Msanii huyo ghali zaidi nchini kwa sasa, ametamka hayo alipozungumza na Mwanaspoti nyumbani kwake Sinza jijini Dar es Salaam juzi Jumatano. Alisema kuna mambo mengi yaliyomchelewesha kufikia hatua...
Katika kuonyesha amechoshwa na upweke, mwanamitindo Jokate Mwegelo ' Kidoti' aka BADGIRL JOJO ameibuka na kusema kuwa sasa anasaka mwanaume wa kumuoa huku akitaja vigezo vya anayestahili...
MISS Universe Tanzania 2007, Flaviana Matata amezua utata wa aina yake baada ya picha zinazomuonesha katika tukio la kuchumbiwa kunaswa na mwenyewe kudai si yeye aliyechumbiwa.
Miss Universe...
Diamond is one kid who come from very far...his struggle is an inspiration to many. All that can also be seen by the changes in his fashion and style. As his group is called "Wasafi" ..he...
Jamaa amepania kurudi, and I believe he can do wonders. kaongea kwa uchungu pia..!!
Atleast he has confessed that Ruge ndo tatizo sugu against maendeleo yao.
Mastaa wa filamu bongo, jackline wolper (pichani) na elizabeth michael (lulu) kwa wakati tofauti wamejikuta wakionyesha kadi za magari wanazomiliki baada ya uvumi kuenezwa na wabaya wao kuwa...
Mzee huyu alionewa sana, ila iko siku Mungu atamlipia, huwezi kubaka wewe na wanao watatu mkiwa na akili timamu, asiwepo hata mmoja wa kusema hapana, huu ni uonevu wa hali ya juu, kafungwa na...
Kunako miaka ya 80 na mwanzoni mwa miaka ya 90, majina ya Ma-DJ yalikuwa makubwa kama ilivyo kwa wanamuziki wa kizazi kipya na cha zamani hivi sasa. Mojawapo ya majina hayo ni DJ Seydou(pichani)...
Profesa Jay amemuonesha mwanamke ambaye anaweza kuwa Mrs. Joseph Haule ambaye amemtaja kama mama mtoto wake.
Kupitia Instagram, Profesa amepost picha akiwa na mwanamke huyo na kuandika, OF...
STAA wa filamu Bongo, Chuchu Hans amedhihirisha kwamba ana mahaba niue kwa mpenzi wake, Vincent Kigosi ' Ray ' kwa
kulinadi jina lake hadharani kwa kuvaa t - shirt iliyoandikwa Ray Kigosi...
Habari zenu Wanaukumbi.
Wadau wa sanaa, kwa siku mbili hizi nilizokuwa na shughuli kadha wa kadha mitaa ya Mikocheni (Shoppers Plaza) nimepata pishana kama kusalimiana na Msanii huyu nguli wa Hip...
Kuna fan wake kule Twitter kamwambia awe anahudhuria kuchukua tuzo. Unajua alichomjibu, Kwani zimeshafanyika? Hivi kweli huyu dada hajui kuwa zimefanyika na Tuzo kapewa? Team Anaconda inabidi...
Hivi hawa wasanii wa hiphop kuna hata mmoja mwenye gari?
Ukimtoa binamu na Jay?
Hapa na maanisha WEUSI, FID Q, KALA, STAMINA, ROMA, JCB, JAY MO na wengine wengi.
Wasalaam wanajamvi.
Kati ya watu ambao hawakufiri kama msaanii Chid benz angeweza kurudi vyema kwenye ulingo wa muziki Mimi ni mmoja wapo maana nilihisi kama huyu mtu amesha changanyikiwa na...
Wasichana wa bongo, keep your bodies na afya nzuri. Nimemuona Salama Msangi anavyoonekana, sio afya jamani.
Jikubali na maumbile alio kupa mwenyezi.
Lazima mtu ajikondeshe kiasi hicho kweli...
Hii kitu sijaelewa naona wasanii kibao wa mamtoni wakijibizana,ina maana gani hasa?
wanaojua elezeni basi maana naona wasanii wakubwa wanapeana tu hiyo challenge ya kumwagiwa maji.
Aunt Ezekiel ambaye ni rafiki wa karibu wa Wema Sepetu, amejibu kauli ya Diamond Platinumz kuwa Wema ana marafiki wanaomfundisha tabia mbaya na kwamba kama anataka kuendelea aachane nao. Akiongea...
Katika ukurasa wa Instagram mrekebishatabia aliandika hivi:-
Yes. Kuna watu hawaelewi kwanini au why now.. tunampenda sana Wema Sepetu binafsi mimi kama mrekebishaji sifurahii kuona mtu ambaye...