Mamtoni Kuna ranking za verse Kali za Hip hop ambazo vesi kama zifuatazo zimepata kupewa hadhi ya juu mara nyingi,
NY state of mind verse 1- Nas
Shook one verse 1 - Prodigy - Mob Deep
Loose your...
Waandaaji wa SolFest ya bendi ya Sauti sol imetangaza kuhairisha tamasha lao la Solfest Tanzania Pre-Party, lililokuwa limepangwa kufanyika tarehe 22 Novemba jijini Dar es Salaam katika Hoteli ya...
[MPYA 2024]
FROM ISRA TO ISRA.
Sehemu ya..............01
Mtunzi: Saul David
Simu: 0756862047
Email: saulstewarty@gmail.com
UTANGULIZI...
Ulikuwa ni mchana wa jua kali, Mwanaume mmoja...
[Intro]
Yeah, farewell
Uh, uh, uh, uh
Hey, farewell
Hey, all my niggas, farewell
Fayettenam
Look
Yeah, yeah, yeah, look
[Verse 1]
Some niggas let they dirt out, some just keep it all in 'em
So...
Nimeona ni share hii Hadith yangu fupi ya utotoni.
Nilipo kuwa mdogo, miaka karibu 4–5, nilienda na watoto wenzangu kuogelea mtoni. Tulivua nguo kama kawaida. Mimi, kwa udogo wangu, sikuwahi...
Wadau wa Games, kuanzia PC hadi consoles. Rockstar Games wamesogeza zaidi muda wa kuzindua GTA-6 kutoka May hadi Nov 2026.
Pata muda wa kununua PS5 yako au upgrade PC yako mapema.
SEASON-1
EPISODE 01
Ilikuwa ni siku ya furaha kwa kila mmoja wetu kwa kufika hatua hiyo ya kumaliza elimu ya upili baada ya kumaliza mitihani ya kidato cha sita.
Kilichobaki kwa wakati huo...
Mitandao ya kijamii imekuwa chombo kikuu cha mawasiliano, burudani na hata ajira duniani kote. Hata hivyo, kwa Afrika hususani Tanzania, mitandao hiyo mara nyingi inageuzwa uwanja wa vituko badala...
THIS SONG TRANSLATED
lingala: Aee nakomitunaka
english: Aee I ask myself
li: Nzambe nakomitunaka
en: God I ask myself
li: Poso mwindo ewutande wapi ?
en: Where did black skin come from?
li: koko...
Dear Nyerere,
Remember the country you fought for its independence without any blood shed
Now the blood is heavily flowing within the streets
Its funny because the colonialists left without need...
Kama kichwa cha Uzi hapo juu na wale waliowahi kupitia Uzi wa kula Tunda Kimasihara wa rikiboy watakuwa wanaelewa ninachomaanisha.
Hizi ni movie ambazo Maudhui yake yamehusisha washiriki wake...
MTUNZI: ERICK NZIKU
SEHEMU YA KWANZA
BINTI WA RAISI
Naitwa James david Massawe ni mzaliwa wa Same, Kilimanjaro, naishi na wazazi wangu wote wawili na nna wadogo wawili john na jenny. Maisha...
Annex 3
LOST BOB MARLEY ALBUMS 1972-1980
Although it is an interesting field of study, how Bob Marley developed the songs while recording a couple of different demos with alternate vocals, there...
Simulizi; MLANGO WA 77 "DOOR 77"
Mtunzi; Robert Heriel
Taikon Publishers
0693322300
EPISODE 01.
Mvumo wa sauti za chura uliendelea kuvuma kama kwaya ya Akapella huku masalia ya matone ya mvua...
Wakuu leo tuchambue kidogo ubunifu uliofanywa kwenye huu wimbo wa NANI uliochapishwa na Diamond dakika 30 zilizopita kwenye channel yake ya You Tube.
Tukianzia story telling aliyoitumia hadi...
Ni movie inahusiana na jamaa ambaye ni mstaafu wa jeshi anajikuta anamsaidia bidada mrembo ambaye alikuwa kwenye Hali mmbaya ambaye hamfahamu.
Bidada huyo hana kumbukumbu kwa kile kilichomtokea...
Simulizi : C.O.D.EX. 1
Mwandishi : TARIQ HAJI
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
C.O.D.EX. 1 ................... SEHEMU YA 1
Allen James ni jina langu, ni dereva wa taxi katika jiji moja maarufu...