetoka inasumbua sana ni KONTAWA FT NAY WA MITEGO.
Ngoma inaitwa CHAMPIONS. Biti...
Ukiachana na ile michezo ya ku bet kwa wahindi na kampuni nyingine kwa njia za mitandao ambayo kwa sasa jamii kubwa ni kama imeelewa na kuondoa ile hali ya kuwa na matumaini makubwa ya kushinda na...
Sasa madhara ya betting kwenye mpira yanaanza kuonekana. Kila mtu alibet yanga kushinda. Betting company wakaona yanga ikishinda watakula hasara. Wakageuza kombe, kumbuka hao hao ndio wadhamini wa...