Madhara ya betting kwenye mpira

Congo

JF-Expert Member
Mar 13, 2008
2,063
2,294
Sasa madhara ya betting kwenye mpira yanaanza kuonekana. Kila mtu alibet yanga kushinda. Betting company wakaona yanga ikishinda watakula hasara. Wakageuza kombe, kumbuka hao hao ndio wadhamini wa club hizo.

Sent from my TECNO KG5k using JamiiForums mobile app
 
Kutokana na ulichokiandika ni wazi kuwa huna kabisa uelewa kuhusu betting au una uelewa kidogo kuhusu betting

Yanga kafungwa kama wengine tu ambavyo huwa wanafungwa na hakuna marefu yasiyo na mwisho ata kama sio jana lakini kuna siku Yanga angefungwa tu

Hakuna Mjinga pale Yanga ambae angeweza kukubali kuuza game na kufungwa katika mechi yao ya 50 ambayo walikuwa wanaisubiria Kwa hamu sana ili kuongeza record yao ya Unbeaten

Yanga yupo sponsored na sportpessa tu ila Tanzania kuna kampuni za betting kibao ambazo pia huweka mechi za Yanga katika sites zao na watu hubashiri huko

Kwahiyo kama kuliwa asingeliwa sportpessa Peke yake bali wangeliwa pia kampuni zingine ambazo hazina ushirika wowote na Yanga, kwahiyo hayo yanabakia kuwa sehemu ya matokeo ya mpira

Na labda nikutoe hofu tu, wanaobetia ligi ya NBC ni wachache sana tena sana, kwahiyo Kwa wahindi kufungwa Kwa Yanga ni kama wameshinda tu na vice versa is true
 
Huna uelewa wa betting Mkuu, betting ina options nyingi sana, mechi Moja yaweza kuwa na options zaidi ya 20,kama wewe ulimpa yanga ashinde mazima basi umeliwa, ila kuna watu walimpa over ya 0.5,1.5 au 2.5,Hawa wote walikula,
 
Kuna jamaa yng jana aliweka elfu 30 alimuwekea unbeaten, baada ya mechi kuisha nusu adondoshe chozi.
 
Kutokana na ulichokiandika ni wazi kuwa huna kabisa uelewa kuhusu betting au una uelewa kidogo kuhusu betting

Yanga kafungwa kama wengine tu ambavyo huwa wanafungwa na hakuna marefu yasiyo na mwisho ata kama sio jana lakini kuna siku Yanga angefungwa tu

Hakuna Mjinga pale Yanga ambae angeweza kukubali kuuza game na kufungwa katika mechi yao ya 50 ambayo walikuwa wanaisubiria Kwa hamu sana ili kuongeza record yao ya Unbeaten

Yanga yupo sponsored na sportpessa tu ila Tanzania kuna kampuni za betting kibao ambazo pia huweka mechi za Yanga katika sites zao na watu hubashiri huko

Kwahiyo kama kuliwa asingeliwa sportpessa Peke yake bali wangeliwa pia kampuni zingine ambazo hazina ushirika wowote na Yanga, kwahiyo hayo yanabakia kuwa sehemu ya matokeo ya mpira

Na labda nikutoe hofu tu, wanaobetia ligi ya NBC ni wachache sana tena sana, kwahiyo Kwa wahindi kufungwa Kwa Yanga ni kama wameshinda tu na vice versa is true
Naijua kiasi. Lakini ujue walioko studio wanaona kabisa mwenendo wa betting zote. Wanaziona wakati wote na wanajua athari ya mmoja akishinda siku hiyo. Kupanga matokeo kinakotokana na btting kupo. Sema ni ngumu kupata ushahidi kwenye organized crime.

Sent from my TECNO KG5k using JamiiForums mobile app
 
Naijua kiasi. Lakini ujue walioko studio wanaona kabisa mwenendo wa betting zote. Wanaziona wakati wote na wanajua athari ya mmoja akishinda siku hiyo. Kupanga matokeo kinakotokana na btting kupo. Sema ni ngumu kupata ushahidi kwenye organized crime.

Sent from my TECNO KG5k using JamiiForums mobile app
Unaweza kupanga matokeo ya mechi ila ni ngumu sana kupanga matokeo ya betting, we unadhani ni wangapi wanaibetia Yanga au ligi ya Tanzania?

Katika maongezi tu au kutambiana ni rahisi sana kumkuta mtu anapiga kelele kuwa leo Yanga anashinda/anafungwa ila ukimwambia weka hela humuoni tena

Kiufupi ni kwamba ligi yetu haiko stable kusema eti uweke Imani yako kwenye timu Fulani kama ilivo ligi zingine

Swala la kufungwa Yanga kwenye mpira sio Jambo jipya na kwenye betting ndio kabisaaaa hakuna ajabu, maana mtu anaebeti matokeo kama hayo anakutana nayo mengi sana ata kwenye ligi zingine

Ni majuzi tu hapa City alifungwa na Brentford tena kwake, Liverpool kapigwa na Leeds tena kwake sasa ndio useme Yanga kufungwa ni kupanga matokeo?

Yanga kwenye betting akishinda au kufungwa ni kawaida tu maana wanaoibetia ni wachache sana, ila ukiskia city kapigwa ujue dunia nzima imepata hasara na watu hawawezi kuleta hizi habari za kupanga matokeo
 
Huna uelewa wa betting Mkuu, betting ina options nyingi sana, mechi Moja yaweza kuwa na options zaidi ya 20,kama wewe ulimpa yanga ashinde mazima basi umeliwa, ila kuna watu walimpa over ya 0.5,1.5 au 2.5,Hawa wote walikula,
Hii over mkuu huwa Ina maanisha Nini!?I mean magoli mangapi!?
 
ukiona sport pesa wanashupalia sana mpaka sms kukulazimisha mdau timu fulani kuwa makini.

nilipowagundua
*mwakinyo kule wingereza
*yanga na ihefu na ili jambo lipo wazi wametengeneza kabisa wavute chao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom