Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Siku moja MUNGU akipenda nitakuwa na ndege yangu labda, na hapo kwenye ki kadi kama hiki patakuwa pameandikwa MACHOZI AIR na sio Barrick Tanzania. Jamani hii ndege ni ya Barrick ilitumwa...
0 Reactions
120 Replies
21K Views
Kama kweli Flora Mbasha anamwita Gwajima mjomba kwa maana ya kuwa ni kaka wa mama yake, kwa nini mumewe alikuwa na wasiwasi naye kuwa ndo chanzo cha mgogoro wa mahusiano ya ndoa yake kwa kuishi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Super lady kunako tasnia ya sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe ( 26), anadaiwa kuangua kilio kisa kutopata mtoto, Risasi Jumamosi limeinyaka. Super lady kunako tasnia ya sinema za...
0 Reactions
19 Replies
47K Views
MAPENZI bwana ! Baada ya kuogelea kwa muda mrefu katika penzi la muigizaji Kajala Masanja, hatimaye shemeji wa aliyekuwa rafiki wa mwigizaji huyo, Wema Sepetu, Ahmed Hashimu ‘ Petit Man ’...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
AY ameungana wasanii wengine wakubwa barani Afrika jijini Washington DC, kwa mwaliko kutoka ikulu ya Marekani kuhudhuria mkutano wa viongozi wa Marekani na Afrika utakaofanyika wiki hii. AY akiwa...
5 Reactions
121 Replies
27K Views
  • Closed
''Kuwa uyaone mengi sio maghorofa bali ni vituko vya binaadam katika hii dunia just imagine Zitto anavyoabika sasa hivi daaah, hivi kweli kuna mwanaume aliekuwa mahabani na Diva naye akasema...
0 Reactions
130 Replies
28K Views
Wakuu, I'm already on bed, and I have just slept few minutes ago, but some nonecense has not swept me away. I'm having a tabloid that mainly deals with sundry stars across the UK, my question...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa kweli Bongo tuna wasanii wa kike wa kujivunia. Hasa Recho na Jide. Nyimbo zote za Recho zinanibamba kinoma. Ukianza na Mwali Kigego, Umependeza na huu wa Sasa Nikumbate. Kiufupi Recho ni...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Namuangalia Dudubaya akihojiwa na Salama kwenye kipindi cha mikasi.....jamaa anaongea ujinga mtupu.
0 Reactions
27 Replies
5K Views
CHEREKO! Ikiwa umepita mwaka mmoja tangu mumewe Juma Kilowoko ' Sajuki ' afariki dunia , msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma ameongeza ndinga mpya na kuiacha ile ya zamani kwa muda...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Milio ya risasi ilisikika usiku wa kuamkia jumapili 24/08 saa 1:30 kwenye klabu ya usiku ya 10AK, West Hollywood kwenye pre-VMA party. Baadae ilifahamika kuwa co-founder na former CEO wa Death Row...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Kimenuka! Mama mmoja mkazi wa Sinza jijini Dar es Salaam , aliyejitambulisha kwa jina la Mama Zahara , ameibuka na madai mazito akimtuhumu msanii wa filamu ambaye pia ni mjasiriamali , Lulu...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Aliyekuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye shindalo la Big Brother Africa The Chase, Ammy Nando anatarajia kutoa kitabu chenye kiitwacho ‘Mhuni Mwenye Akili. Mhuni huyo Mwenye Akili' alitolewa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Angelina Jolie wa Bongo' Irene Paul amekiri kuwa kwa sasa hajaolewa ila anaishi na mwanaume kwa kumpikia na kumpakulia. Akiongea hivi karibuni, Irene ambaye mara nyingi ni mchoyo wa...
0 Reactions
31 Replies
10K Views
Linah ni Msanii mkubwa tu wa Tanzania..Ila hii Description aliyoweka Youtube sio Nzuri! Hapo kwenye RED english mbovu ,na sikudhani kama kulikUwa na maana wa kuiweka South Africa . nadhani...
0 Reactions
96 Replies
60K Views
HABARI kubwa ya mjini hivi sasa , hasa kwenye mitandao ya kijamii ni juu ya madai mazito ya kuvunjika kwa ndoa ya selebriti wawili Bongo, staa wa muziki wa Kizazi Kipya, Judith Wambura ‘ Lady...
1 Reactions
19 Replies
6K Views
WASANII waliokuwa wakipigania cheo cha urais wa Manzese, Hamad Ally ' Madee', na Emmanuel Elibariki ' Nay wa Mitego ', hatimaye wamemaliza tofauti zao baada ya kudumu kwenye bifu kwa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
straight to the point above: 1. Ali Kiba wewe jamaa unamavocal,masauti,na pengine unapendwa sana kazi zako..ila umeshindwa kabisa kukaa kwenye game na kujitangaza ipasavyo. 2.Lulu MIchael...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wema Sepetu a.k.a Beautiful Onyinye amekula kiapo cha kumchukia dada wa hiyari wa mwandani wake, Nasibu Abdul ' Diamond Platnum ' , Halima Kimwana ambaye wamekuwa na bifu kwa kipindi kirefu...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Wasalaam wana jamvi. Kwa mara nyingine wasanii Diamond na Davido wameonekana kuwa vinara wa muziki Africa baada ya kukutanishwa tena kuwania tunzo nyingine huko Marekani wakiwa sambamba na Awilo...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…