MWANADADA anayefanya vizuri katika muziki Bongo, Baby Joseph Madaha ' Baby Madaha' kwa sasa amejiweka kimapenzi na msanii anayetamba Kenya, Kevin Wyre baada ya kuwepo kwa tetesi za kutemana...
MAKUBWA!
Mambo yamekuwa mambo, kadi ya gari jipya la staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ' Lulu' imeibua mazito kufuatia Jeshi la Polisi Dar es Salaam kubaini kuwa namba ya...
Jamani nampenda kimapenzi huyu dada wa bongo movie
Mwenye mawasiliano naye, historia yake pia kwakua naamini atakua mama wa watoto wangu.
Nisaidieni Jamani
Nilikuwa mwana JF wa kwanza kutoa uzi wa tuhuma nzito kwa Flora Mbasha kwa jinsi alivyokuwa amejipanga kumfunga mumewe,ili awe free kuendelea na mambo yake, uzi ule ulivutia wengi,na wengi wao...
If this is true! Huyu jamaa hakufai. Kwanza hajui kama umaarufu alionao kila unapotajwa wewe na jina lake ndio unaongezeka. Tafuta Mwengine! You can stand alone without him. This is too much...
Ule msemo wa ukisema cha nini wenzako wakiona cha maana na mzoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi umedhihirika pale ambapo kijana mzoea ma sugar mammy amejikuta akiangukia kwenye suga mammiest...
Mwimbaji wa ‘Ayee' Davido wa Nigeria amethibitisha kuwa mbali na kuwa mtoto wa bilionea lakini muziki unamlipa kwa kiasi cha kumuwezesha kumiliki private Jet yake.
Kama wewe unamfollow...
Miaka miwili baada ya kufunga pingu za maisha ( ndoa ) na mwanaume aitwaye Kauli Juma , imefichuka kwamba ndoa ya prizenta wa Star TV, Sauda Mwilima ina shida kwani haishi na mumewe, ikidaiwa...
Katika siku yako hii ya kuzaliwa, watanzania wote tunakutakia maisha marefu na mema katika harakati za kuikomboa nchi hii, umezaliwa siku moja na Mama Therresa (Founder of Missionaries Charity)...
NYOTA wa muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ' Jide ' ambaye hivi karibuni ndoa yake iliripotiwa kuwa katika sintofahamu na kuvunjika , anadaiwa kuhamia katika hoteli moja yenye...
Leo katika kipindi cha njia panda dr. Issack ameelezea fine waliyotozwa na TCRA kwamba kipindi kilitozwa fine kutokana na kwamba kilipotosha wasikilizaji kuhusu nguvu za kishirikina wakati...
Staa wa kike wa filamu bongo, Aunt Ezekiel, ambaye ni shoga mkubwa wa miss tanzania 2006 Wema sepetu ameibuka na kutamka bayana yeye si mpambe wa mrembo huyo, wala sio mbeba mikoba wake na wala...
Kama hakuwahi kutoa sadaka, huu ndiyo muda wake! Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson anadaiwa kukinukisha nyumbani kwa Wema Isaac Sepetu baada ya kunusurika kufumaniwa na mume wa mtu...
She is such a doll! Penny in the trending Gele head-wrap, yellow see-through lacey top and a blue velvet skirt that has a side slit long enough to slit your jaw open!
Amazing color combo...
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, staa wa Bongo Fleva anayetamba na wimbo wake wa Nitasubiri, Juma Khalid ' Jux' , kwa mara ya kwanza amevunja ukimya na kufungukia penzi lake na modo...
Mbongo movie Lulu yasemekana amepigwa kibuti na mapedeshee wake waliokuwa wanamuweka mjini, Yule wa Mererani na yule wa tmt.
Yote ni baada ya kuweka picha instagram akiwa na kiserengeti boy chake...