Mliokuwa mkimtetea Flora Mbasha mko wapi? mteteeni tena

Truth guy.

JF-Expert Member
Oct 30, 2013
396
195
Nilikuwa mwana JF wa kwanza kutoa uzi wa tuhuma nzito kwa Flora Mbasha kwa jinsi alivyokuwa amejipanga kumfunga mumewe,ili awe free kuendelea na mambo yake, uzi ule ulivutia wengi,na wengi wao wakiwa upande wangu,ni wachache walinipinga akiwemo sam love,masai dada,nadhani kila mmoja sasa hivi amesoma ktk vyombo vya habari juu ya u.shenzi alioufanya Mdada huyo wa kisukuma akijificha ktk koti la injili.

Gwajima amemdhalilisha sana MUNGU wetu kwa muda mrefu,na mwisho wa siku kaumbuka vibaya na kuikimbia nchi,Flora kamtesa sana mumewe, jamani vijana wenzangu kuweni makini sana na viumbe hawa waitwao "wanawake".

Hata kama kweli Mbasha alitembea na shemeji yake lakini aliyechangia tatizo hili ni mkewe, kinachokera zaidi ni kuwa wanajifanya ni watu wa Mungu kumbe ni devil's agents, hii inafanya hata watu waliokuwa wanataka kumrudia Mungu kushindwa kwa ujinga unaofanywa na watu washenzi kama Gwajima na Flora.

Sasa wote waliokuwa wakiwatetea mahayawani hawa waliotundikana hadi mimba sasa wote kimya,na wafunge midomo yao.
 
Nilikuwa mwana JF wa kwanza kutoa uzi wa tuhuma nzito kwa Flora Mbasha kwa jinsi alivyokuwa amejipanga kumfunga mumewe,ili awe free kuendelea kuliwa ndogo,uzi ule ulivutia wengi,na wengi wao wakiwa upande wangu,ni wachache walinipinga akiwemo sam love,masai dada,nadhani kila mmoja sasa hivi amesoma ktk vyombo vya habari juu ya u.shenzi alioufanya kahaba huyu wa kisukuma akijificha ktk koti la injili,Gwajima amemdhalilisha sana MUNGU wetu kwa muda mrefu,na mwisho wa siku kaumbuka vibaya na kuikimbia nchi,Flora kamtesa sana mumewe,jamani vijana wenzangu kuweni makini sana na viumbe hawa waitwao "wanawake",hata kama kweli mbasha alitembea na shemeji yake lakini aliyechangia tatizo hili ni mkewe,kinachokera zaidi ni kuwa wanajifanya ni watu wa Mungu kumbe ni devil's agents,hii inafanya hata watu waliokuwa wanataka kumrudia Mungu kushindwa kwa ujinga unaofanywa na watu washenz kama Gwajima na flora,sasa wote waliokuwa wakiwatetea mahayawani hawa waliotundikana hadi mimba sasa wote kimya,na wafunge midomo yao.

Hebu twambue nini kimetokea maana ni kama una washushua watu na kwamba wote twajua juu ya mashushu hayo plz eleza vema basi!
 
Hizi ni ngonjera kama ngonjera zingine halafu mbona unahasira sana kwenye andiko lako au frola alikupiku kwa gwajima?
 
Mkuu tuhuma zakwanza sote tuna zifahamu,ila kilichojiri episode hii ya pili mpaka Gwajima kukimbia nchi hatujakielewa,hebu tiririkaka tuelewe.Ikiwezekana fungua uzi wake special kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom