Huyu Israel Mbonyi ni Mrwanda kweli?

Alianza kuimba za Kinywaranda....
Alivyoimba "Nina Siri" akaona imefanya vizuri...Ndani na nje ya Nchi yake....

Anaendelea na nyimbo za kiswahili hivyo hivyo....

Nadhani atakuwa anaziandika kwa Lugha yake, anazitafsiri kwa Kiswahili....The anazifanyia mazoezi....
 
Ni mnyarwanda pure kabisa na zamani alikuwa anaimba nyimbo za kikwao tu, (tafuta wimbo unaitwa icyambu, bonge la wimbo). But alikuja ku realize kwamba anajilimit sana kwa kuwa lugha yao haijulika na mataifa mengi. Ndio sababu alipoanza kuimba nyimbo za kiswahili kajulikana inchi nyingi. Waimbaji wengi wa Rwanda sasa hv wanaimba kiswahili, sababu audience ya kinyarwanda ni ndogo sana.
 
Hata kwaya iliyotamba na wimbo wa kwetu pazuri ilikuwa ni ya wanyarwanda.

Waimbaji wanatazama market. Akiimba kiswahili anapata soko kubwa sana kuliko akiimba kinyarwanda.

Market kubwa ya Gospel music ipo Kenya, Tanzania na Congo. Hizi nchi zote raia wake wanaelewa kiswahili ila hawaelewi kinyarwanda
 
Ni mnyarwanda pure kabisa na zamani alikuwa anaimba nyimbo za kikwao tu, (tafuta wimbo unaitwa icyambu, bonge la wimbo). But alikuja ku realize kwamba anajilimit sana kwa kuwa lugha yao haijulika na mataifa mengi. Ndio sababu alipoanza kuimba nyimbo za kiswahili kajulikana inchi nyingi. Waimbaji wengi wa Rwanda sasa hv wanaimba kiswahili, sababu audience ya kinyarwanda ni ndogo sana.
Jamaa ni mwandishi mzur sana anajua
 
Warwanda asilimia 90 wanaongea kinyarwanda kisewahili sana sana ni Tz,kenya,Congo,na waganda wachache

Wapo wanaongea Kiswahili kama Watanzania tu kwa sababu wameishi Tanzania especially Kagera enzi za kukimbia machafuko...

Kuna jamaa Mnyarwanda nilikutana naye SA ni dereva Uber, jamaa anaonhea Kiswahili na kaishi Kahama huwezi kudhani kama ni Mnyarwanda akiongea...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom