Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Huu uzi ni maalumu kwa ajili ya interviews za Dudubaya. https://www.youtube.com/watch?v=S9kF6XQbr_E
0 Reactions
1 Replies
542 Views
Wasanii hao ni pamoja na Producer Hanscana,Mbosso na Lava Lava
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Ni zamu ya Irene uwoya kutunukiwa tunzo ya u BOSS LADY apa bongo baada ya aliyekuwa akimiliki tunzo hiyo mwaka Jana wema sepetu kuangukia pua kama sio kichwa na kufulia , awali tunzo hyo iliwahi...
3 Reactions
645 Replies
72K Views
Hawa Vijana hata social network zao haziko Active kabisa kuonesha hawataki hata kujihusisha na mambo ya kisanaa na kijamii, Ninachojua ni kwamba walikuwa vijana wanajitahidi sana ila Gafla...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Watoto wa efu mbili hawezi mjua huyu muigizaji mzee wa ahahaaaaaa ahahaaaaa ahahaaaaa, hatimae mungu kamfukua akiwa na miaka 86 huko nchini marekani Muigizaji maarufu kutokea nchini Marekani Ron...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Makosa tajiri mkubwa Iringa miaka hiyo akafirisika vibaya na kuwa mnywa visungura na mtogwa analewa 24 seven. Simulizi yake ukifika Iringa utaipata vizuri zaidi maana hakosekani maeneo ya...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Unamjua "KANYABOYA"? Kanya Boya alikuwa bondia wa ngumi za kulipwa kutoka Burundi. Bondia huyu, jina kamili Felix Kanyaboya alikuja Tanzania kati ya Miaka ya 1986/1987. Alikuwa anafikia Hotel za...
7 Reactions
8 Replies
10K Views
Kwa dakika 20 tu nilizomuona akihojiwa Cloudstv 360 on Saturday hivi punde tu huyu Dada Mjasiriamali na Mwanaharakati Carol Ndosi si wa ' level ' ndogo na ya Kiswahili Kiswahili bali ni Dada...
12 Reactions
48 Replies
8K Views
Kwenye pen game hakuna msanii wa kike wa bongofleva amewahi kufikia uwezo wa Zuchu toka bongofleva izaliwe nasema hakuna. Jide ni msanii mkali, anauwezo mkubwa kafanya hitsong nyingi namheshimu...
8 Reactions
118 Replies
17K Views
Picha hapo chini zinajieleza huyu mwanadada Witnes mwenyewe hupenda kujiita kibonge mwepesi dizaini kama kaanza kuiga mikato ya Gigy money na Amber lulu kupenda kupiga picha huku sehemu kubwa ya...
5 Reactions
173 Replies
58K Views
Yule msanii aliekuwa anaitwa Samir amepotelea wapi? alie hit na kinyulinyuli pamoja na nitamchezea aliemshirikisha ney wa mitego?
2 Reactions
26 Replies
63K Views
wanaotutendea mabaya, wanaotutesa, wanaotuua,wanaotuibia, wanaotudhulumu haki zetu, wanaotufunga bila hatia….. Upande wa pili wa shilingi watu hao hao wanawatendea mema watu wengine, wanasaidia...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwa wambea wa kimtandao inasemekana Roma amezaa ulaya anakoishi na amezaa ba mzungu. Ushahidi wa post alizopost mwenyewe kwenye ukurasa wake IG akisindikizwa na ujumbe wa THANKS God wenye...
6 Reactions
37 Replies
28K Views
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Hili ndilo gari jipya la diamondplatnumz. Ni Rolls Royce 2021. Kwa mujibu wa chanzo chetu cha kuaminika inatajwa kuwa gari hili limeingia Tanzania siku za hivi...
21 Reactions
338 Replies
109K Views
Bila shaka wengi wetu tunajua huyu mdada alifiwa na mume wake wa kwanza. Baadae akatokea ustaadhi mmoja hapa chuga akamsilimisha na kumfanya mkewe. Baada ya muda dogo akadoda wakachana akawa...
9 Reactions
168 Replies
24K Views
NYOTA wa sinema za Kibongo, Irene Pancras Uwoya amesababisha tena ! Safari hii amekinukisha nyumbani kwa mwanaume aliyewahi kuwa mpenzi wake ( jina tunalo) kufuatia jamaa huyo kufunga ndoa na...
1 Reactions
63 Replies
16K Views
Mume wa Wolper huyo! Wine zote zimeniisha.. Dinazarde
13 Reactions
317 Replies
30K Views
Hollywood superstar Idris Elba has been granted 80 acres of land in Zanzibar to establish an international film studio. The announcement was made on Thursday, August 1, during the 27th...
13 Reactions
19 Replies
2K Views
Jamaa naona anaimba Pure Swahili Gospel kali sana ni muimbaji mzuri sana na anachonifurahisha ameacha lugha yake ya kinyarwanda kakichagua kiswahili kufikisha ujumbe wake last time nilijua ni...
14 Reactions
60 Replies
32K Views
Saga la Marioo na Chino Kid linaendelea kuchukua sura mpya, huku Marioo akielezea hisia zake kuhusu uhusiano wao wa zamani. Marioo ametaka mashabiki kumuuliza Chino ni wapi alikosea, akisisitiza...
5 Reactions
15 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…