Msanii bora wa kike africa mashariki, Judith wambura mbibo aka lady jaydee ameandika kwenye ukurasa wake wa facebook idadi ya tuzo anazomiliki mpaka sasa, ambapo amesema hii ni tuzo yake ya 30...
nilikuwa najiuliza huyu jamaa sijamsikia muda yuko wapi. leo nimemsikia muda mfupi uliopita kwenye taarifa ya habari ya BBC. Taarifa ndio hiyo wadau!
Habari njema kwa mashabiki wa aliyekuwa...
So it took nigerians kutambua kipaji na jitihada za huyu dada anayefanya mziki nyumbani sio tu Tz but whole of east africa?Tangu nakua mpaka sasa hivi Jd hakuwai shuka..ni kati ya wasanii wachache...
Nimekua mfuatiliaji mzuri wa kituo cha television cha star tv.hakika wanawasomaji wazuri wa habari na kimavazi wananivutia haswa kwa jinsi wanavyopendeza. lakini kitu kinachonishangaza na...
Gabrielle Union Reveals Her Secret to Staying Younger
Hollywood actress Gabrielle Union is already 40 years old, but definitely looks younger than her age.
She was recently featured in People...
GARI la muigizaji maarufu wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude' limekamatwa na Polisi jijini Dar es Salaam likihusishwa na tukio la ujambazi linalodaiwa kutokea Kijitonyama Mpakani usiku wa...
Kansiime Anne ni mchekeshaji kutoka Uganda ambae amesomea Sayansi ya saikolojia kwenye chuo kikuu cha Makerere Kampala Uganda ambako alianzia kuchekesha kama utani kusambaza video zake mitandaoni...
HEAVEN ON DESERT naomba tupe ukweli wa tuzo za diamond we ulisema kachukua mbili et website walikosea kuhusu tuzo kwenda kwa mafikizolo so watalekebisha mbona diamond kaonekana na moja jana...
Namzungumzia mtangazaji wa kipindi cha supermix kinachorushwa hewani na EARadio.Nimekuwa msikilizaji wa kipindi hiki kwa muda mrefu toka kilipokuwa kinaendeshwa na Musa.Ninachokiona kwenye...
Mabachela sugu; Slaa, Zitto, Mnyika,
Machela sugu; Mdee, Vicky Kamata
Ambao ndoa zao hazieleweki na sijawahi kuwaona wakitambulisha wake zao sehemu ambazo wamepewa heshima; Mbowe, Lema, Sugu...
Msanii wa kizazi kipya, Diamond platnums, amewaomba mashabiki wake kumpokea Airport usiku wa saa nne kesho jumatano kwenye viwanja vya Julius K Nyerere, akitokea nchini Marekani alipoenda kwenye...
Waswahili wanasema ngoma ikilia sana haikawii kupasuka. Ni hivi karibuni mwanamziki wa Kitanzania wa muziki wa kizazi kipya Hussein Rashid kwa jina maarufu Hussein Machozi ametokea kuvuma sana...
The End of Beyonce and Jay Z? The Craziest Claims From the New York Post's Hit Piece
The New York Post claims (again) that music's First Couple, Beyoncé and Jay Z, are no longer crazy in love...
Kumbe hizo tuzo anakusanya Diamond ni kwa mgongo wa Davido. Ina maana hakuna hata wimbo alioimba peke yake ambao umekuwa nominated.
Ngoja niachie hapa wazee wa data waanze kuzishusha kuona kama...
Habari vp wana bongo!
JAMANI!! kuna hiki kipaji kingine ADIMU
NI DOGO ASLEY!!
NI bado kijana mdogo lakini anavyocheza na sauti na mbwembwe ni kama mutu ya BAKONGO!
...ebu sikia KIPATE HIKI cha...
Muimbaji maarufu nchini wa nyimbo za injili
nchini,Bahati Bukuku (40) amepata ajali akiwa
katika gari alilokuwa akisafiria kuacha njia na
kugonga gema, baada ya kugongwa na gari
lingine...
Ni kitu cha kujivunia kama both best female and best male artist east africa wametoka nchi mmoja(Tanzania). Hii ina maana we run EA kwenye sector ya music.This is what should be discussed, as...
Model Andreja Pejic Comes Out as Transgender
"As a transgender woman I hope to show that after transition (a life-saving process) one can be happy and successful in their new chapter without...