Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Bonge la harusi inayosubiriwa kwa Hamu kati ya Kanye West na Mchumba wake wa Muda Mrefu Kim Kardashian itakayofanyika Mwezi wa Tano Imeanza kuwa Gumzo Baada ya Taarifa kuzagaa kuwa waalikwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Barack Obama President Barack Obama promised to get matching tattoos with his wife and daughters. The US Commander-in-chief and his spouse Michelle made the pact in the hope of "reducing...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Biashara ya Mastaa kujiuza nje ya nchi: Shumileta adaiwa kumuuza Lungi kwa mwanaume aishie nchini India. Lungi Maulanga Huku kukiwepo na madai ya baadhi ya mastaa wa Bongo kwenda nchi...
0 Reactions
6 Replies
14K Views
namkubali sana huyu jamaa kwa kukitumia vyema misemo ya kiswahili kwenye kazi yake kama wewe ni fan wa muigizaji mahiri (muhogo mchungu) tukumbushe misemo unayoikumbuka ninao ukukumbuka mimi...
1 Reactions
16 Replies
10K Views
Samahan ikiwa nimekosea jukwaa,but nia yangu ni kuzungumza na marafiki. Lakin samahan pia kwa nitakaemkwaza kwa thread yangu, japo nafaham wapo watakaochukia tuu,no matter what u do. Ok,kuna...
0 Reactions
84 Replies
11K Views
Aunt Lulu akiwa katika moja poz zake ufukweni Dar es Salaam,Tanzania WAKATI kukiwa na kashfa nzito kuwa wanawake mbalimbali wakiwemo, wasanii wa wakike nchini Tanzania, kujihusisha na tabia...
0 Reactions
73 Replies
28K Views
Rapper mkali ni muhimu awe na demu mkali… vinaendana. Young Killer amelizingatia hilo kwakuwa sasa ni miongoni mwa maemcee wanaoweza kujitokeza pale wanapoitwa wachanaji wenye mademu wakali...
1 Reactions
33 Replies
31K Views
Muigizaji wa filamu za Kiswahili, Haji Salum aka Mboto amesema kuwa hawezi kuanzisha uhusiano wa mapenzi na wasanii wa Bongo Movie kwa kuwa anaogopa kuchafuliwa jina na kuumizwa kimapenzi...
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Akizungumza na Global TV Online, Linah alisema kwa kuwa anapenda sehemu hiyo katika mwili wake, ndiyo maana mara nyingi hupendelea kuvaa nguo zinazoonyesha vizuri miguu yake na jinsi ilivyo...
0 Reactions
64 Replies
21K Views
She's a rude girl instagram She is a busy lady, what with designing a clothes range, being on a world tour and keeping up with what we imagine is a rather gruelling beauty regime. But...
0 Reactions
21 Replies
21K Views
Speaking on Tuva’s show, Mambo Mseto, Mustapha started by saying that Huddah is lying and that they were in love until most recently when a photo of Mustapha snuggling a ‘fan’ surfaced online...
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Hivi karibuni, mmoja wa waasisi wa hip hop nchini Kenya, Nazizi, alithibitisha kuwa ameachana ma mume wake kutoka Tanzania, Vinny, na wapo katika harakati za kupeana talaka Naziz na Vinny wana...
0 Reactions
12 Replies
50K Views
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya ambaye huwa anaishi na kufanya Kazi nchini Uingereza Naj amefunguka kuwa Tangu aachane Mr Blue zaidi ya Mwaka mmoja na miezi kadhaa iliyopita hajawahi kukutana...
0 Reactions
41 Replies
9K Views
Baada ya kuwepo tetesi nyingi kuwahusu, sasa imethibitishwa kuwa Drake na Rihanna ni wapenzi. Vyanzo mbalimbali vimeuambia mtandao wa TMZ kuwa Rihanna na Drake wametoka kwenye ukaribu wa kawaida...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
msanii wa tanzania Hemedi PHD amejivunia mafanikio ya kulala na mastaa wa tanzania 32 tena bila kinga,ayo maneno ameyasema mwenyewe hemedi kwenye maojiano na mwandishi wa blog moja maarufu apa tz...
3 Reactions
70 Replies
28K Views
Diamond Platnumz bana eti ‪#‎mahaba_niue‬ ‪#‎kipara_ninyonge‬!!! Kapendeza ama?
0 Reactions
20 Replies
16K Views
Hebu mwanzo tuweke wazi hapa kabla hatuja dondosha list nzima ya wanaume aliokuwa nao Kim Kardashian, hatuwezi kusema Kim ni [ingiza neno lako hapa] kwa kuwa na mahusiano na wanaume 9 kwa muda wa...
0 Reactions
27 Replies
8K Views
Lady Gaga shared a photo of herself having a wash in green water a day after a weird performance in Austin Texas where she asked a friend to vomit a greenish substance all over her during...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni msaani wa Bongo Flava anayefahamika kwa jina kama Shilole anatalajia kufungua cafe ya chakula hapa jijini Dar es salaam katika maeneo ya Mwananyamala. Shilole ambaye kwa sasa anayetamba na...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…